Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
HaaaaaaaahKila la kheri💃🏽
HaaaaaaaahKila la kheri💃🏽
Nakikalaga msengerema, manyehunge ghete!😁
Umebaki wewe tu mjukuu😅Baada ya kupitia tujukuu wee sasa unamrudia Mungu uzeeni😁
Malizia malizia niko kwenye foleni babu😁Umebaki wewe tu mjukuu😅
Bulongo uliDsmNakikalaga msengerema, manyehunge ghete!😁
Wanibonaga kwenoko nanale?Bulongo uliDsm
Wikale kumaswa malihu cheniko udule kuchati Jf gete lekaga shi mwanikebeNakikalaga msengerema, manyehunge ghete!😁
Nakubonile Jumapili aho Urafiki stand point nikasema huyu ndo SeranWanibonaga kwenoko nanale?
Haya mavijana ya sasa hivi nayo miyeyusho tu , yanapenda kitonga , hayataki kufnya kazi ,ila starehe yanapenda ,ona hilo👇Chanzo cha single mother ni wanawake kutaka kushindana na wanaume hivyo wanaume kuwa epuka na kuwaona siyo wasaidizi bali washindani.. hivyo umuhimu wa mwanamke umepotea katika familia kwa sababu mwanamke kawa mshindani siyo msaidizi kwa mwanaume.
Kwani bakikalaga kwenoko batochatuigi?😂Wikale kumaswa malihu cheniko udule kuchati Jf gete lekaga shi mwanikebe
Kuna ndo zinavunjia na mama anaondoka na mwanae, baba kazi kwake kutuma matumizi, wengine hawatumi kabisa. Sio wote wanapeana mimba vyoni na kukimbianaHoja ya wazazi haina mashiko. Watu wenhi huzalishana na kukimbiana mavyuoni huko na kwenye utafutaji.
Hahaha najiachia mno kwasabu sizururi na hutokaa unione huko😂Nakubonile Jumapili aho Urafiki stand point nikasema huyu ndo Seran
Nikuweke huku naita "mama", ngoja nilifanyie kazi😅Malizia malizia niko kwenye foleni babu😁
Sasa huyo atakinai siku hiyohiyo hayo matrencha huwa yana majasho kwa bedHaya mavijana ya sasa hivi nayo miyeyusho tu , yanapenda kitonga , hayataki kufnya kazi ,ila starehe yanapenda ona hilo👇View attachment 3595451
Nzugu pmHahaha najiachia mno kwasabu sizururi na hutokaa unione huko😂
Kuwekana huko tena ni lugha nyingine mzee, we kariri sasa🤣Nikuweke huku naita "mama", ngoja nilifanyie kazi😅
Umeona utudhilishe mabonge nyanya sio?Sasa huyo atakinai siku hiyohiyo hayo matrencha huwa yana majasho kwa bed
Kwitake?🫢Nzugu pm
Nagutumile helaKwitake?🫢