Uchaguzi 2020 Wingi wa wagombea CCM ni uthibitisho kazi nzuri ya Rais Magufuli kwa taifa letu. Je, Oktoba ni kuchagua au kuthibitisha tu taratibu?

Japo sijamaliza uzi wako nikufahamishe tu huo ni mtazamo wk na tunauheshimu naomba nawe uheshimu mitazamo mingine nikianzia na wng watu wamekuwa wengi hivyo sababu kuu ni 2 moja wanaimani yeyote atakaepita kura za maoni tayari ni mbunge rejea uchaguzi serekali za mitaa hata wapinzani wabunge wameunga juhudi kwa sababu hiyo na tayari wameisha pitishwa kura za maoni wanasubiri kuapishwa tu sababi ya 2 ni kuwa hata mgombea akishindwa kura za maoni ana uhakika wa kuteuliwa ktk nafasi za uteuzi ndio maana ukaona wagombea wote wameombwa cv zao ungelijua hilo naamini 2021 ungukuwa boss wetu
 
Naunga mkono hoja.
Siyo yoyote atakayeshinda kura za maoni ndio Mbunge bali yoyote atakayepitishwa na vikao vya chama vya maamuzi, ndiye Mbunge.
Uchaguzi wa 2020 ni CCM Only and Only CCM!.

P
 
Naunga mkono hoja.
Siyo yoyote atakayeshinda kura za maoni ndio Mbunge bali yoyote atakayepitishwa na vikao vya chama vya maamuzi, ndiye Mbunge.
Uchaguzi wa 2020 ni CCM Only and Only CCM!.

P

Subiri watengue maoni ya wanachama uone shughuli yake
 
Hili lilikuwa ni bandiko la swali, natumaini by now majibu tumeyapata, tumeyaona.
Sasa kazi ibaki moja, kuijenga nchi.
P
 
Je wingi wa waliojitokeza kuomba kusimamia uchaguzi kiashiria kilikua nini?
 
Wanabodi, mimi ni miongoni mwa wana jf, tuliandika mengi kumhusu rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, hivyo kipindi hiki cha maombolezo, napitia baadhi ya mabandiko kwa ajili ya kumuaga rasmi.

Japo umetangulia, lakini kauli zako, maono yako na kile ulichokiamini, kitabaki na sisi Milele.
Sisi tulikupenda, lakini Mungu amekupenda zaidi.
Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe!.
Raha ya Milele Umpe Ee Bwana, na Mwanga wa Milele, Umuangazie, Apumzike kwa Amani...Amina x3.
RIP Dr. John Pombe Joseph Magufuli
Buriani ya kuonana...
Paskali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…