Kwa nini ulinyang'anywa kibali na umerudishiwa baada ya kuandika masifa mengi kwa jiwe?'Na moja kati ya kazi nzuri serikali ya awamu ya 5 ni kukurudishia wewe kibali chako cha kurusha matangazo kwny maonyesho ya saba saba.'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini ulinyang'anywa kibali na umerudishiwa baada ya kuandika masifa mengi kwa jiwe?'Na moja kati ya kazi nzuri serikali ya awamu ya 5 ni kukurudishia wewe kibali chako cha kurusha matangazo kwny maonyesho ya saba saba.'
Hahah baada ya kusifu na kuabudu kwa sana tu,wameona wampe kibali tu asife kwa njaa mjini hapa.Kwa nini ulinyang'anywa kibali na umerudishiwa baada ya kuandika masifa mengi kwa jiwe?
Japo sijamaliza uzi wako nikufahamishe tu huo ni mtazamo wk na tunauheshimu naomba nawe uheshimu mitazamo mingine nikianzia na wng watu wamekuwa wengi hivyo sababu kuu ni 2 moja wanaimani yeyote atakaepita kura za maoni tayari ni mbunge rejea uchaguzi serekali za mitaa hata wapinzani wabunge wameunga juhudi kwa sababu hiyo na tayari wameisha pitishwa kura za maoni wanasubiri kuapishwa tu sababi ya 2 ni kuwa hata mgombea akishindwa kura za maoni ana uhakika wa kuteuliwa ktk nafasi za uteuzi ndio maana ukaona wagombea wote wameombwa cv zao ungelijua hilo naamini 2021 ungukuwa boss wetuWanabodi,
Tunapoelekea kwenye hatua ya kwanza ya uchaguzi kwa uchukuaji wa fomu za kugombea kwenye vyama vya siasa, kumejitokeza, uwingi wa mkubwa, wa wagombea kupitia CCM.
Huu ni uthibitisho wa kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na Rais, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na awamu yake ya 5, na inayoendelea kufanywa kwa taifa letu la Tanzania, ikiwemo kupambana na rushwa, kuongeza uwajibikaji, kupaisha maendeleo ya nchi kwa maendeleo makubwa ya kuonekanika katika baadhi ya sekta, ikiwemo kulifufua shirika la ndege la Tanzania, ATCL, kujenga SGR, Stigler, barabara za juu kwa juu, elimu bure, kujenga Tanzania ya viwanda, kuiingiza nchi yetu kuwa ni nchi ya uchumi wa kati na mengine mengi makubwa mazuri, kulikopelekea Watanzania wengi wakiwemo wapinzani kumkubali JPM na kuikubali CCM, hivyo kuunga mkono juhudi kwa kumpenda JPM, kumkubali, na kuipenda CCM na kuifanya kukubalika sana, hivyo kwenye uchaguzi wa mwaka huu, kujikuta watu wengi kujitokeza kwa mamia kugombea jimbo moja mfano jimbo la Kawe, ili tuu kumuunga mkono rais Magufuli na kujitokeza kumsaidia.
Swali ni jee uchaguzi wa October ni uchaguzi wa kuchagua kwa kushindanisha vyama au kushindanisha wagombea, au ni tunakwenda tuu kwenye uchaguzi kuithibitisha tuu ushindi wa kishindo wa CCM, ambayo tayari imeishashinda uchaguzi Mkuu huu mioyoni mwa watu, na uchaguzi ni kwa ajili tuu ya kukamilisha taratatibu za uchaguzi, au kutakuwa na ushindani wa kweli wa kisiasa au CCM tuu huku ikisindikizwa na vyama vingine?.
Angalizo:
Wakati hata mimi nikiendelea kujishauri na kujiuliza, ndani ya siku mbili hizi, kama na mimi nijitose au laa, naomba kuwapa angalizo dogo, kuwa sio kila anayejitokeza kuchukua fomu kugombea ubunge au udiwani kupitia CCM, yuko very serious kugombea ili kupata ubunge au udiwani!, kuna baadhi wanagombea kwa sababu nyingine kabisa kadhaa wa kadha na wala sio kuutaka ubunge, udiwani au uwakilishi wa wananchi. Hivyo naombeni sana, mkisikia na mimi nimejitosa, msishangae!.
Kwa vile hili la kazi nzuri ya Rais Magufuli niliisha lizungumza humu tangu ile 2015, mara tuu baada ya uchaguzi, nikizungumzia uchaguzi Mkuu huu wa 2020, na sasa hii ndio 2020 yenyewe na uchaguzi wenyewe ndio huu, kuna haja ya kujikumbusha tu ile 2015 nilisema nini kuhusu Magufuli na uchaguzi wa 2020, na sasa hii 2020 ndio hii, nini kinatokea...
