Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Ulinasauti ya wiza hadi imemtoa nyoka pangoniObhebhe!😃
Ulinasauti ya wiza hadi imemtoa nyoka pangoniObhebhe!😃
Unajisikiaje mama?😅Hujui tu ukiniita mama ninavyojisikia🥰
Duhh kuna watu wana mioyo ya kipekee, ukamzalie tu mtu!🤔Bwana bwana! Akikolea mapenzi hususan ya wizi! Anapotaka kukuibia, atakueleza, nitakuzalia mtoto.
Hahah sio kweli! Nikimuangalia mama yangu alivyo strict na hakumbatii ujinga ndio kabisa!!Mimi naona anayestahili lawama zote ni mama wa single mother kwasababu mara nyingi ndo anajua mambo mengi kuhusu mtoto wake sisi wanaume ni watu wa kuletewa matokeo tu nasema hivi nikiwa na maana kwamba malezi ya mtoto wa kike asilimia kubwa huwa yametawaliwa na mama zao hata mf. kuweka njiti na kuchomoa mimba. Inafika kipindi binti anatamani kuwa na mtoto anazaa na yeyote tu ili kukwepa aibu kwamba hana hata mtoto wa kusingiziwa. Kwahiyo mama ndo chanzo cha mtoto kuharibikiwa.
Nini kifanyike wazazi wote mjitahidi kuwalea watoto katika misingi ya dini, mila na pia muwapatie elimu ya mapenzi(ndoa za utotoni na mimba za utotoni) mkibainisha madhara yake.
Muwaambie pia watimize ndoto zao kwanza wasikimbilie majukumu katika umri mdogo. ALISANDE SANA WAKONONGO
Wigwaga hale nang’o😆Ulinasauti ya wiza hadi imemtoa nyoka pangoni
Najisikia raha😌Unajisikiaje mama?😅
Nilitaka kusema jambo, ila leo naomba nikae kimya nisionekane mzee wa hovyo!Najisikia raha😌
Be free tumeshakuzoea 🤷🏽♀️ 😂Nilitaka kusema jambo, ila leo naomba nikae kimya nisionekane mzee wa hovyo!
Hapa hapa the way you write is the way you speakWigwaga hale nang’o😆
Actually huo ndio uhalisia, mengine ni nyongeza tu.
Stop making assumptions muzee! Most of things we do only for fun!Hapa hapa the way you write is the way you speak
Hayaeeee bhn naweza kuja PM au imejaa?Stop making assumptions muzee! Most of things we only do for fun!
Nipo Mbagala huku msikitini nimekuja likizo twaweza onana kesho?Stop making assumptions muzee! Most of things we only do for fun!
Naanza kutakata, sitaki dhambi!Be free tumeshakuzoea 🤷🏽♀️ 😂
Una funguo? Au unakujakuja tu😂Hayaeeee bhn naweza kuja PM au imejaa?
NinazoUna funguo? Au unakujakuja tu😂
Heh! Where am I?🙄Nipo Mbagala huku msikitini nimekuja likizo twaweza onana kesho?
Baada ya kupitia tujukuu wee sasa unamrudia Mungu uzeeni😁Naanza kutakata, sitaki dhambi!
Kila la kheri💃🏽Ninazo
🤔Heh! Where am I?🙄