Wimbi la vijana wengi kutembelea gari za kike

Japo mimi ni masikini sana, lakini kwa kweli kuna vigari ni vya kike.

Kigari kiko kama toroli lililoezekwa bati! Hapana aisee...
Mkuu unemaliza sina la kusema
Ila cha ajabu wameniita mjinga ,mshamba Mara sijui nini

Vitu vingine ni kuambiana ukweli hata kama unauma naona jamaa wamepata hasira sana
 
Ukiichunguza vizuri IST ina sehemu ya kuhifadhia PAD, na sehemu ya dharula kwa kina mama! siku zao zikiwatokea ghafla !! chini ya viti vile pale kuna mambo yana fanyika km kufyonza hivi! tena waweza unganisha na chupi malum za IST.

Viti Vile viti vya Ist vimeundwa maalum kwa ajili ya matako ya kina mama! kunyonya na kukausha chochote kikimtokea chini ya makalio mfano wamama wengine wanaweza hata kukojoa wakiwa wamekaa vile vile!

sababu kubwa wamama wengi ni waoga hasa wakipata ajali wanajikojoleaga sana hapo hapo na ghafla some times hii inawapelekea kuibiwa mali zao! hawajui kutafuta suruhu ya haraka wanaweza pia kufa wakimgonga mtu! au kuingia mtaroni ndo myoyo yao ilivo!

ndo maana kina baba wengi wakiendesha saaana Ist wanakuwa na makalio makavu meusi km yamechomeka hivi chunguza! Madaktari mtu saidie hapa! yaani utajua tu huyu jamaa aliendesha sana Ist.pia huleta uhanithi!

sababu kubwa ya wababa kuwa hivi miili yao haina mafuta mafuta na hawapakagi mafuta mwilini, in long run makalio yanakuwa meusi faida nyingine ni hii

stelling ya ist ina sehehmu ya kuhifadhia maziwa km kuna ajali, viti maalum kwa ajili ya watoto wadogo! kapu la sokoni, havina mwendo mkali. siyo rahisi kushika moto! wkt kina baba wanaendesha gari km mashindano ist hkn hiyo!
 
Hahahahahaha nimewaambia Ila hawqsikii mkuu bora umesema wewe
Ila BAK wamekazana kuviendesha aibu nimeona mimi
 
Kunijua hunijui hilo gari ninaloendesha uliliona wapi? Umeambiwa uweke list ya magari ya kike na kiume umeshindwa kufanya hivyo. Baadhi ya Watanzania ni Wapumbavu wakubwa kutaka kujibaraguza wanajua mambo ambayo hawayajui hata chembe.

Hahahahahaha poa nimeacha bwana mkubwa endelea na IST yako
 
Una ufinyu wa akili tena mkubwa sana. Kupinga ujinga wako umeshajua mimi naendesha gari gani pamoja na kuwa hunijui!!! Tengeneza magari yako ili uyaweke katika makundi ya magari ya kike/kiume lakini kwa sasa hivi hakuna manufacturers yeyote duniani anayefanya hilo.

Ilikuwa utani ila umechukulia hasira sana OK

Wewe akili kubwa umeshabuni hata kijiko?
Amua la kuamua sasa unaendesha IST
 
😂😂😂😂😂😂eti ulikuwa utani 🤣🤣🤣🤣
Ilikuwa utani ila umechukulia hasira sana OK

Wewe akili kubwa umeshabuni hata kijiko?
Amua la kuamua sasa unaendesha IST
 
Kuna shoga angu alikuwa anagombana na mfanyakazi mwenzie kazini ( huyo mwenzie Ana gari).

Katika kubwatuzana yule shoga angu akaropoka " unaringia hicho kigari.....wakati hilo ni kaburi tu..mnajifanya matajiri mnanunua makaburi".

Wakati yeye anapanda daladala Kila siku.

Nilivyosoma hii thread nimemkumbuka shoga yangu.

Maneno ya mkosaji!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kunijua hunijui hilo gari ninaloendesha uliliona wapi? Umeambiwa uweke list ya magari ya kike na kiume umeshindwa kufanya hivyo. Baadhi ya Watanzania ni Wapumbavu wakubwa kutaka kujibaraguza wanajua mambo ambayo hawayajui hata chembe.
Kwann unashikwa na hasira. Mleta mada Asikuumize kichwa wala kukupa hasira, hana madhara, ni mwanaume mwenye tatizo la udhaifu wa jinsia( Hali ya kuhisi kuna wanaume zaidi yako somewhere somehow kutokana na pesa au mali).

Kwake kipimo cha kuwa mwanaume pia ni aina ya gari unaloendesha, anapokosa gari ni bora apande daladala kuliko kuwa na IST maana anaogopa cruiser isije akatongozwa akashindwa kukataa kwani mwenye crusier ni mwanaume zaidi yake. Anadefine mwanaume kwa namna tofauti kabisa na namna wanaume tunavyodefine neno mwanaume.

GARI NI RESOURCE YA KURAHISISHA UZALISHAJI WA KUIHUDUMIA FAMILIA. GARI HAINA JINSIA.

NINA GARI TATU, NA NIKIWA MJINI BABYWALKER IS WHAT I DRIVE SABABU YA FLEXIBILITY. V SHAPE ENGINES NATUMIA SAFARINI NA KAZI ZA NJE YA MIJI TU.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sikujuaga kama tunatakiwa kuendesha magari kwa jinsia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo ujue sasa, kwa fikra hizi halali corona iwe republished TZ. Maana haikut8 kitu kwa ubongo lol
 
Kuna shoga angu alikuwa anagombana na mfanyakazi mwenzie kazini ( huyo mwenzie Ana gari).

Katika kubwatuzana yule shoga angu akaropoka " unaringia hicho kigari.....wakati hilo ni kaburi tu..mnajifanya matajiri mnanunua makaburi".

Wakati yeye anapanda daladala Kila siku.

Nilivyosoma hii thread nimemkumbuka shoga yangu.

Maneno ya mkosaji!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo kiboko lol. Kaburi tena mweeeh
 
Back
Top Bottom