Wimbi kubwa la vijana wasomi 20's kujitoa uhai, nini maoni yako?

Vijana wengi ambao ni graduates hawana imani na uvumilivu.

Vilevile watu (ndugu, jamaa na rafiki wa karibu) waliopaswa kuwapa psychological support ndio wanawakejeli na kuwatukana.

Mimi nilikejeliwa na kuchekwa sana kwa kumaliza chuo na kuchelewa kupata ajira mwaka 2009 ila nilikuwa mvumilivu na mwenye imani chanya kuwa ipo siku zamu yangu itafika na Mungu atanifungulia milango ya baraka.
Infantry umeenda age sana, kumbe unshakula shavu, hongera sana kwa kupewa kitengo
 
Vijana wengi ambao ni graduates hawana imani na uvumilivu.

Vilevile watu (ndugu, jamaa na rafiki wa karibu) waliopaswa kuwapa psychological support ndio wanawakejeli na kuwatukana.

Mimi nilikejeliwa na kuchekwa sana kwa kumaliza chuo na kuchelewa kupata ajira mwaka 2009 ila nilikuwa mvumilivu na mwenye imani chanya kuwa ipo siku zamu yangu itafika na Mungu atanifungulia milango ya baraka.
Ingekuwa nchi za G8 wangefanya tafiti, huku ni Africa hata wakiisha, wapya watazaliwa.
Dharau za ndugu na jamaa ni Bora za rafiki, usipokuwa na imani kujiua sio suala gumu.
Mbaya zaidi Kiongozi wa dini hajui Psychological problems...yeye anajua unafanya makusudi kijana unapofanya dhambi hasa ya kujiua. Serikali isomeshe raia elimu hii ya Psychology la sivyo! Na haya maisha yalivyonyonga Cjui!
Mliotokea familia za kisomi na wenye upendo hasa kipindi kigumu cha maisha, wakakulea bila dharau mnapaswa kushukuru sana maana familia zetu kitaa Wazazi huanza kukudharau as if Ulijizaa.
 
Ngoja nieleze situation yangu.
Nilimaliza chuo 2015. Kwa upande wangu tangu nipo mwaka wa pili chuo nilijisemea kwamba sitaajiriwa na wala sitakaa nitume maombi ya kwenda kwenye interview, nitapambana mwenyewe kwenye biashara mpaka nitoke.
Nilipomaliza chuo nikaondoka home kwenda mjini kuanza biashara, nilisave Tsh laki 5 za bum, mambo yakawa magumu mpaka nalala njaa, lakini nilikomaa.
Nilikuwa nasoma sana vitabu, kila mwezi vitabu viwili au vitatu vilinipa hope sikukata tamaa.
Nilikuwa na maono makali sana kiasi hakuna mtu wa kunipindisha. Biashara nilikuwa napata faida elfu 50 mpaka 70 kwa mwezi, maisha yanilipiga kofi kweli nilichakaa mwili na roho kidogo nikate tamaa.

Wazee hawakunielewa walinambia nimepotea , nimepatwa na pepo gani mchafu?? Kila wakinipigia simu waniuliza mwanangu lini unatuma maombi ya kazi, tunataka uajiriwe.
Ndugu zangu kila siku wakinipigia simu wanauliza umeajiriwa? Mpaka kuna wakati wazee wakinipigia simu sipokei, wanasema si urudi tu nyumbani maana hatuoni unalolifanya huko mjini.
Kuna wakati nililia machozi nikasema Mungu wasamamehe maana hawaoni ninachokiona.
Nilikomaa mpaka mwaka 2018 nikaanza kupata faida nzuri walau laki 5 kwa mwezi, nikakomaa zaidi now napata walau mil 2 mpaka 2. 5 kwa mwezi net profit kwenye biashara na bado napambana zaidi, nyumbani kidogo heshima ipo yale maswali ya utaajiriwa lini yameisha maana sikosi kutuma pesa za mboga.
Sasa vijana wengi wanakata tamaa mapema, ulijumlisha na kejeli na masimango kutoka kwa ndugu ndo inapelekea depression mpaka mtu anajitoa uhai.
Vijana tupambane tuwe na BIG PICTURE THINKING, tusiwaze leo bali miaka 10 ijaytutafanikiwa tu
Naambatanisha na kitabu hichi kilinisaidia sana kuwa positive mda wote wa hustle.

