King Loto
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,581
- 1,357
kumbuka mimi ni jamii ya kina massawe na urio, mkataa kwao mtumwa, afu mkataa pema panamuita pabaya achana na chadema fanya yako kwanza.Marhaba kijana, waeupuke Chadema watakuharibia maisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbuka mimi ni jamii ya kina massawe na urio, mkataa kwao mtumwa, afu mkataa pema panamuita pabaya achana na chadema fanya yako kwanza.Marhaba kijana, waeupuke Chadema watakuharibia maisha
Mkuu ulivyokuwa unaandika huu upuuz ulikuwa umekalia kitu kigumu chenye ncha butu laini kilichonyooka huku umepakatwa na kupapaswa?Tatizo Chadema wanawatesa hao vijana kwa kuwaambia uwongo
Shauri yao baada ya October wachimba makaburi watatajirika sana
Mbongo hawezi jibu hili swali as long as ameshakuambia anapiga profit ya maana kwenye issues zakeUliwekeza kwenye shughuli ipi Mkuu?
Mambo ya maana unaleta utani,tofautisha japo badhi ya mamboTatizo Chadema wanawatesa hao vijana kwa kuwaambia uwongo
Shauri yao baada ya October wachimba makaburi watatajirika sana
Ni dharau tupu, kitu pekee kinachonifanya nijipe moyo ni kuwa wanaonidharau nimezidi kwa mbali sana kiakili na fikra ingawaje hawalijui hilo kwa kuwa hawaoni kwa macho niliyowazidi.Tena kama mwanamke kuolewa hujaolewa kazi huna hizo dharau zake unaweza jinyonga.
Wanakera sana, ila dawa yao kuwanyoosha ukizipata waweze kujifunza.Mkuu, haya yooooote nimeyapitia mimi mzee baba.
Tatizo Chadema wanawatesa hao vijana kwa kuwaambia uwongo
Shauri yao baada ya October wachimba makaburi watatajirika sana
Yaani hao 3 ndio unaita wimbi kubwaNI wiki iliyopita kuna kijana alijinyonga ma jana naskia mwingine tayari, Mwaka jana kuna aliyejitupa ghorofa ya supermarket. Hao wote walikuwa wasomi wenye miaka ya ishirini na kitu wakidai wana stress.
Hili wimbi pengine linaweza kuwa kubwa sana tusipojiangalia.
Mchango wako ni wa muhimu
Hahaha nimefurahi kuona unakili ccm inashindwa, na CHADEMA linaingia kunyoosha mambo.Tatizo Chadema wanawatesa hao vijana kwa kuwaambia uwongo
Shauri yao baada ya October wachimba makaburi watatajirika sana
Wanakera sana, ila dawa yao kuwanyoosha ukizipata waweze kujifunza.
Kuna msukumo mkubwa kutoka kwenye jamii inayowazunguka ambayo inawataka katika miaka hiyo eti kwa sababu wamesoma wawe na maisha mazuri kuwazidi wale waliowaacha mtaani, jambo ambalo kwa sasa ni ndoto za alinachaNI wiki iliyopita kuna kijana alijinyonga ma jana naskia mwingine tayari, Mwaka jana kuna aliyejitupa ghorofa ya supermarket. Hao wote walikuwa wasomi wenye miaka ya ishirini na kitu wakidai wana stress.
Hili wimbi pengine linaweza kuwa kubwa sana tusipojiangalia.
Mchango wako ni wa muhimu
Nawewe ni GENTAMYCINE?!Mkuu ulivyokuwa unaandika huu upuuz ulikuwa umekalia kitu kigumu chenye ncha butu laini kilichonyooka huku umepakatwa na kupapaswa
Hahaha hakuna anayejua anafanya nini humu duniani, wote tuna survive tu.BINAFSI SIONI NINACHOKIFANYA DUNIANI YANI SIONI SIONI , Nadhan kifo ndo suluisho kwaiyo wanao jiuwa siwashangai sana mm natafuta suitable way with no pain just smooooooothsmooothss
naona nateseka tu natafuta njia ya kufa bila maumivuHahaha hakuna anayejua anafanya nini humu duniani, wote tuna survive tu.