Wimbo bora wa kwaya wa siku zote (Best of all times)

Uzi umenibariki sana, keep it up guys. Endeleeni kushusha majina ya nyimbo.
 
Kwaya ya uinjilisti UVUKE ya Dodoma KANISA KUU ANGLICAN....
*[emoji445]HAKUNA KAMA WEWE MUNGU[emoji445].{Mwl Javan Rupia}

*[emoji444]ITENGENEZENI NJIA YA BWANA[emoji444].{Mwl Baraka chilongani}...R.I.P

*[emoji444]HATIMAYE MZIDI KUWA HODARI[emoji444]{by Mwl Baraka Chilongani }--R.I.P

*[emoji444]ASIFIWE BWANA[emoji444]{by Mwl Fadhiri Chibago.}

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Ongezea Twaokolewa Kwa neema
 
Kijitonyama uinjilisti-Bado lipo tumaini huu wimbo unanikumbusha wakati wa corona
 
Imependeza sana
 

Tumaini [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Wakongwe na wahenga mnaupuga mwingi sana ktk Uzi huu💪
 
Wakongwe na wahenga mnaupuga mwingi sana ktk Uzi huu[emoji123]

Mkuu nimezaliwa kwenye 90’s ila nikawa nasikia nyimbo zao asee Tumaini mwaya Arusha wananibariki sana

Kama ni mpenzi wa nyimbo za dini hapa nyumbani lazima uwajue hawachuji

Majuu namkubali Kirk Franklin na Darlene wa hill song though kastaafu kuimba
 
Hawa kinondoni revival choir Kuna wimbo wanaimba "talila talila ta" sikumbuki jina la wimbo huo.Ansyekumbuka anambie.Unanikumbusha enz za rediocassete
Unaitwa nakushukuru mungu
 
WE UNAAMBIWA KWAYA!
 
8. Kkkt mabibo sauti ikatoka

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Kuna wimbo unaohusu mavuno ; ni wa miaka mingi 1990+ au nyuma kidogo.

Sijui kama kuna mtu anaufahamu huo wimbo na kwaya iliyoimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…