Unafahamu kufikiri sana.Nahisi Kenya watawapata wengi, maana huko ni kama koloni la Marekani kasoro raia wengi ni weusi. Kwa hiyo mazingira ya huko yatawafaa sana hawa.
Kwanza si Obama mwenyewe ni kutoka huko huko, na katiba mpya ni nukuu toka Marekani!
Kwa kutalii ni sawa, kwa sababu vivutio vyetu ni vya thamani kubwa; lakini kwa mazingira ya kuishi, yaliyopo Kenya yatawafaa kwa sababu Kenya wanaiga sana maisha ya Wamarekani.Unafahamu kufikiri sana.
Ila hata kwetu watakuja wengi maana upande wa utalii tunawapokea wengi zaidi.
nope wanaohamia ni kidogo sana. wa kutalii wanakuja na kusepa. make no mistake hawa wanaenda nchi ambaz wataweza adopt kitamaduni.. likes of kenya.. likes of ghanaUnafahamu kufikiri sana.
Ila hata kwetu watakuja wengi maana upande wa utalii tunawapokea wengi zaidi.
Kuna wimbi kubwa sana la Wamerekani weusi wanahamia Africa na Tanzania lakini uhamiaji wanakuwa na wasiwasi.
Mawazo yangu badala ya kuwanyima viza tufaute utaratibu mzuri wa win win situation.
Wengine ni walimu, wajasiriamali tunaweza kuweka utaratibu wa wenyewe kuishi na bado kunufaisha taifa.
Hawaji kushindana kwenye kazi wwngine ni wafanyabiashara ambao wamechoka ubaguzi Lakini kwasababu ni weusi nchi nyingi hawachukuliwi kama walivyo wazungu.