ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Ukiuza duka la vitu aisee utakayoona mpaka utasikitika ni basi TU nafanya biashara Sina namna najionea Siri nyingi..
Watoto wadogo wanavuta sigara balaa Winston na hizi Team na kunywa vinyau hivi vipombe vya elfu 2 pia Wanawake wanajichubua sana kwa Sasa yaani ukimuona mdada mweupe wengi wanatumia extra clair,pretty white,CT,paw paw,caro light na maji yake hizo products
Pia wanaume baadhi wanajichubua..baada ya miaka mitano nawahakikishia tutakuwa na kizazi kibaya zaidi kuwahi kutokea sijui Kuna Nini watu wamedata sio watoto sio watu wazima..me nashangaa hao wanaoua watu na kuteka sijui hawaoni yajayo.