Willy Gamba, Hofu, Njama, na E MUSIBA, Mnakumbuka Enzi Hizo?

Willy Gamba, Hofu, Njama, na E MUSIBA, Mnakumbuka Enzi Hizo?

unaweza ukaelezea vizuri kama huu ulikuwa ukweli na sio porojo..?, Ni kipi kilichokufanya uamini/kufahamu ukweli huu ? (Ukaribu na Musiba au uliona manuscript)
 
Pia aliyungakitabu kinaitwa kikosi cha kisasi.
 
Mbuzi Mzee fanya mambo.....ndio nini toka saa moja jioni jana hujatupia kitu.!!!

Ambia katibu muhtasi wako aongeze speed ya kupiga chapa
 
Last edited by a moderator:
unaweza ukaelezea vizuri kama huu ulikuwa ukweli na sio porojo..?, Ni kipi kilichokufanya uamini/kufahamu ukweli huu ? (Ukaribu na Musiba au uliona manuscript)

VYOTE. Lakini kwa vile ilizuiwa wakati ule halitakuwa jambo jema ku open the can kwa sasa , bearing in mind that he is deceased also his books and ideas particularly hicho kitabu ambacho hakikuwa released ni INTELLECTUAL PROPERTY.
 
ha ha ha kwahio uliona manuscript ?, je hio manuscript ni kweli ilikuwa inajambo baya kwa serikali
 
scan0001.jpg

Hofu.jpg

DSC_0619.JPG

Mkuu Mbuzi Mzee, ebu niambie! vp naweza pata hard copy ya hii kitu! Niliisoma zamani sana, sasa nadhani nahitaji hii kwenye Library yangu!
 
mkuu Mbuzi Mzee mbona leo kimya tupe uhondo wa njama maana si mchezo
 
Kwa kweli vitabu hivyo vilikuwa moto wa kuotea mbali ukianza kuvisoma unatamani usiache mpaka umalize. Nafikiri ndugu na wakereketwa wangefanya mpango wa kuvichapisha na kuviuza wanaweza kupata fedha nyingi tu.Mimi ni mmoja wa watu wanaohitaji nakala za vitabu hivyo.
 
Duh huyu jamaa nae.., kwa waliosoma mwanzo sasa wameshasahau walichokisoma kabla huyu Mbuzi Mzee kapoteza kitabu nini kwahio hawezi kuendelea na installment
 
Last edited by a moderator:
Hivi hakuna hata link ya ku'download hivi vitabu??manake huko bookshops hata hawauzi nwdays!!!Bongo bana....
 
Huyu Mbuzi Mzee na issue za ku-beep bana..., itabidi kwenye byLaws za JF tuweze kipengele cha kukataza kubeeb, na Vigezo na Masharti Kuzingatiwa
 
Darasa la nne sikukuu moja nilikaa siku nzima sikubanduka kusoma "Njama" mpaka nikakimaliza.

Huyo ndiye Aristablus Elvis Musiba. Bongo's answer to Ian Fleming.

............ and to, as well as, Albert R. Broccoli
 
I am afraid we haven't found our Broccolli. Broccolli was a producer, not an author.

Yes, you are correct, but perhaps both are equally important in the roles of the 007 movies production. Looks like we are doing an error of miscrediting the other by not mentioning him
 
Yes, you are correct, but perhaps both are equally important in the roles of the 007 movies production. Looks like we are doing an error of miscrediting the other by not mentioning him

I thought the thread was about Musiba, the author of Willy Gamba. It is only right we mention Fleming, the author of James Bond.

Find a Tanzanian producer, or any producer for that matter, who will adapt Willy Gamba to the screen, then we will have found the answer to Al Broccolli.

You can't compliment an author by comparing him to a producer.

That's comparing apples to oranges.

When comparing, compare likes.

How is crediting an author with a comparison to another author miscrediting a movie producer? We are not talking about movies here, we are talking about books.

Is this another case of "dyslexia of the mind"?
 
Wakavumisha kwamba ametunga kitabu kinachoitwa HUJUMA,serikali ilikipiga marufuku ,hivi ni kweli.?

hata mie nilisikia kitu kama hicho,kua hicho kitabu kilifungiwa kwani mhusika mkuu ambaye alikuwa akitumika katika kitabu hicho ambaye ni willy gamba(serikali) alikufa.Alipigwa risasi akiwa hotelini msoma,tafasiri yake ikiwa ni kwamba serikari ilishindwa kudhibiti suala la hujuma kwa kipindi hicho wakati mhusika huyo ktk vitabu vingine alionyeshwa kama ni mtu ambaye alikuwa ashindwi kitu(yaani serikali)
 
Back
Top Bottom