Wimbi la vijana wengi kutembelea gari za kike

Wimbi la vijana wengi kutembelea gari za kike

Huu uzi umenikumbusha juzi, Tulikuwa pub na dingi mmoja hivi, yeye anamiliki V8, wakati tunaendelea kunywa, akatokea jamaa mmoja akashuka kwenye IST yule dingi akaropoka "Ukiwa unaendesha V8 afu ukamuona mtu anaendesha IST unamuona kama amechanganyikiwa hivi"
...watu tulicheka balaa[emoji23][emoji23]

NB: Tuache dharau wakuu gari ni gari ilrimradi ina matairi manne na inatembea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Namuunga mkono mleta hoja!

Kiukweli tujibane bane tutembelee gari za kiume kama-
NISSAN X-TRAIL
KLUGGER
NISSAN DUALS
PRADO
SUBARU FORESTER XT
ONGEZEA...yaani unapita nalo maeneo kila mtu anapandwa na mizuka + wazimu.

lakini hizi IST,SPACIO,PASSO,HARRIER,CROWN,ALLION,PREMIO,VITZ,SUBARU IMPREZA etc.. itoshe sasa kuwaachia hawa dada zetu.

RAV 4 + SUZUKI,tuwaachie wazee wetu + walimu wetu wenye makamo + watumishi wa Mungu.

Sikatai kama kipato kinaweza kuwa kidogo,chukua basi hata PROBOX ijulikane wewe ni mtu wa kazi kazi!...sio dume nzima una minywele kila mahali unatembelea VITZ aibu tupu!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukisikia upumbavu basi huu ni wa kiwango cha ajabu!
Wenye kumiliki Vitz tena vya mkopo kabisaaa!, ni Rahisi sana kuwajua, wana mihasira hao!!! hee! hawataki kuviachia, na hela ya kununua Midude km ya nyarusare hawana!! na Kirkuu haikamatiki siku hizi!! wanadharaulika sana Barabarani Bongo! huko mikoani sijui ...

Yaani Mara wachomekewe Maksudi na madereva wa Daladala, kisingizio sijakuona mkuu!! kigari kiko chini!! sasa wewe simamisha hicho kidude chako barabarani eti una subiri trafik aje kupima utoporo,

Uone utakavyo koga mitusi na kashfa kwa wenye ndinga kali! !! kama siyo kusukumwa na wapiga debe ili upishe wapate hela! utasikia ''hoyaaa!! kapike kwanza ndo uje" wa mkoa ni ngumu kujua matusi ya hivi!

Kama mimi muongo test! nenda nako kanisani siku moja! kama utapewa seat ya mbele na wahudumu wa kanisa!! uje unambie, lkn wenye mindinga mikali wanapokelewa na wahudumu wanaonyeshwa viti vya mbele kabisa wanakuwa wa kwanza kubarikiwa na Padre!

Kama ni mkate wa Bwana wenye ndinga kali na familia zao! wanapewa wa aina ya pekee! ili wabarikiwe zaidi!! halafu wanakuwaga wa mwisho mwisho wakitoka na Mapadre,

Sasa wewe mzee wa heli 79 na kadude kako hako kamebanwa katikati humo! hutokimo mpaka waje! tena kwa muda wao! na madoi ido! bwena bwena! utasikia ''Oooh! sorry! sorry!'' halafu hawakuangalii usoni! ukirudi kanisa hilo.....heee!!

Kama naongopa jaribu paleee SDA Magomeni uone!! KKT, RC city centre!! Arusha Usaliver, nk utazimia. ni bora ukiache home! na watu wanao ishi jirani na makanisa wanauzio mkali hapo lazima ukomae na Parking ya kanisa tuuu! je hujawekwa mtu kati?

labda ubaki humohumo kwenye ki gari kila wakija unakarudisha nyuma! waongoza park watakubananisha tu humo kati!

Pole sana Mkuu ila kwa Dar! utaumia sana! kwa kuendesha hivi vidude!! kuna vitu ni mateso unaweza kujinyonga hivihivi! najua sana madhila mnayopitia ujue hakauziki kirahisi!! ni rahisi dereva wa Lori la mchanga kukwepa mpita njia ili agonge vitz!! sasa huoni kuwa wewe ni target?

Ni vizuri ukaendeshee nje ya Mji km Chalinze hukooo! kwa kina kikwete lkn pia baba uwe makini Mabasi ya Mkoa ndo zao! tatizo ni kwamba hawaoni tabu kukuletea! sababu ni vilaini mno! Gari lake litabaki zimaaa! hasa ukikosea tu ukawa wrong site! heeeee!!! sijui......
 
Wivu tu unakusumbua, mwishoe utauliza kwa nini siku hizi watu wanajenga nyumba za madirisha ya.Aluminium!
siyo wivu jamani !!! wewe hujui tu aibu!! na dahrau wanayo pata barbarani wanaume wanoendesha hivi vidude! siku ukijaribu utajua
 
Ukiichunguza vizuri IST ina sehemu ya kuhifadhia PAD, na sehemu ya dharula kwa kina mama! siku zao zikiwatokea ghafla !! chini ya viti vile pale kuna mambo yana fanyika km kufyonza hivi! tena waweza unganisha na chupi malum za IST.

Viti Vile viti vya Ist vimeundwa maalum kwa ajili ya matako ya kina mama! kunyonya na kukausha chochote kikimtokea chini ya makalio mfano wamama wengine wanaweza hata kukojoa wakiwa wamekaa vile vile!

sababu kubwa wamama wengi ni waoga hasa wakipata ajali wanajikojoleaga sana hapo hapo na ghafla some times hii inawapelekea kuibiwa mali zao! hawajui kutafuta suruhu ya haraka wanaweza pia kufa wakimgonga mtu! au kuingia mtaroni ndo myoyo yao ilivo!

ndo maana kina baba wengi wakiendesha saaana Ist wanakuwa na makalio makavu meusi km yamechomeka hivi chunguza! Madaktari mtu saidie hapa! yaani utajua tu huyu jamaa aliendesha sana Ist.pia huleta uhanithi!

sababu kubwa ya wababa kuwa hivi miili yao haina mafuta mafuta na hawapakagi mafuta mwilini, in long run makalio yanakuwa meusi faida nyingine ni hii

stelling ya ist ina sehehmu ya kuhifadhia maziwa km kuna ajali, viti maalum kwa ajili ya watoto wadogo! kapu la sokoni, havina mwendo mkali. siyo rahisi kushika moto! wkt kina baba wanaendesha gari km mashindano ist hkn hiyo!
Dah, akili yako unaijua mwenyewe
 
sasa sijui wengine wanapata wapi nguvu za kuclassify gari za kike na za kiume,jamani this world [emoji2296]
Huyo bado ni mtoto anaishi kwa kulelewa. Bado yupo kwenye theory za maisha. Msameheni bure
 
Tanzania wananchi wake wa ajabu gari la kike na gari lakiume.ukijipulizia parfum wanakwambia unanukia kama mwanamke.mwanaume haitaji parfum. Ukijapaka mafuta unasema wewe kama mwanamke unajipaka mafuta.
 
Back
Top Bottom