View attachment 1590206
Uliwekeza kwenye shughuli ipi Mkuu?
 
Labda kuanzishwe madarasa ya Saikolojia huko kwenye vyuo wanavyosoma, licha ya kusoma fani zao lakini pia wapitie darasa la saikolojia na stress management huenda ikapunguza hili tatizo.
 
Ngoja nieleze situation yangu.
Nilimaliza chuo 2015. Kwa upande wangu tangu nipo mwaka wa pili chuo nilijisemea kwamba sitaajiriwa na wala sitakaa nitume maombi ya kwenda kwenye interview, nitapambana mwenyewe kwenye biashara mpaka nitoke.
Nilipomaliza chuo nikaondoka home kwenda mjini kuanza biashara, nilisave Tsh laki 5 za bum, mambo yakawa magumu mpaka nalala njaa, lakini nilikomaa.
Nilikuwa nasoma sana vitabu, kila mwezi vitabu viwili au vitatu vilinipa hope sikukata tamaa.
Nilikuwa na maono makali sana kiasi hakuna mtu wa kunipindisha. Biashara nilikuwa napata faida elfu 50 mpaka 70 kwa mwezi, maisha yanilipiga kofi kweli nilichakaa mwili na roho kidogo nikate tamaa.

Wazee hawakunielewa walinambia nimepotea , nimepatwa na pepo gani mchafu?? Kila wakinipigia simu waniuliza mwanangu lini unatuma maombi ya kazi, tunataka uajiriwe.
Ndugu zangu kila siku wakinipigia simu wanauliza umeajiriwa? Mpaka kuna wakati wazee wakinipigia simu sipokei, wanasema si urudi tu nyumbani maana hatuoni unalolifanya huko mjini.
Kuna wakati nililia machozi nikasema Mungu wasamamehe maana hawaoni ninachokiona.
Nilikomaa mpaka mwaka 2018 nikaanza kupata faida nzuri walau laki 5 kwa mwezi, nikakomaa zaidi now napata walau mil 2 mpaka 2. 5 kwa mwezi net profit kwenye biashara na bado napambana zaidi, nyumbani kidogo heshima ipo yale maswali ya utaajiriwa lini yameisha maana sikosi kutuma pesa za mboga.
Sasa vijana wengi wanakata tamaa mapema, ulijumlisha na kejeli na masimango kutoka kwa ndugu ndo inapelekea depression mpaka mtu anajitoa uhai.
Vijana tupambane tuwe na BIG PICTURE THINKING, tusiwaze leo bali miaka 10 ijaytutafanikiwa tu
Naambatanisha na kitabu hichi kilinisaidia sana kuwa positive mda wote wa hustle.

View attachment 1590206
Ulikuwa unafanya biashara gani kwa mtaji wa laki tano Mkuu.Mkoa gani ?Chuoni ulisoma nini Mkuu??
 
Ingekuwa nchi za G8 wangefanya tafiti, huku ni Africa hata wakiisha, wapya watazaliwa.
Dharau za ndugu na jamaa ni Bora za rafiki, usipokuwa na imani kujiua sio suala gumu.
Mbaya zaidi Kiongozi wa dini hajui Psychological problems...yeye anajua unafanya makusudi kijana unapofanya dhambi hasa ya kujiua. Serikali isomeshe raia elimu hii ya Psychology la sivyo! Na haya maisha yalivyonyonga Cjui!
Mliotokea familia za kisomi na wenye upendo hasa kipindi kigumu cha maisha, wakakulea bila dharau mnapaswa kushukuru sana maana familia zetu kitaa Wazazi huanza kukudharau as if Ulijizaa.

Tena kama mwanamke kuolewa hujaolewa kazi huna hizo dharau zake unaweza jinyonga.
 
Tatizo Chadema wanawatesa hao vijana kwa kuwaambia uwongo

Shauri yao baada ya October wachimba makaburi watatajirika sana
mkuu shikamoo, wanawaambia nini, naona una kunywa balimi hapo maana huu mwandiko una mashaka
 
Back
Top Bottom