Wimbi la ‘single mothers’, wa kulaumiwa zaidi ni Wazazi na Serikali

Wimbi la ‘single mothers’, wa kulaumiwa zaidi ni Wazazi na Serikali

Hilo ni janga la dunia! Siyo Tanzania tu.
Ni karibia nchi maskini zote duniani.
 
Wewe jamaa siku hizi unazidi kuwa popoma kuliko popoma mwenyewe.

Wapo ma single mother familia zao zina kila kitu ikiwa na hata elimu wamepewa nk.

Hapa tu Kuna mtoto wa pastor Mmoja kabeba mimba ya rusha season walikuwa majirani yeye akiuza duka la nyumbani kwao huku kijana huyu naye akirusha season flem jirani....

Binti ana maadili ukimuona amekataa waoaji waliofika hadi kwao akisema anaenda chuo kusoma dukani hapo Kuna kila kitu hadi hizo ped anaziuza nk

Huyu wakulaumiwa ni nani ? Mzazi kahusikaje hapa? Serikali iyapige makufuli basi kwenye vikojoleo.
FB_IMG_1779730327234.jpg
 
Kuna ndo zinavunjia na mama anaondoka na mwanae, baba kazi kwake kutuma matumizi, wengine hawatumi kabisa. Sio wote wanapeana mimba vyoni na kukimbiana

Sasa kama hao, wazazi wao tuwahusishe vipi hapo? 😊
 
Nini kifanyike baada ya findings zako
1. Kampeni za elimu na huduma za uzazi wa mpango zirudishwe kwenye media, vyuo na mashule kwa nguvu kubwa na serikali, pia wazazi wawe wazi kuzungumza na watoto kuhusu masuala ya ngono, mimba na uzazi wa mpango.

2. Kuondokana na utamaduni wa kificho wa vijana na wasichana kuficha boyfriends na girlfriends wao kwa wazazi wao. Boyfriend na girlfriend wakitambuliwa kwa wazazi itakuwa vigumu sana kuachana.

3. Uchumi wa familia uboreshwe, hili ndilo kubwa zaidi na suluhisho la muda mrefu.
 
Back
Top Bottom