Wimbi la Wamerekani weusi wanahamia Afrika

Wimbi la Wamerekani weusi wanahamia Afrika

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Kuna wimbi kubwa sana la Wamerekani weusi wanahamia Africa na Tanzania lakini uhamiaji wanakuwa na wasiwasi.

Mawazo yangu badala ya kuwanyima viza tufaute utaratibu mzuri wa win win situation.

Wengine ni walimu, wajasiriamali tunaweza kuweka utaratibu wa wenyewe kuishi na bado kunufaisha taifa.

Hawaji kushindana kwenye kazi wwngine ni wafanyabiashara ambao wamechoka ubaguzi Lakini kwasababu ni weusi nchi nyingi hawachukuliwi kama walivyo wazungu.

Statisticaly wengi wanaamia Ghana. Check your facts japo bado ni jambo jema.
 
Nahisi Kenya watawapata wengi, maana huko ni kama koloni la Marekani kasoro raia wengi ni weusi. Kwa hiyo mazingira ya huko yatawafaa sana hawa.

Kwanza si Obama mwenyewe ni kutoka huko huko, na katiba mpya ni nukuu toka Marekani!

Kenya na Ghana kunawafaa sana hawa; siwaoni wakikimbilia sana Afrika Kusini au Nigeria.
 
Nahisi Kenya watawapata wengi, maana huko ni kama koloni la Marekani kasoro raia wengi ni weusi. Kwa hiyo mazingira ya huko yatawafaa sana hawa.

Kwanza si Obama mwenyewe ni kutoka huko huko, na katiba mpya ni nukuu toka Marekani!
Unafahamu kufikiri sana.

Ila hata kwetu watakuja wengi maana upande wa utalii tunawapokea wengi zaidi.
 
Sasa we unataka sheria za kibaguzi. Utaratibu ama ubaki hivyo hivyo au ubadilishwe kwa wageni wote. Uhamiaji wapo sahihi.
 
wengine wametumwa chief. ni majasusi wa nchi zao. ucwe mlain kuwapokea. tuna shida zetu tunapambana nazo tucjipe mizigo mipya.
 
Kweli wacha waje kwani wanaleta fursa za biashara alali, nimeshakutana na familia 3 za black Americans 2 arusha moja Dar na tunazungumza mambo mengi sana ya msingi na opportunities wanaona ni nyingi ni sisi Watanzania kuwapokea ila tuwache janja janja hii itatuharibia sana maana kwa rangi nyeupe imehatuharibia na wao pia husema wameshakutana na janja janja za utapeli sana huku Tz. Watu wacheni kupenda mteremko, jushughulisheni atleast ishini maisha honest sio unafiki, fitna na uwongo it's too much hasa watu kuchukuliana kama fursa ya vitega uchumi hii hasa wadada

Back
Top Bottom