Braying
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 225
- 440
Hahaha pale maji yanapojaa Kwa Kasi kuelekea ulipo unahisi kuyachota na kisado itasaidia,Ruto ataachia ngazi asipokuwa makini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha pale maji yanapojaa Kwa Kasi kuelekea ulipo unahisi kuyachota na kisado itasaidia,Ruto ataachia ngazi asipokuwa makini
Tanzania hakuna wanaouwana kwa ukabila.Tanzania hawauwawi watu??
Wasiojulikana hawakuwa wanaweka miili inaelea barabarani kwenye viroba?
Majuzi ITV wametoa ripoti kuanzia April mosi hadi Juni watu 45 hawajulikani walipo.
Hata majuzi ni nguvu ya mtandao ndio ilimuokoa Sativa vinginevyo angekuwa ameuwawa.
Kibaki alipopoteza referendum 2005 ilikuwa ni obvious watu hawana imani naye , yaliyotokea 2007 ni aina ya ushenzi wa viongozi wa kiafrika kulazimisha kutawala Kibaki hakushinda ule uchaguzi badala yake alitumia state machineries ilikuwa kituko nakumbuka tukio la kujiapisha alivyomleta jaji chap chap.
Wakenya waliingia mitaani ndio kilicholeta ile PEV 2007-2008 hadi walipokubali "nusu mkate" ili kuepusha madhara zaidi.
Hata katiba mpya 2010 ilichochewa kupatikana ili kuzuia ushenzi kama huo usijirudie leo hii Kenya mhili wa mahakama unao uwezo wa kutengua amri ya rais na bunge pia linao uwezo kutengua amri ya rais ikiwa ni kinyume na katiba maana katika imewapa wananchi mamlaka kwenye sura ya kwanza kabisa
Ndio maana vitu kama BBI vilipigwa chini.
Vijana wametisha sana pande hizoVijana wanataka waziri wa kulumo atokane na fani za kilimo, waziri wa afya awe mtu wa afya, ... na mawaziri wasiwe watu wa siasa. Hii ni jambo zuri. Hapa kwetu waziri anatoka wizara hii anahamishiwa nyingine anameza script anaanza porojo kwa kasi ya 5g
Machawa wamekuja kutetea ujingaHuku kwetu sio jambo jipya, hata Mwaka 2008, Baraza la Mawaziri lilivunjwa na aliyekuwa Rais wa awamu ya nne kufuatia Kashfa ya Richmond[emoji119]
Tuendelee kujifunza
1. Najua mnapayapata katika maeneo yenu lakini mnavimbiwa,Breaking news
Ofisi ya Deputy President na Prime minister haziguswi na maamuzi haya
Citizen TV
======
Rais wa Taifa la Kenya, William Ruto amewafuta kazi mawaziri wote wa Baraza lake, kufuatia shinikizo kutoka kwa vijana wa kizazi cha GenZ waliotaka mabadiliko.
Katika kutangaza mabadiliko hayo siku ya Alhamisi Julai 11, Ruto alisema kuwa ni Naibu wake Rigathi Gachagua na Katibu Mkuu wa Barza la Mawaziri Musalia Mudavadi wa wizara ya Mambo ya Nje pekee wanaosalia.
“Baada ya kutafakari na kuwasikiliza kwa makini Wakenya na baada ya kutathmini Baraza langu la Mawaziri, leo nimeamua kuwafuta kazi mawaziri wote,” Ruto alisema, “lakini Naibu wangu na Waziri Mkuu hawajaathirika.”
Pia, soma=> Rais Ruto asitisha kusaini Muswada wa Sheria ya Fedha 2024, aurejesha Bungeni
Vijana wa kitanzania ndo kwanza wapo bize wakibishana Aziz K anabaki Yanga au anaondoka...😂
Waafrika hasa watanzania wako na laana.
Wewe Baki na CCM yako. Mambo ya Kenya huyawezi.Ruto anazidi kuonyesha udhaifu akiteua siku tatu zija!o vijana watasema wanataka mambo mengine!
Nyinyi, sexagenarians you have messed the country big time the day will come when the citizen of goodwill, will reclaim their country back from few oligarchs that day will come..Tanzania hakuna wanaouwana kwa ukabila.
Kuwa na fikra chanya kuhusu Tanzania, usiwe na fikra potofu kwa uvivu wako tu.
Unangoja nini?Nyinyi, sexagenarians you have messed the country big time the day will come when the citizen of good will will reclaim their country back from few oligarchs that day will come..
Mbona hata Tanzania tuanauana Kwa akili ya Siasa. Kuna watanzania ni wakimbizi nchini Kenya moaka Leo kule kambi ya Dadaab. Baada ya mauaji ya Zanzibar 2001.Kenya usiifananishe na Tanzania, kuuwana kisiasa hawjaanza leo wala jana.
Umesahau Kikwete alivyokwenda kuwapagtanisha? Au bado ulikuwa kinda tunduni?
😹😹😹 mama anaupiga mwingi mpk unamwagika, Nchi ngumu sana hiiSiyo hapa kwetu vijana kwa wazee wanashindana uchawa kutwa kucha kuwasifia watawala tu wanaojimegea keki ya taifa kama hawana akili nzuri vile. Wapi Lucas Mwashambwa !!!
Hata Hosni Mubarak alisema hivyo hivyo.Unangoja nini?
Bora bangi kuliko kuwa na wakuu wa mikoa wafiraji.Si waliruhusu bangi hadharani, ndio madhara yake haya!!
Punguza dhihaka kwenye mambo ya Imani. Shauri zako.MUNGU WANGU NA BABA YANGU!!!
NAZIWEKA NCHI YA KENYA KWENYE KIGANJA CHA MKONO WAKO!!!
NAOMBA BABA, UKAWA LINDE, UKAWA HIFADHI, KWA MAANA FADHILI ZAKO NI ZA MILELE!!!
BABA, NAOMBA ROHO WAKO MTAKATIFU AKAMUONGOZE KATIKA KAZI YAKE YA KUNIONGOZA NCHI!!!
NAOMBA TOBA KWA AJILI YA RAIS RUTO PAMOJA NA UONGOZI WOTE ULIOPITA!!!
NAOMBA TOBA KWA AJILI YA VIJANA WA GEN "Z".
BABA MUNGU IBARIKI KENYA NA WATU WAKE!!!
NINAIFUNIKA NCHI YA KENYA KWA DAMU YENYE THAMANI NYINGI NA YA AJABU YA BWANA WETU YESU KRISTO WA NAZARETH ALIYE HAI.
AMINA NA AMINA 🙏🙌💖
Kaa kimya na wewe bibi. Kujifanya chawa na uzee wote huo.Unangoja nini?