Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
- Thread starter
- #61
Vina mahusiano makubwa sana, mimba nyingi za utotoni na single mothers ni kutoka tabaka la masikini zaidi. Ni nadra kukuta mabinti kutoka familia zenye kipato kizuri na matajiri wakipata mimba kwenye umri mdogo au wakiwa single mothers.Shida na kuzalishana havina uhusiano!
Huenda malezi mabovu na kuzalishana vikawa na uhusiano, nasema tu huenda!!