Wimbo mpya wa Ali Kiba 'KADOGO': Toa Maoni na ushauri wako hapa

Hii ngoma ni fire aiseee huyu jamaa ana muziki wa peke yake yaani muziki wake una radha za kitanzania tu hana tabia ya kuchukua sample za kenya wala Uganda
Mm naogopa xana pressure ko nlishahama kwa wakujiita kingkiba,nko WCB wasafi,uku wanasema ni #home of hit's Only,na pamoja na kuwa ngoma zao hazipigwi uko kwenu lakini tuzo tunatajwa na tunachukua,sijui kibakuli angekuwa amabaniwa Kama WCB si angeingia coastal union mazima,yooooooh papiln papiln mchiz wa geto.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
M nlshamkimbia uyu jamaa nau nko WCB, any wei ngoja tuone ngoma hii na ya darasa ipi itakimbiza...
Tabliyuusiibii damu but hii video ya kiba kali,sema katembelea kimtindo kwenye Seduce me,by the way wimbo utaboa mapema sana maskioni mwa watu hakuna kionjo kitakachobamba na kudumu maskioni mwa watu
 
Naye ameimba kwao wapi na kataja kifupi fupi kama mwenzake?
 
Yaani kawavalisha mabint vichupi, wapi tunakwenda katika sanaa hii? BASATA wanatakiwa wawe makini.
 
Kiukweli kiba mimi siku hizi sielewagi anaimba nini
 
Kiba namkubali, katika ngoma zake zote ukiacha mwana darisalama kuna ile:
"Nilimwambia asile, ye alikula akavimba akajaa, mtoto mzuri aliezaa na yule jamaa mwenye mahela akaniacha na njaa kwenye mataa...." Aisee ile hua inanikosha sana
 
Jana usiku kuna Jirani yangu..kanitumia text "mambo vipi?"…halafu tunakaa nae mtaa mmoja nikaona nikimjibu ni uharibifu wa hela nikaenda kumgongea mlango saa 7 usiku. Alipofungua nikamjibu "shwari"halafu nikarudi nyumbani kulala zangu.. Sipendagi kuchezea salio..
Dah ngoma mbovu kishenz alafu ulivyo mpuuz unaisifia tu

Huyu jamaa ataachaga lini kuimba mapambio?
Ngoma mbovu hadi inampa uvivu hata Ali kiba mwenyewe kuisikiliza.
 
Watanzania nyie Ni wanafki Sana tena saaana! Hivi hii nyimbo ene sauti za puani inauzuri gani kweli alikiba Hana mashabiki kabisa haiwezekani wawe wanampoteza hivi
 
Kichwa chasomeka vyema yaani..


Mliofanikiwa kupata muda wa kusikiliza nyimbo ya KING wa KARIAKOO iitwayo KADOGO, tunaomba mtupe mrejesho ili tujiepushe na kuchoma BANDO, Jamaa haaminiki sana isijekuwa ni Mvumo wa Radi part 2[emoji4][emoji4]

Tunatanguliza shukrani...

Cc: Team siwezi kuizungumzia na sipendi show offs!

 
Hii ni funga mwaka!
Mambo yote ni kadogo sasa hivi...

Ila Kiba anajua jamani! Humo ndani ya Kadogo kacheza na sauti hadi nimeshangaa!
Club banger ya kibabe
Nimelike na ku comment pia...wewe umesema mimi ni nani nibishe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…