Hahaha hakuna binadamu asiyeteseka, sema tupo wenye roho ngumu.naona nateseka tu natafuta njia ya kufa bila maumivu
Hata usipojiua utakufa tu siku moja, na wote tutakufa hakuna mjanja kwenye kifo.
Labda useme unataka kuwahi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hakuna binadamu asiyeteseka, sema tupo wenye roho ngumu.naona nateseka tu natafuta njia ya kufa bila maumivu
iyo imekaa vizur tufanye nawahi tu sasaHahaha hakuna binadamu asiyeteseka, sema tupo wenye roho ngumu.
Hata usipojiua utakufa tu siku moja, na wote tutakufa hakuna mjanja kwenye kifo.
Labda useme unataka kuwahi.
Yes. Kitengo maana yake ni kazi nyingine ya serikali na sio ya usalama wa nchi.
Mimi na nani ?Kumbe ndio mnachokitafuta?????
Kuwatumikia watanzania kwa ukaribu zaidi.Kwa nini unataka kazi ya serikali wakati unafanya biashara zako ?
Mimi lazima niwanyooshe hata kidogo ili wajifunzeWanakera sana, ila dawa yao kuwanyoosha ukizipata waweze kujifunza.
Hahaha,Mbongo hawezi jibu hili swali as long as ameshakuambia anapiga profit ya maana kwenye issues zake
Ni kweli kabisaKijana alietoka familia maskini kumaliza shule na ukakosa mishe ya kufanya ni hatari mbaya sana kwa afya ya akili.
Kama umebahatika kupata kazi inabidi umshukuru sana Mungu, mtaani pagumu sana usiombe.
Kwa iyo Askari wa miguu,we hauna wazo la kujinyonga 😎😎Vijana wengi ambao ni graduates hawana imani na uvumilivu.
Vilevile watu (ndugu, jamaa na rafiki wa karibu) waliopaswa kuwapa psychological support ndio wanawakejeli na kuwatukana.
Mimi nilikejeliwa na kuchekwa sana kwa kumaliza chuo na kuchelewa kupata ajira mwaka 2009 ila nilikuwa mvumilivu na mwenye imani chanya kuwa ipo siku zamu yangu itafika na Mungu atanifungulia milango ya baraka.
Sina mkuuKwa iyo Askari wa miguu,we hauna wazo la kujinyonga 😎😎
Hapa kwenye dharau za wazazi umenigusa mkuu,nina baba yangu mzazi ana dharau kiwango cha SGRIngekuwa nchi za G8 wangefanya tafiti, huku ni Africa hata wakiisha, wapya watazaliwa.
Dharau za ndugu na jamaa ni Bora za rafiki, usipokuwa na imani kujiua sio suala gumu.
Mbaya zaidi Kiongozi wa dini hajui Psychological problems...yeye anajua unafanya makusudi kijana unapofanya dhambi hasa ya kujiua. Serikali isomeshe raia elimu hii ya Psychology la sivyo! Na haya maisha yalivyonyonga Cjui!
Mliotokea familia za kisomi na wenye upendo hasa kipindi kigumu cha maisha, wakakulea bila dharau mnapaswa kushukuru sana maana familia zetu kitaa Wazazi huanza kukudharau as if Ulijizaa.
Kumbe dogo wa juzi kabisa2014
Upo sahihi mkuu,Mwaka huu SUA waliojiua ni km watatu hivi.Vijana wengi ambao ni graduates hawana imani na uvumilivu.
Vilevile watu (ndugu, jamaa na rafiki wa karibu) waliopaswa kuwapa psychological support ndio wanawakejeli na kuwatukana.
Mimi nilikejeliwa na kuchekwa sana kwa kumaliza chuo na kuchelewa kupata ajira mwaka 2009 ila nilikuwa mvumilivu na mwenye imani chanya kuwa ipo siku zamu yangu itafika na Mungu atanifungulia milango ya baraka.
alie lala kwenye reli ndo alinifarijUpo sahihi mkuu,Mwaka huu SUA waliojiua ni km watatu hivi.
Daaah, sad indeed...!!!!Upo sahihi mkuu,Mwaka huu SUA waliojiua ni km watatu hivi.
Pole sana ndugu yangu! Hata mm hali kama hii ilishawahi kunitokea kipindi fulani. Nikafanya mipango nikasafiri kwenda nje ya nchi. Kutokana na changamoto za ugenini, lifestyle pamoja Na kukutana na watu wapya ile hali ya kukata tamaa ya maisha pamoja na depression vilipotea taratibu. Now namshukuru Mungu nafurahia maisha kama kawaida.BINAFSI SIONI NINACHOKIFANYA DUNIANI YANI SIONI SIONI , Nadhan kifo ndo suluisho kwaiyo wanao jiuwa siwashangai sana mm natafuta suitable way with no pain just smooooooothsmooothss
NamaanishA kwamba sometimes kukaa sehemu moja kunachosha na hii inasababisha depression na kukata tamaa ya maisha ila ukiamua kutoka kwenda sehemu nyingine kunasaidia na pia unaweza pata sababu ya kuendelea kuishi na kufurahia maisha.Mzee Kigogo kwahiyo na mm unanishauri niende state
makinNamaanishA kwamba sometimes kukaa sehemu moja kunachosha na hii inasababisha depression na kukata tamaa ya maisha ila ukiamua kutoka kwenda sehemu nyingine kunasaidia na pia unaweza pata sababu ya kuendelea kuishi na kufurahia maisha.
Sio lazima iwe states