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Na October yenyewe ndio hiyo inakuja, iko just around the corner, jee sasa tunakwenda kwenye uchaguzi kuchagua au ni kwenda tuu kuithibitisha kazi nzuri ya JPM na CCM tuu ili aendelee?.
Paskali
Naunga mkono hoja.Japo sijamaliza uzi wako nikufahamishe tu huo ni mtazamo wk na tunauheshimu naomba nawe uheshimu mitazamo mingine nikianzia na wng watu wamekuwa wengi hivyo sababu kuu ni 2 moja wanaimani yeyote atakaepita kura za maoni tayari ni mbunge rejea uchaguzi serekali za mitaa hata wapinzani wabunge wameunga juhudi kwa sababu hiyo na tayari wameisha pitishwa kura za maoni wanasubiri kuapishwa tu sababi ya 2 ni kuwa hata mgombea akishindwa kura za maoni ana uhakika wa kuteuliwa ktk nafasi za uteuzi ndio maana ukaona wagombea wote wameombwa cv zao ungelijua hilo naamini 2021 ungukuwa boss wetu
Naunga mkono hoja.
Siyo yoyote atakayeshinda kura za maoni ndio Mbunge bali yoyote atakayepitishwa na vikao vya chama vya maamuzi, ndiye Mbunge.
Uchaguzi wa 2020 ni CCM Only and Only CCM!.
P
Hili lilikuwa ni bandiko la swali, natumaini by now majibu tumeyapata, tumeyaona.Wanabodi,
Tunapoelekea kwenye hatua ya kwanza ya uchaguzi kwa uchukuaji wa fomu za kugombea kwenye vyama vya siasa, kumejitokeza, uwingi wa mkubwa, wa wagombea kupitia CCM.
Huu ni uthibitisho wa kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na Rais, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na awamu yake ya 5, na inayoendelea kufanywa kwa taifa letu la Tanzania, ikiwemo kupambana na rushwa, kuongeza uwajibikaji, kupaisha maendeleo ya nchi kwa maendeleo makubwa ya kuonekanika katika baadhi ya sekta, ikiwemo kulifufua shirika la ndege la Tanzania, ATCL, kujenga SGR, Stigler, barabara za juu kwa juu, elimu bure, kujenga Tanzania ya viwanda, kuiingiza nchi yetu kuwa ni nchi ya uchumi wa kati na mengine mengi makubwa mazuri, kulikopelekea Watanzania wengi wakiwemo wapinzani kumkubali JPM na kuikubali CCM, hivyo kuunga mkono juhudi kwa kumpenda JPM, kumkubali, na kuipenda CCM na kuifanya kukubalika sana, hivyo kwenye uchaguzi wa mwaka huu, kujikuta watu wengi kujitokeza kwa mamia kugombea jimbo moja mfano jimbo la Kawe, ili tuu kumuunga mkono rais Magufuli na kujitokeza kumsaidia.
Swali ni jee uchaguzi wa October ni uchaguzi wa kuchagua kwa kushindanisha vyama au kushindanisha wagombea, au ni tunakwenda tuu kwenye uchaguzi kuithibitisha tuu ushindi wa kishindo wa CCM, ambayo tayari imeishashinda uchaguzi Mkuu huu mioyoni mwa watu, na uchaguzi ni kwa ajili tuu ya kukamilisha taratatibu za uchaguzi, au kutakuwa na ushindani wa kweli wa kisiasa au CCM tuu huku ikisindikizwa na vyama vingine?.
Paskali
Bro hii nchi umetembelea mikoa mingap?Hili lilikuwa ni bandiko la swali, natumaini by now majibu tumeyapata, tumeyaona.
Sasa kazi ibaki moja, kuijenga nchi.
P
Mikoa yote!.Bro hii nchi umetembelea mikoa mingap?
Ungependa nani awe waziri wako wa habari?Mikoa yote!.
Nchi zote za EAC,
Nchi zote za Africa South of Sahara
pia nimefika mabara yote matano ya dunia hii!.
P
Wanabodi, mimi ni miongoni mwa wana jf, tuliandika mengi kumhusu rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, hivyo kipindi hiki cha maombolezo, napitia baadhi ya mabandiko kwa ajili ya kumuaga rasmi.Wanabodi,
Tunapoelekea kwenye hatua ya kwanza ya uchaguzi kwa uchukuaji wa fomu za kugombea kwenye vyama vya siasa, kumejitokeza, uwingi wa mkubwa, wa wagombea kupitia CCM.
Huu ni uthibitisho wa kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na Rais, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na awamu yake ya 5, na inayoendelea kufanywa kwa taifa letu la Tanzania
Na October yenyewe ndio hiyo inakuja, iko just around the corner, jee sasa tunakwenda kwenye uchaguzi kuchagua au ni kwenda tuu kuithibitisha kazi nzuri ya JPM na CCM tuu ili aendelee?.
Paskali