Wimbi la ma ex girlfriends na ex boyfriends zao kurudiana limeongezeka sana nowadays nchini, kulikoni?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
ni roho ya msamaha imeongezeka kwa wanadamu au alternative girlfriends na boyfriends imeshindwa kufanya kazi ipasavyo?

je,
ni ahueni kwa single mothers na single fathers kwamba sasa wanarudiwa rasmi?

wabobevu, ndrugu zango wadau mnazungumziaje suala hili la kheri katika jamii zinazotunguka?🐒
 
Kikubwa ni 'Mkwamo' wa kimahusiano.

Watu wamekuwa 'Waoga' kuanzisha mahusiano mapya.

Kipato na Uaminifu ndio chanzo kikuu cha watu kupashana 'Viporo'.
 
  • Lightning never strikes the same place twice
  • You cannot have the same person twice, not even in the same person
  • Shokashoka olashokela na yenge
Hao wanaorudiana ni wale wanaorudiana kwa siri, yaani kila mtu anakuwa kwenye mahusiano yake mengine lakini wanatafutana kama ma ex waliendekeze.
Au wanarudiana but kisera zaidi, no plans za pamoja tena, no baby baby tena
 
ni roho ya msamaha imeongezeka kwa wanadamu au alternative girlfriends na boyfriends imeshindwa kufanya kazi ipasavyo?

je,
ni ahueni kwa single mothers na single fathers kwamba sasa wanarudiwa rasmi?

wabobevu, ndrugu zango wadau mnazungumziaje suala hili la kheri katika jamii zinazotunguka?🐒
Acha uongo hiyo labda kwenye korido za rangi mboga mboga.Na pia naweza kuhisi nini sababu,ukitaka kuijua ni rushwa ya chafuzi.
 
ni roho ya msamaha imeongezeka kwa wanadamu au alternative girlfriends na boyfriends imeshindwa kufanya kazi ipasavyo?

je,
ni ahueni kwa single mothers na single fathers kwamba sasa wanarudiwa rasmi?

wabobevu, ndrugu zango wadau mnazungumziaje suala hili la kheri katika jamii zinazotunguka?🐒
Given that love knows no bounds, this should come as no surprise. I can still picture the girl who used to ask me to be her mistress, but I was unable to keep her out of trouble.
 
Kwa mwezi mzima sasa nimekuwa na mawasiliano na Ex wangu,, hisia zimenijia gafla za kutaka kumnyandua tena.....ila Kuna mchanganyiko wa hofu ya namna ya kumuacha tena nikishamnyandua...kifupi hana jipya sana na mimi ila nataka turudie shoooo
 
Back
Top Bottom