Wimbi la watoto kuvuta sigara na Wanawake kujichubua linatisha

Wimbi la watoto kuvuta sigara na Wanawake kujichubua linatisha

Kwenye swala la kujichubua ndugu hata watoto wa under 18, yaan wengi sana na wengi wao hawajui madhara ya maji ya diproson mm nina mfano hai my mama nlikuwaga namwambia yaache hayo, anasema spendezi sasa hv kuona n shida mno yaan ndo ameviacha sa hv, nq umri ushaenda snaa, watu hawana elimu ya hiv vichubulio na madhara yake,
 
Sigara na bangi zote zilinishindaga. Nilijaribu nilipokuwa mazingira ya kubanwa na wazazi lakini nilipokuwa huru kufanya chochote nikaachana nazo zote mpaka pombe.
 
Mara ya kwanza namuona mwanamke anavuta sigara, nilihisi nimevamia kikao cha majini baharini, shukrani za dhati ziende kwake Pasta Peter Sadaka za Tumbo alinizindua kwa maombi makali nikajikuta duniani.
 
Kwanini unawauzia sigara watoto wadogo?

Wewe pia ni miongoni mwa chanzo cha hilo tatizo ambalo wewe umekuja kuliraise hapa.
 
Hivi mwanamke anapojichubua bila shaka anataka kuwa mweupe aonekane na wanaume,ila sijajua mwanaume anapojichubua huwa anatafuta nini,nisaidieni kwenye hili wajameni
 
Back
Top Bottom