Wimbi la ‘single mothers’, wa kulaumiwa zaidi ni Wazazi na Serikali

Mapendekezo yana mashiko mkuu✅
 
Sasa kama hao, wazazi wao tuwahusishe vipi hapo? 😊
Unajua zamani at least kulikua na jando na unyago, lakini sikuizi tunachukuana juu kwa juu tuu! Wazazi wanafurahi mwenetu kaoa au kalewa, mafundisho ya ndoa hayatoshi. Wazazi wana umuhimu wao
 
Ugumu wa maisha ya wananchi serikali inahusika, kapitie vyanzo vyako vya maarifa.
 
Kuna single mothers wengi sana wadogo miaka 17-22, Hawa ndio ninowazungumzia zaidi na sio single mothers wakubwa wanaojiweza wanaoamua kuwa hivyo baada ya kuchelewa kuolewa.
Kwenye hiyo age group ni kweli wengi ni dhiki inawaponza. Ila pia peer pressure (kuiga), elimu duni etc vinachangia.
 
Hakuna mwanamke mwenye tabia njema,mwenye heshima na mvumilivu akashindwa kuolewa.mwaname hata akiwa masikini akiona mwanamke ana hivyo vigezo atamuo.

Hao unawaona ni single mother jua fika wamekosa hivyo vigezo hapo juu.
 
Una mtazamo finyu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…