Wimbi la watoto kuvuta sigara na Wanawake kujichubua linatisha

Acha uongo wako hapa!

Tunaona mtaani huku, wanaume wanavyo haha na rangi nyeupe, wenyewe wanasema "rangi ya mtume"

Hata wee mwenyewe naamini hapo unahusudu wanawake weupe, acheni unafiki bhana.
Uongo upi nimesema, hivi vitoto vijinga sana hata argument haviwezi. Kazi sana!

Kwamba kwa vile wewe unapenda wanawake weupe basi wote wanapenda?
 
Ni kweli wanaume wengi wanapenda wanawake weupe na ndio maana wengi wameona wajichubue ili waepuke maneno kama kuitwa majina cheusi dawaπŸ˜‚ kuna sehem niliwahi kufanya kazi wanawake wote walikua weupe kasoro mimi
Angalia wanawake wanaoolewa, usiangalie hizi hits n' runs za kila siku mkuu. Nakubali kwenye kujaribu inawezekana watu wakataka kujaribu kila rangi.
 
Wanatuoa weusi et, kwa sababu hatutamaniwi mala nyingi munaogopa kuoa rangi za mitume coz mtasaidiwa sana hivi kweli?
 
We baba taratiibu wa Njombe tumeingiaje hapo? 😹😹
Kuna mtu aliniambia pande hizo mnajichubua sana kwa sababu mnapata vipodozi vichubuzi kirahisi kutoka Zambia
 
Wanatuoa weusi et, kwa sababu hatutamaniwi mala nyingi munaogopa kuoa rangi za mitume coz mtasaidiwa sana hivi kweli?
Hakuna mwanaume anayejitambua akaoa mwanamke anayejichubua, binafsi sijui. Its either aoe mweupe au mweusi wa asili. Ila kuoa tunaoa rangi ya asili. Hao wa kujichubua ni kuwachapa na shughuli inaishia hapo.
 
Juzi nimekutana na janja mmoja wa mkoani ni jirani alikuwa anavuta alivyoniona akaficha sasa sijui anafake nini.
Kuficha ni heshima hakutaka ujue DARK SIDE YAKE.

Mfano Mimi watu wengi hawajuii kama napigaga KONYAGIIII kimtindo ila Mimi nakunywaga responsible..

min -me πŸ₯ƒ weekend imeanza kaka 😊
 
Mimi binafsi nikiona mwanamke amejichubua namchukia
Hakuna mwanaume anayejitambua akaoa mwanamke anayejichubua, binafsi sijui. Its either aoe mweupe au mweusi wa asili. Ila kuoa tunaoa rangi ya asili. Hao wa kujichubua ni kuwachapa na shughuli inaishia hapo.
 
Kuna mtu aliniambia pande hizo mnajichubua sana kwa sababu mnapata vipodozi vichubuzi kirahisi kutoka Zambia
Hao wa mpakani bana Njombe mbali kutoka border ujue 😹😹

Sema unalikuta toto jeupe nje, ndani mitraco meusi afu mikubwa km maboga weeh utajua hujui 😹😹😹😹
 
Kwenye kitu ambacho niliacha kua serious Wanawake hawaeleweki kama kiungo chao ni wachache wanaojitambua wakikutana na Toxc people
 
Uongo upi nimesema, hivi vitoto vijinga sana hata argument haviwezi. Kazi sana!

Kwamba kwa vile wewe unapenda wanawake weupe basi wote wanapenda?
Sasa hasira za nn jamanii?? Mie sijasema wote, nimesema % kubwa, au wanaume wengi wanapenda wanawake weupee.

Inawezekana wee hupendi, ila wenzio wengi wanapenda. Hivyoo yaan.
 
Hao wa mpakani bana Njombe mbali kutoka border ujue 😹😹

Sema unalikuta toto jeupe nje, ndani mitraco meusi afu mikubwa km maboga weeh utajua hujui 😹😹😹😹
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuficha ni heshima hakutaka ujue DARK SIDE YAKE.

Mfano Mimi watu wengi hawajuii kama napigaga KONYAGIIII kimtindo ila Mimi nakunywaga responsible..

min -me πŸ₯ƒ weekend imeanza kaka 😊
Hakuna mtu namuona wa maana kama anaeishi uhalisia wa maisha yake. Ile ni heshima ya woga
 
Back
Top Bottom