Wimbi la ma ex girlfriends na ex boyfriends zao kurudiana limeongezeka sana nowadays nchini, kulikoni?

Wimbi la ma ex girlfriends na ex boyfriends zao kurudiana limeongezeka sana nowadays nchini, kulikoni?

  • Lightning never strikes the same place twice
  • You cannot have the same person twice, not even in the same person
  • Shokashoka olashokela na yenge
unaweza elezea kwa kina kifupi kidogo gentleman kwa faida ya wadau ?🐒
 
Kikubwa ni 'Mkwamo' wa kimahusiano.

Watu wamekuwa 'Waoga' kuanzisha mahusiano mapya.

Kipato na Uaminifu ndio chanzo kikuu cha watu kupashana 'Viporo'.
Ohh aise, mambo mazito sana haya ee🐒
 
na huu utekaji kuanzisha penzi na stranger unaweza shangaa wanakuchinja!,so it's better to deal with the old one!
ooh hili tatizo la kiusalama hadi kwenye mapenzi ndrugu zango? 🐒
 
Hao wanaorudiana ni wale wanaorudiana kwa siri, yaani kila mtu anakuwa kwenye mahusiano yake mengine lakini wanatafutana kama ma ex waliendekeze.
Au wanarudiana but kisera zaidi, no plans za pamoja tena, no baby baby tena
huku na huku si inachosha sana ndrogu zango? 🐒
 
Kwa mwezi mzima sasa nimekuwa na mawasiliano na Ex wangu,, hisia zimenijia gafla za kutaka kumnyandua tena.....ila Kuna mchanganyiko wa hofu ya namna ya kumuacha tena nikishamnyandua...kifupi hana jipya sana na mimi ila nataka turudie shoooo
This thread has been closed
 
Labla huko kwenu
huku kwetu hamnaga maswala ya boyfriend and girlfriend, huku ukishavuta kitu ndrani ni mpaka kifo kiwatenganishe...

hili limekithiri huko kwa watu ambao ili ale mahindi ya kuchoma, lazima apake ndimu na chumvi kwanza dah...

ni kule kwa wala chipsi mayai kama chakula cha mchana au usiku, wakati huku kwetu hiyo ni mboga tu na tena haitoshi 🐒
 
Acha uongo hiyo labda kwenye korido za rangi mboga mboga.Na pia naweza kuhisi nini sababu,ukitaka kuijua ni rushwa ya chafuzi.
hii mada ni kwa ajili ya wanaume kamili na wasichana komandoz,

sio legelege ambao hana hata mchuchu kama wewe gentleman 🐒
 
𝙻𝚒𝚏𝚎 𝚊𝚏𝚝𝚎𝚛 𝚝𝚑𝚎 𝚏𝚒𝚐𝚑𝚝 ❤️
 
Wengi wetu kimetulamba tulikoenda, yaliyotupata huko tumerudi mikono nyuma kwa wapenzi wetu tulioachana nao kimakosa.

Sasa bahati ukute hajaoa wala kuolewa…
kwahiyo,
kumbe ile ngoma ya Amerudi Ananilia yake Christian Bella na malaika band, ina kukukumbushaga mbali sana dah 🐒
 
Uzii ufungweee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ufungwe kamba au fungiwe nguzo ya umeme na taa ili uonekane vizuri zaidi maana ni ahueni kwa single mothers na single fathers 🐒
 
Given that love knows no bounds, this should come as no surprise. I can still picture the girl who used to ask me to be her mistress, but I was unable to keep her out of trouble.
I don't know why always,
economic inferiority results at generating fear of unknown in most of relationships 🐒
 
Nakala kwa Smart & @mahandow aine kwenye faili.
ni wadau muhumu na wazoefu sana sio kwenye hizi songombingo za kabokamchizi,dah..

hatimae wamefikiwa na hali ya hewa kama iko upande wao na imewanyookea vile, wacha tuone lakini 🐒
 
Ukiona demu anakurudia ujuwe umeshajipata. Akili kichwani mwako mzee
 
Back
Top Bottom