Kaka madenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2021
- 312
- 574
Maajabu ( sauti ya baba Otis}Karibu Tanzania nchi ambayo kuna magari ya Jinsia ya Kike na Kiume
Karibu Tanzania nchi ambayo kuna magari ya Jinsia ya Kike na Kiume
Only in TanzaniaππKuna watu Wapumbavu sana Mkuu.
Hakuna hakunahebu tuwekane sawa jamanii,kwani hata kwenye manual ya hao waliotengeneza hizo the so called gari za kike,kuna mahali pamenadikwa for male or female? π€·ββοΈ
sasa sijui wengine wanapata wapi nguvu za kuclassify gari za kike na za kiume,jamani this world πββοΈHakuna hakuna
Wewe nadhani tumeelewana tunakwenda sawaBonge la mtu,kitambi kule na suti kuubwa,anachomoza kwenye IST...
Basi tu, majivunosasa sijui wengine wanapata wapi nguvu za kuclassify gari za kike na za kiume,jamani this world πββοΈ