Wimbi la vijana wengi kutembelea gari za kike

Wimbi la vijana wengi kutembelea gari za kike

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ahsante Sana... Nimecheka hapa kama fala vile[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chezea JF weyeeeeh,
 
Kuna shoga angu alikuwa anagombana na mfanyakazi mwenzie kazini ( huyo mwenzie Ana gari).

Katika kubwatuzana yule shoga angu akaropoka " unaringia hicho kigari.....wakati hilo ni kaburi tu..mnajifanya matajiri mnanunua makaburi".

Wakati yeye anapanda daladala Kila siku.

Nilivyosoma hii thread nimemkumbuka shoga yangu.

Maneno ya mkosaji!!!
We ni binti?
 
Watakwambia azili mafuta.
Wanahesabu zao wenyewe wanapigaga"1lt/15km
"Alafu vile mjini parking ni shida,so ukiwa na hatchback ni rahisi kupata nafasi.

Aiwezekani kubwa zima na vinyweleo kibao kifuani alafu unang'ang'ana na Passo sijui,Ist,Vitz wakati izo ni gari za mabinti tena mabikira.
Halafu BAK na hapa atabisha na IST yake
 
Kwann unashikwa na hasira. Mleta mada Asikuumize kichwa wala kukupa hasira, hana madhara, ni mwanaume mwenye tatizo la udhaifu wa jinsia( Hali ya kuhisi kuna wanaume zaidi yako somewhere somehow kutokana na pesa au mali).

Kwake kipimo cha kuwa mwanaume pia ni aina ya gari unaloendesha, anapokosa gari ni bora apande daladala kuliko kuwa na IST maana anaogopa cruiser isije akatongozwa akashindwa kukataa kwani mwenye crusier ni mwanaume zaidi yake. Anadefine mwanaume kwa namna tofauti kabisa na namna wanaume tunavyodefine neno mwanaume.

GARI NI RESOURCE YA KURAHISISHA UZALISHAJI WA KUIHUDUMIA FAMILIA. GARI HAINA JINSIA.

NINA GARI TATU, NA NIKIWA MJINI BABYWALKER IS WHAT I DRIVE SABABU YA FLEXIBILITY. V SHAPE ENGINES NATUMIA SAFARINI NA KAZI ZA NJE YA MIJI TU.
Acheni kujipa moyo mnaendesha gari za kike dume zima huoni hati aibu unaendesha gari ya mkeo au binti wa chuo
 
Acheni kujipa moyo mnaendesha gari za kike dume zima huoni hati aibu unaendesha gari ya mkeo au binti wa chuo
Mtazamo wako juu ya jinsia yako siupingi. Hilo ni tatizo lako. Situmii gari ya mke wangu, ana gari lake na mm nina gari zangu.
 
Mtazamo wako juu ya jinsia yako siupingi. Hilo ni tatizo lako. Situmii gari ya mke wangu, ana gari lake na mm nina gari zangu.
Huwezi endesha passo halafu useme ni gari yako

Hiyo ni ya mkeo badili gari uendeshe hata tako la nyani angalau
 
Huwezi endesha passo halafu useme ni gari yako

Hiyo ni ya mkeo badili gari uendeshe hata tako la nyani angalau
Hunielewi ndugu. Nimekuambia ninazo gari zangu mm. Mke wangu ana gari yake, Nina v-shapes engine zenye horse power ya kutosha mbili. Na still hiyo baby walker naitumia pia pale ninapolazimika kuitumia esp siku ninapokuwa too busy mazingira ya mjini. Tofauti yangu mm na ww ni matazamo wa kwann tunamiliki magari. Pengine labda na maana ya neno mwanaume. Ila sikupingi as long as hizo fikra ni zako na ndivyo unavyojisikia ndani yako. Mm hisia zako hazina maana yoyote kwangu.
 
Huu uzi umenikumbusha juzi, Tulikuwa pub na dingi mmoja hivi, yeye anamiliki V8, wakati tunaendelea kunywa, akatokea jamaa mmoja akashuka kwenye IST yule dingi akaropoka "Ukiwa unaendesha V8 afu ukamuona mtu anaendesha IST unamuona kama amechanganyikiwa hivi"
...watu tulicheka balaa[emoji23][emoji23]

NB: Tuache dharau wakuu gari ni gari ilrimradi ina matairi manne na inatembea
 
Back
Top Bottom