Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Taifa makini hutumia cohesive apparutus inavyotakiwa. Ndio maana ya kuwa na vyombo vya usalama makini.
Panapotokea fununu ya kuvunja amani ya nchi. Basi vinaitervene kwa umakini na kudhibiti wanaotaka kuleta vurugu.
Yapata wiki tatu sasa hali ni shwari kabisa iwe kimawazo hata kimatendo.
Kama ni madai ya katiba mpya basi tutumie njia za amani na ustarabu. Sio vitisho na ubabe kana kwamba hakuna wenye mamlaka juu ya taifa letu
My take: Taifa makini huwa linadhibiti waleta vurugu on time,tuwapongeze wanaoongoza nchi.