Wimbi la watoto kuvuta sigara na Wanawake kujichubua linatisha

Wimbi la watoto kuvuta sigara na Wanawake kujichubua linatisha

Watoto wadogo wavuta sigara dah mikumbo sana group zina haribu watoto jaribuni kuwa imiza watoto waachane na groups
Shida wengi wanaiga wasanii akina country wizzy, harmonize na akina burna boy, na wengine kama hao
 
Hakuna mtu namuona wa maana kama anaeishi uhalisia wa maisha yake. Ile ni heshima ya woga
Hiyo ni perception TU... binafsi nimeoa mke Bora sanaa na Huwa hapendi ninywe pombe kabisa...hata hapa katoka kunipa somo maana Jana nilipiga konyagiiii kimtindo so atakua kajua kanisema Mimi Huwa nipo kimya simjibu..namsikiliza akimaliza naendelea na mengine sio kama namwogopa, au sima cha kumjibu au ananipanda KICHWANI ila TU Mimi ni gentleman...au naweza jibu sawa Sito kunywa tena.
Pombe kiasi inafanya tuwe WANAUME halisi ikitumiwa vizuri ndio maana kwa Karne imenywewa na wafalme na ma champion wa vita

🍷 WINE=WISDOM

min -me
 
Hiyo ni perception TU... binafsi nimeoa mke Bora sanaa na Huwa hapendi ninywe pombe kabisa...hata hapa katoka kunipa somo maana Jana nilipiga konyagiiii kimtindo so atakua kajua kanisema Mimi Huwa nipo kimya simjibu..namsikiliza akimaliza naendelea na mengine sio kama namwogopa, au sima cha kumjibu au ananipanda KICHWANI ila TU Mimi ni gentleman...au naweza jibu sawa Sito kunywa tena.
Pombe kiasi inafanya tuwe WANAUME halisi ikitumiwa vizuri ndio maana kwa Karne imenywewa na wafalme na ma champion wa vita

🍷 WINE=WISDOM

min -me
Mfano umeona iwe ni pombe, ila walevi
 
Hao wa mpakani bana Njombe mbali kutoka border ujue 😹😹

Sema unalikuta toto jeupe nje, ndani mitraco meusi afu mikubwa km maboga weeh utajua hujui 😹😹😹😹
Hahaha sema wapo ila siyo idadi kubwa hivo
 
Ndugu Mtanganyika mwenzangu,kweli hayo ndio umeona matatizo ya taifa hili kwa sasa?Huzuni kuu inanipata juu ya taifa langu na vile mambo yanavyo enda!
hayo aliyoyataja ni miongoni mwa mambo yanayohatarisha future ya taifa letu!! Japo hayo mambo yameelemea kwenye maadili sana hivyo kwa uchumi wetu hayana effect sanaa compared na ufisadi wa viongozi(tatizo nambari 1 linalopaswa kuondolewa kwenye taifa letu) so unaweza kuona tabia kama kuvuta bangi na sigara hakuna namna unaweza mzuia mtu though taifa haliwezi jikomboa kwenye hili tatizo coz its the matter of personal will. lakini ufisadi tunaweza kuuzuia so tujikite kwenye matatizo ambayo yanasuluhika kuliko kun'gan'gana na matatizo ambayo huwezi kuyasolve. acha wachome sindano wawe weupe kama mahindi au udaga, acha waongeze nyash, acha wavute mabangi na kunywa mipombe. hata ufanyeje hauwezi kuwazuia coz everyone lives the way he/she likes!
 
Ukiuza duka la vitu aisee utakayoona mpaka utasikitika ni basi TU nafanya biashara Sina namna najionea Siri nyingi..

Watoto wadogo wanavuta sigara balaa Winston na hizi Team na kunywa vinyau hivi vipombe vya elfu 2 pia Wanawake wanajichubua sana kwa Sasa yaani ukimuona mdada mweupe wengi wanatumia extra clair,pretty white,CT,paw paw,caro light na maji yake hizo products

Pia wanaume baadhi wanajichubua..baada ya miaka mitano nawahakikishia tutakuwa na kizazi kibaya zaidi kuwahi kutokea sijui Kuna Nini watu wamedata sio watoto sio watu wazima..me nashangaa hao wanaoua watu na kuteka sijui hawaoni yajayo.
Kikubwa kinacho wahalibu ni malezi wamelelewa vp tusipende kuwahukumu wao bila kuangalia malezi na makuzi kutoka kwa wazazi wao yalikuwaje
 
Hata pombe ukizidisha ina shida kwenye afya ya akili na mwili, sigara ni mojawapo ya kichochezi kikuu cha cancer.
Aisee! wewe vuta hata kutwa mara 8 lakini usimshawishi mtoto wako au mtu yeyote yule awe kama wewe nakuomba sana. by the way,vuta ili october 29 ukiwashe ili tutokomeze ufisadi!!
 
Wanatuoa weusi et, kwa sababu hatutamaniwi mala nyingi munaogopa kuoa rangi za mitume coz mtasaidiwa sana hivi kweli?
Mkuu, unafikiri wanaume wanaoa rangi?
Rangi hailei mume
Rangi hailei watoto
Rangi haileti heshima ndani
Rangi haileti furaha wala faraja katika familia.
 
Back
Top Bottom