sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Duuh!!Tatizo Chadema wanawatesa hao vijana kwa kuwaambia uwongo
Shauri yao baada ya October wachimba makaburi watatajirika sana
Man up!Tatizo Chadema wanawatesa hao vijana kwa kuwaambia uwongo
Shauri yao baada ya October wachimba makaburi watatajirika sana
Suluhusho ni nini mkuu?wakibet wanaliwa na muhindi :tatizo sugu hili
Wamesoma kozi za maana lakini haziwapi Cha maana : wameshapoteza
hawana bahati kwenye mapenzi: no money No love
stress, stress huku moto unamuwakia
Nafikiri hiyo ndo sababu
Wazazi walezi ndugu na jamaa wawe karibu na vijana wao. Lack of support kimawazo,kiuchumi ndio inaleta msongo wa mawazo mwisho wake mtu anajitoa uhai.Suluhusho ni nini mkuu?
Sawa mkuu. Umenena vema kabisa.Wazazi walezi ndugu na jamaa wawe karibu na vijana wao. Lack of support kimawazo,kiuchumi ndio inaleta msongo wa mawazo mwisho wake mtu anajitoa uhai.
AiseeTatizo Chadema wanawatesa hao vijana kwa kuwaambia uwongo
Shauri yao baada ya October wachimba makaburi watatajirika sana
Mkuu, ninaonaga una-like sana comments pamoja na posts zangu.Aisee
ApreciationNgoja nieleze situation yangu.
Nilimaliza chuo 2015. Kwa upande wangu tangu nipo mwaka wa pili chuo nilijisemea kwamba sitaajiriwa na wala sitakaa nitume maombi ya kwenda kwenye interview, nitapambana mwenyewe kwenye biashara mpaka nitoke.
Nilipomaliza chuo nikaondoka home kwenda mjini kuanza biashara, nilisave Tsh laki 5 za bum, mambo yakawa magumu mpaka nalala njaa, lakini nilikomaa.
Nilikuwa nasoma sana vitabu, kila mwezi vitabu viwili au vitatu vilinipa hope sikukata tamaa.
Nilikuwa na maono makali sana kiasi hakuna mtu wa kunipindisha. Biashara nilikuwa napata faida elfu 50 mpaka 70 kwa mwezi, maisha yanilipiga kofi kweli nilichakaa mwili na roho kidogo nikate tamaa.
Wazee hawakunielewa walinambia nimepotea , nimepatwa na pepo gani mchafu?? Kila wakinipigia simu waniuliza mwanangu lini unatuma maombi ya kazi, tunataka uajiriwe.
Ndugu zangu kila siku wakinipigia simu wanauliza umeajiriwa? Mpaka kuna wakati wazee wakinipigia simu sipokei, wanasema si urudi tu nyumbani maana hatuoni unalolifanya huko mjini.
Kuna wakati nililia machozi nikasema Mungu wasamamehe maana hawaoni ninachokiona.
Nilikomaa mpaka mwaka 2018 nikaanza kupata faida nzuri walau laki 5 kwa mwezi, nikakomaa zaidi now napata walau mil 2 mpaka 2. 5 kwa mwezi net profit kwenye biashara na bado napambana zaidi, nyumbani kidogo heshima ipo yale maswali ya utaajiriwa lini yameisha maana sikosi kutuma pesa za mboga.
Sasa vijana wengi wanakata tamaa mapema, ulijumlisha na kejeli na masimango kutoka kwa ndugu ndo inapelekea depression mpaka mtu anajitoa uhai.
Vijana tupambane tuwe na BIG PICTURE THINKING, tusiwaze leo bali miaka 10 ijaytutafanikiwa tu
Naambatanisha na kitabu hichi kilinisaidia sana kuwa positive mda wote wa hustle.
View attachment 1590206
Utakuwa jmwkunywa biaTatizo Chadema wanawatesa hao vijana kwa kuwaambia uwongo
Shauri yao baada ya October wachimba makaburi watatajirika sana
Kumbe chadema ni wabaya kiasi hiki ???Tatizo Chadema wanawatesa hao vijana kwa kuwaambia uwongo
Shauri yao baada ya October wachimba makaburi watatajirika sana
Sawa kamanda,pamoja sanaMkuu, ninaonaga una-like sana comments pamoja na posts zangu.
Mimi pia nitaanza ku-like za kwako kuanzia sasa hivi.
Kama kweli bas ninazidi kuwachukia kwa matendo yao maovu !!Chadema ni wauaji
Umemaliza chuo 2009?Vijana wengi ambao ni graduates hawana imani na uvumilivu.
Vilevile watu (ndugu, jamaa na rafiki wa karibu) waliopaswa kuwapa psychological support ndio wanawakejeli na kuwatukana.
Mimi nilikejeliwa na kuchekwa sana kwa kumaliza chuo na kuchelewa kupata ajira mwaka 2009 ila nilikuwa mvumilivu na mwenye imani chanya kuwa ipo siku zamu yangu itafika na Mungu atanifungulia milango ya baraka.
YesUmemaliza chuo 2009?
Okay