Mapendekezo yana mashiko mkuu✅1. Kampeni za elimu na huduma za uzazi wa mpango zirudishwe kwenye media, vyuo na mashule kwa nguvu kubwa na serikali, pia wazazi wawe wazi kuzungumza na watoto kuhusu masuala ya ngono, mimba na uzazi wa mpango.
2. Kuondokana na utamaduni wa kificho wa vijana na wasichana kuficha boyfriends na girlfriends wao kwa wazazi wao.
3. Uchumi wa familia uboreshwe, hili ndilo kubwa zaidi na suluhisho la muda mrefu.
Unajua zamani at least kulikua na jando na unyago, lakini sikuizi tunachukuana juu kwa juu tuu! Wazazi wanafurahi mwenetu kaoa au kalewa, mafundisho ya ndoa hayatoshi. Wazazi wana umuhimu waoSasa kama hao, wazazi wao tuwahusishe vipi hapo? 😊
Wewe unamchokoza mudi boy ngoja adriz akusikie unapinga Sunnah za mudi boyHaya mavijana ya sasa hivi nayo miyeyusho tu , yanapenda kitonga , hayataki kufnya kazi ,ila starehe yanapenda ,ona hilo👇View attachment 3595451
Wewe sio wa kunitelekeza mwezi mzima baba mchungaji🤨😆😆😆 Wewe 🐑 njoo hapa lete majibu
Unataka nikubali? 🫢We kweli ni mbishi
Sasa jeUnataka nikubali? 🫢
Ugumu wa maisha ya wananchi serikali inahusika, kapitie vyanzo vyako vya maarifa.Serikali haihusiki haitahusika na malezi ya watoto.
Serikali ndio Ulimwengu.
Usipofunzwa na Mamaako basi mifumo ya dunia itakufunza. Serikali ni sehemu ya hiyo mifumo.
Serikali KAZI yake ni kukusanya Kodi, ulinzi, huduma za kijamii, kiuchumi na kisiasa.
Mtoto usipomfunza serikali itanufaika kwa makosa na uzembe wenu.
ili unione mwema sana? 🙄Sasa je
Kwenye hiyo age group ni kweli wengi ni dhiki inawaponza. Ila pia peer pressure (kuiga), elimu duni etc vinachangia.Kuna single mothers wengi sana wadogo miaka 17-22, Hawa ndio ninowazungumzia zaidi na sio single mothers wakubwa wanaojiweza wanaoamua kuwa hivyo baada ya kuchelewa kuolewa.
hasa hasa kuiga!Kwenye hiyo age group ni kweli wengi ni dhiki inawaponza. Ila pia peer pressure (kuiga), elimu duni etc vinachangia.
unafurahisha sana, umemfanyia nani na nani hiyo tafiti yako?Hakuna mwanamke mwenye tabia njema,mwenye heshima na mvumilivu akashindwa kuolewa.mwaname hata akiwa masikini akiona mwanamke ana hivyo vigezo atamuo.
Hao unawaona ni single mother jua fika wamekosa hivyo vigezo hapo juu.
Una mtazamo finyu sanaHakuna mwanamke mwenye tabia njema,mwenye heshima na mvumilivu akashindwa kuolewa.mwaname hata akiwa masikini akiona mwanamke ana hivyo vigezo atamuo.
Hao unawaona ni single mother jua fika wamekosa hivyo vigezo hapo juu.
Ugumu wa maisha ya wananchi serikali inahusika, kapitie vyanzo vyako vya maarifa.
Kama maisha ni yako mbona unalipa kodi kwa serikali?Upo sahihi kwa kiasi chake.
Ila ugumu wa maisha ni suala linaloanzia nyumbani.
Maisha ni yako na wazazi wako.
Kama maisha ni yako mbona unalipa kodi kwa serikali?
Tena waache kutegea, tusitegeane jamani ni kuwekana vitu tu😎Yote kwa yote tusiache kulombana😋🔥🔥