Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Ajabu mkuu, sisi tulikuwa tunawekewa boksi za kondomu kwenye ma hosteli...
NGO's kibao zinatoa elimu pale. Cha kushangaza watu wanapigana mimba pale afu mmoja anamwachia mwenzie mzigo wa kulea.
Tunemaliza chuo watu kibao ni wazazi. 😊
Lazima amuachie kwani alimuomba hiyo mimba?
Fikiria binti wa miaka 18-22 yuko chuo hana boom na wazazi wake kumpa pesa za matumizi ni kwa kuungaunga sana halafu anakutana na mume wa mtu anamuhudumia kila kitu, kuanzia vipodozi, chakula, gesi mpaka kodi ya nyumbaKama utazungumzia chini ya 18 no sawa, lakini binti wa miaka 20,21, 22 ni mtu yupo chuo kikuu kabisa huyo, ana akili timamu kabisa. 😊
Serikali siku hizi tangu jiwe aingie madarakani iliacha kuhamasisha uzazi wa mpango, huwezi kusikia tena hizo habari kwenye redio au mashuleni. Mabinti wengi sana hawajui jinsi ya kupanga uzazi wa mpango au wana elimu mbalimbali potofu kuhusu uzazi wa mpango.Uzazi wa mpango si upo, kwanini umbebe mimba mwanaume ambaye hana uwezo wa kutunza mke na watoto
Condomu ni gharama, sawa vipi Kalenda nayo hamjui kutumia??
Kumwaga nje nayo vijana hamuwezi?? Mimi nimetumia njia hii na bibi yenu kwa watoto wote tuliozaa
Shida ni risk, binti hajala chakula kizuri cha kueleweka wiki nzima na pesa za kutengeneza nywele hana halafu inbox kuna meseji kama tano za vidume wanataka kumtoa out unafikiri nini kitafuata.Shida inafanya vipi mtu azalishwe?
Hebu elezea kidogo.
Kwa haya masimango wanayopewa masingle mom, kuna haja tuwape elimu ya uzazi wa mpango vijana wetuSerikali siku tangu jiwe aingie madarakani iliacha kuhamasisha uzazi wa mpango, huwezi kusikia tena hizo habari kwenye redio au mashuleni. Mabinti wengi sana hawajui jinsi ya kupanga uzazi wa mpango au wana elimu mbalimbali potofu kuhusu uzazi wa mpango.
binti anafika chuo, mahitaji yanakuwa mengi, wazazi hawajali tena, saa nyingine hawana cha kucontribute, binti anakomaa inafika muda anazidiwa sasa hapo ni either ajiunge na kundi la wadangaji na kuchoropoa mimba, au kwa ushamba wake apate ki-bf cha kawaida wadate kwa kuahidiana ndoa, hapa mara nyingi wanaishia kuishi pamoja kupunguza cost of living,hapo ndipo binti atabeba mimba kwa kuendekeza mapenzi chuoni au baada ya masomo! Akiamini kumfanyia hivyo bwana mdogo ndio kutazidisha mapenzi! Ndio matokeo yake anakuja kubumburuka sio hivyo adhahaniavyo!Shida inafanya vipi mtu azalishwe?
Hebu elezea kidogo.
Umeandika vizuri ILA umesahau mojaSiku za hivi karibuni single mothers wamekuwa wakilaumiwa, kukejiliwa na kurushiwa maneno mengi ila ukweli ni kwamba wao ni matokeo tu na sio sahihi kuwananga wao badala ya kuangalia chanzo.
Ukweli ni kwamba chanzo kikubwa cha single mothers ni wazazi kushindwa kuwahudumia watoto wao wa kike na kuwasababisha kuwa tegemezi hata kwa vitu vidogo kama pedi na mafuta kutoka kwa vijana waganga njaa na wanaume watu wazima wenye pesa.
Jambo lingine ni hali ngumu ya kiuchumi isiyosapoti maisha ya familia inayowakabili vijana wengi na hapa serikali inawajibika moja kwa moja, vijana wengi hawana pesa za kulea familia kwa hiyo wanabaki kuhonga vipesa vidogo vidogo kufanya ngono na kuzalisha kiholela tu.
Yasiporekebishika haya mawili kelele za mabinti wanaozaa na kubaki single mothers zitaendelea kupigwa daima.
Ni wote tu, kwani binti kajitia kidole!Hapo shida hiyo ipo kwa kijana anaesoma au binti anaye soma wanapozalishana?
Na mara nyingi wanalazimisha umzalie, ukikataa anasitisha huduma!Fikiria binti wa miaka 18-22 yuko chuo hana boom na wazazi wake kumpa pesa za matumizi ni kwa kuungaunga sana halafu anakutana na mume wa mtu anamuhudumia kila kitu, kuanzia vipodozi, chakula, gesi mpaka kodi ya nyumba
Sawa kabisa,Yote kwa yote tusiache kulombana😋🔥🔥
Hapo hachomoki!Shida ni risk, binti hajala chakula kizuri cha kueleweka wiki nzima na pesa za kutengeneza nywele hana halafu inbox kuna meseji kama tano za vidume wanataka kumtoa out unafikiri nini kitafuata.
DuhNa mara nyingi wanalazimisha umzalie, ukikataa anasitisha huduma!
Njaa ni mbaya sana isikie tu! Kushindia mkate mchezo! Ulishawahi kunywa uji na nyanya chungu wewe?Unawatukana wanawake, unasema kwamba;
1. Wanawake ni wajinga mno mpaka wanajirahisisha kubeba mimba ili kuepuka njaa.
2. Wanawake wanajipa umuhimu sana, wanaona hawastahili kuteseka na hivyo hawataki kuvumilia shida.
Aisee waombe msamaha sasa hivi kabla hawajakasirika😆
Shida na kuzalishana havina uhusiano!Watu wanazalishana sana vyuoni kisa shida mkuu, waliomaliza vyuo recently watakueleza!