Wimbi la ma ex girlfriends na ex boyfriends zao kurudiana limeongezeka sana nowadays nchini, kulikoni?

Wimbi la ma ex girlfriends na ex boyfriends zao kurudiana limeongezeka sana nowadays nchini, kulikoni?

unaweza elezea kwa kina kifupi kidogo gentleman kwa faida ya wadau ?🐒
Mara nyingi wanaorudiana huishia kuachana, tena kwa sababu ileile iliyowaachanisha mwanzo. Kwanini? Kwa sababu tabia ni kama ngozi, haiwezi kubadilika.
 
ni roho ya msamaha imeongezeka kwa wanadamu au alternative girlfriends na boyfriends imeshindwa kufanya kazi ipasavyo?

je,
ni ahueni kwa single mothers na single fathers kwamba sasa wanarudiwa rasmi?

wabobevu, ndrugu zango wadau mnazungumziaje suala hili la kheri katika jamii zinazotunguka?🐒


Wakiwa single Mama na Single father hawarudiani, wanaeudiana tu Wakiwa na ndoa!
 
Endapo mliachana kwa chuki na kuna visasi kati yenu nawashauri msirudiane msije mkaja kuwekeana sumu.
Take a Note
 
Back
Top Bottom