Granta
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,016
- 6,310
Mtoto mchicha weweDah ngoma mbovu kishenz alafu ulivyo mpuuz unaisifia tu
Huyu jamaa ataachaga lini kuimba mapambio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto mchicha weweDah ngoma mbovu kishenz alafu ulivyo mpuuz unaisifia tu
Huyu jamaa ataachaga lini kuimba mapambio?
Mm naogopa xana pressure ko nlishahama kwa wakujiita kingkiba,nko WCB wasafi,uku wanasema ni #home of hit's Only,na pamoja na kuwa ngoma zao hazipigwi uko kwenu lakini tuzo tunatajwa na tunachukua,sijui kibakuli angekuwa amabaniwa Kama WCB si angeingia coastal union mazima,yooooooh papiln papiln mchiz wa geto.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hii ngoma ni fire aiseee huyu jamaa ana muziki wa peke yake yaani muziki wake una radha za kitanzania tu hana tabia ya kuchukua sample za kenya wala Uganda
Tabliyuusiibii damu but hii video ya kiba kali,sema katembelea kimtindo kwenye Seduce me,by the way wimbo utaboa mapema sana maskioni mwa watu hakuna kionjo kitakachobamba na kudumu maskioni mwa watuM nlshamkimbia uyu jamaa nau nko WCB, any wei ngoja tuone ngoma hii na ya darasa ipi itakimbiza...
Kwani wewe hujawahi ona mwanamke kavaa chupi???Yaani kawavalisha mabint vichupi, wapi tunakwenda katika sanaa hii? BASATA wanatakiwa wawe makini.
Kiukweli kiba mimi siku hizi sielewagi anaimba niniHuyu kiba mnakingia kifua na kumdekeza sana...
Ila ukweli ni kuwa huyu jamaa ni mzembe sana katika mziki wake kwa sasa, na tokea diamond ashike usukani amekuwa ni mtu wa kupenda kubebwa bebwa sana na kutegemea mashabiki wamtetee ila ubunifu siku hizi ni zero kabisa....
Kuna demu mweusi humo anafanana na yule wa kwenye the last shipAisee huyu jamaa anajielewa...anajuaa...hachujii...hachoshiii sema tu anaboa kutubania Ngoma kaliii kama hizii...kadogooo...[emoji435][emoji435][emoji818][emoji818]
Alikiba - Kadogo (Official Music Video)
Dah ngoma mbovu kishenz alafu ulivyo mpuuz unaisifia tu
Huyu jamaa ataachaga lini kuimba mapambio?
Ngoma mbovu hadi inampa uvivu hata Ali kiba mwenyewe kuisikiliza.
Nimelike na ku comment pia...wewe umesema mimi ni nani nibishe?Hii ni funga mwaka!
Mambo yote ni kadogo sasa hivi...
Ila Kiba anajua jamani! Humo ndani ya Kadogo kacheza na sauti hadi nimeshangaa!
Club banger ya kibabe
Salute... Anaesema ni mbovu atoe ya kwake kali
Iyoooooooooo
Wewe Ngoma kali ilee...Darasa ndo hakuna kituuuUtapoteza hela zako bure....subiri tu audio...
Hakuna kipya