Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,138
- 22,236
Mara nyingi wanaorudiana huishia kuachana, tena kwa sababu ileile iliyowaachanisha mwanzo. Kwanini? Kwa sababu tabia ni kama ngozi, haiwezi kubadilika.unaweza elezea kwa kina kifupi kidogo gentleman kwa faida ya wadau ?🐒