Wimbi la vijana wengi kutembelea gari za kike

Wimbi la vijana wengi kutembelea gari za kike

Ndugu zangu

Inakuwaje mwanaume mzima anaendesha ka baby Walker?

Yaani jibaba nene linatumia kigari cha mkewe? Huoni aibu? Si bora hata upande daladala?

Hata Bashite alisema wazi vi gari vya IST ni vigari vya kuhongwa wewe mwanaume huoni aibu?

Hii tabia walikuwa nayo wanaume wa Kinondoni, ila sasa wameambukiza na wa mikoani..

Aibu sana
Pesa kdgo mshaanza kuita gari za kike
 
Ndugu zangu

Inakuwaje mwanaume mzima anaendesha ka baby Walker?

Yaani jibaba nene linatumia kigari cha mkewe? Huoni aibu? Si bora hata upande daladala?

Hata Bashite alisema wazi vi gari vya IST ni vigari vya kuhongwa wewe mwanaume huoni aibu?

Hii tabia walikuwa nayo wanaume wa Kinondoni, ila sasa wameambukiza na wa mikoani..

Aibu sana
Gari ya kike! He, makubwa haya!
 
Huku sasa wameenda mbali...
IMG-20210209-WA0034.jpg
 
Namuunga mkono mleta hoja!

Kiukweli tujibane bane tutembelee gari za kiume kama-
NISSAN X-TRAIL
KLUGGER
NISSAN DUALS
PRADO
SUBARU FORESTER XT
ONGEZEA...yaani unapita nalo maeneo kila mtu anapandwa na mizuka + wazimu.

lakini hizi IST,SPACIO,PASSO,HARRIER,CROWN,ALLION,PREMIO,VITZ,SUBARU IMPREZA etc.. itoshe sasa kuwaachia hawa dada zetu.

RAV 4 + SUZUKI,tuwaachie wazee wetu + walimu wetu wenye makamo + watumishi wa Mungu.

Sikatai kama kipato kinaweza kuwa kidogo,chukua basi hata PROBOX ijulikane wewe ni mtu wa kazi kazi!...sio dume nzima una minywele kila mahali unatembelea VITZ aibu tupu!!
Tegemea kushambuliwa sana mkuu watu wana hasira sana
 
Ndugu zangu

Inakuwaje mwanaume mzima anaendesha ka baby Walker?

Yaani jibaba nene linatumia kigari cha mkewe? Huoni aibu? Si bora hata upande daladala?

Hata Bashite alisema wazi vi gari vya IST ni vigari vya kuhongwa wewe mwanaume huoni aibu?

Hii tabia walikuwa nayo wanaume wa Kinondoni, ila sasa wameambukiza na wa mikoani..

Aibu sana
Wivu tu unakusumbua, mwishoe utauliza kwa nini siku hizi watu wanajenga nyumba za madirisha ya.Aluminium!
 
Ukiichunguza vizuri IST ina sehemu ya kuhifadhia PAD, na sehemu ya dharula kwa kina mama! siku zao zikiwatokea ghafla !! chini ya viti vile pale kuna mambo yana fanyika km kufyonza hivi! tena waweza unganisha na chupi malum za IST.

Viti Vile viti vya Ist vimeundwa maalum kwa ajili ya matako ya kina mama! kunyonya na kukausha chochote kikimtokea chini ya makalio mfano wamama wengine wanaweza hata kukojoa wakiwa wamekaa vile vile!

sababu kubwa wamama wengi ni waoga hasa wakipata ajali wanajikojoleaga sana hapo hapo na ghafla some times hii inawapelekea kuibiwa mali zao! hawajui kutafuta suruhu ya haraka wanaweza pia kufa wakimgonga mtu! au kuingia mtaroni ndo myoyo yao ilivo!

ndo maana kina baba wengi wakiendesha saaana Ist wanakuwa na makalio makavu meusi km yamechomeka hivi chunguza! Madaktari mtu saidie hapa! yaani utajua tu huyu jamaa aliendesha sana Ist.pia huleta uhanithi!

sababu kubwa ya wababa kuwa hivi miili yao haina mafuta mafuta na hawapakagi mafuta mwilini, in long run makalio yanakuwa meusi faida nyingine ni hii

stelling ya ist ina sehehmu ya kuhifadhia maziwa km kuna ajali, viti maalum kwa ajili ya watoto wadogo! kapu la sokoni, havina mwendo mkali. siyo rahisi kushika moto! wkt kina baba wanaendesha gari km mashindano ist hkn hiyo!
Ukisikia upumbavu basi huu ni wa kiwango cha ajabu!
 
Ndugu zangu

Inakuwaje mwanaume mzima anaendesha ka baby Walker?

Yaani jibaba nene linatumia kigari cha mkewe? Huoni aibu? Si bora hata upande daladala?

Hata Bashite alisema wazi vi gari vya IST ni vigari vya kuhongwa wewe mwanaume huoni aibu?

Hii tabia walikuwa nayo wanaume wa Kinondoni, ila sasa wameambukiza na wa mikoani..

Aibu sana
Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dharau hizi
 
Japo sikatai kuwa mimi ni masikini sana, lakini kwa kweli kuna vigari ni vya kike.

Kigari kiko kama toroli lililoezekwa bati! Hapana aisee....

Kama una pesa nunua gari yenye nguvu....... Kama hauna pia sio mbaya kuwa na IST. Maisha ni kuchagua.

Lakini penye ukweli pasemwe tu!

Tugari tudogo dogo twa kichina kama IST ni twa kike!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom