Wimbi la watoto kuvuta sigara na Wanawake kujichubua linatisha

Labda haujawahi kuishi Kanda ya ziwa, katika wanawake 10 watatu ndiyo hawajichubui.
Siyo kweli wewe ndo hujawahi kuishi pwani mimi nimeishi sana kwa pwani sipingi wanajikirimu vibaya mno na kupaka hina tena wao wanachibua hatari........Hiyo research yako ya wanawake 10 kanda ya ziwa 3 tu hawajichubui umeifanyia wapi?
 
Ukiuza duka la vitu aisee utakayoona mpaka utasikitika ni basi TU nafanya biashara Sina namna najionea Siri nyingi..

Watoto wadogo wanavuta sigara balaa Winston na hizi Team na kunywa vinyau hivi vipombe vya elfu 2 pia Wanawake wanajichubua sana kwa Sasa yaani ukimuona mdada mweupe wengi wanatumia extra clair,pretty white,CT,paw paw,caro light na maji yake hizo products

Pia wanaume baadhi wanajichubua..baada ya miaka mitano nawahakikishia tutakuwa na kizazi kibaya zaidi kuwahi kutokea sijui Kuna Nini watu wamedata sio watoto sio watu wazima..me nashangaa hao wanaoua watu na kuteka sijui hawaoni yajayo.
Ni huzuni
 
Hamtaki wanawake weusi matokeo yake ndo hayo! Si mnataka weupe.. rangi ya mtume!
 
Siyo kweli wewe ndo hujawahi kuishi pwani mimi nimeishi sana kwa pwani sipingi wanajikirimu vibaya mno na kupaka hina tena wao wanachibua hatari........Hiyo research yako ya wanawake 10 kanda ya ziwa 3 tu hawajichubui umeifanyia wapi?
Mwenyew naishi kanda hiyo nimewaza sana aisee! Labda mtaani kwake😂
 
Ukiuza duka la vitu aisee utakayoona mpaka utasikitika ni basi TU nafanya biashara Sina namna najionea Siri nyingi..

Watoto wadogo wanavuta sigara balaa Winston
na hizi Team na kunywa vinyau hivi vipombe vya elfu 2 pia Wanawake wanajichubua sana kwa Sasa yaani ukimuona mdada mweupe wengi wanatumia extra clair,pretty white,CT,paw paw,caro light na maji yake hizo products

Pia wanaume baadhi wanajichubua..baada ya miaka mitano nawahakikishia tutakuwa na kizazi kibaya zaidi kuwahi kutokea sijui Kuna Nini watu wamedata sio watoto sio watu wazima..me nashangaa hao wanaoua watu na kuteka sijui hawaoni yajayo.

unaposema watoto unamaanisha kwa maneno yako kwamba unawauzia watoto wasio na umri wa kununua sigara.
 
Sheria imekataza kutumia na si kununua maana wazazi ndo huwa wanagiza watoto wao.......Bali na hilo huwa wanakuja na mtu mkubwa ndo ananunua halafu wanaanza kugawana hapohapo. Ni kwamba kizazi hiki kuki kontro ni kazi sana
 
Watoto wadogo wanavuta sigara balaa
Hapa inabidi uweke corrections kidogo hao watoto wadogo kiumbo au kiumri? Maana kuna mtu mwingine unaweza ukamuona ana umbo dogo ila umri wa baba yako kwa hio fafanua hao watoto wadogo ni wanao au watoto wa ndugu zako?
 
Watoto wadogo wavuta sigara dah mikumbo sana group zina haribu watoto jaribuni kuwa imiza watoto waachane na groups
Watoto wadogo uliwazaa wewe aisee nyinyi mboni mnashindwa kufocus na maisha yenu mnaongea ya weengine, wewe unanunua malaya ushawahi kukuta watu wanakudiscuss kwamba jamaa siku hizi ananunua sana malaya?
 
Back
Top Bottom