Kuna wimbi kubwa sana la Wamerekani weusi wanahamia Africa na Tanzania lakini uhamiaji wanakuwa na wasiwasi.
Mawazo yangu badala ya kuwanyima viza tufaute utaratibu mzuri wa win win situation.
Wengine ni walimu, wajasiriamali tunaweza kuweka utaratibu wa wenyewe kuishi na bado kunufaisha taifa.
Hawaji kushindana kwenye kazi wwngine ni wafanyabiashara ambao wamechoka ubaguzi Lakini kwasababu ni weusi nchi nyingi hawachukuliwi kama walivyo wazungu.