Within a fraction of a minute, amani ya taifa letu ilirejeshwa baada ya vuguvugu la CHADEMA kuzimwa

Taifa makini hutumia cohesive apparutus inavyotakiwa. Ndio maana ya kuwa na vyombo vya usalama makini.

Panapotokea fununu ya kuvunja amani ya nchi. Basi vinaitervene kwa umakini na kudhibiti wanaotaka kuleta vurugu.

Yapata wiki tatu sasa hali ni shwari kabisa iwe kimawazo hata kimatendo.

Kama ni madai ya katiba mpya basi tutumie njia za amani na ustarabu. Sio vitisho na ubabe kana kwamba hakuna wenye mamlaka juu ya taifa letu

My take: Taifa makini huwa linadhibiti waleta vurugu on time,tuwapongeze wanaoongoza nchi.
Muono wako hauna tofauti na waliokuwa makaburu wa Afrika kusini, nao madai na maandamano ambayo mwishowe yalizaa haki kwa watu weusi waliyaita furugu
 
Acha kuwa kipofu wa kisiasa.
 
Taifa makini hutumia cohesive apparutus inavyotakiwa. Ndio maana ya kuwa na vyombo vya usalama makini.

Panapotokea fununu ya kuvunja amani ya nchi. Basi vinaitervene kwa umakini na kudhibiti wanaotaka kuleta vurugu.

Yapata wiki tatu sasa hali ni shwari kabisa iwe kimawazo hata kimatendo.

Kama ni madai ya katiba mpya basi tutumie njia za amani na ustarabu. Sio vitisho na ubabe kana kwamba hakuna wenye mamlaka juu ya taifa letu

My take: Taifa makini huwa linadhibiti waleta vurugu on time,tuwapongeze wanaoongoza nchi.
Unademka tu wewe hujui lolote kuhusu utawala na mustakabali wa nchi! Wako wapi wababe wote wa ulimwengu huu kuanzia Ghenghis Khan, Mobutu Sseseseko, Muamar Ghadafi, Sadam Hussein, Idd Amin, Mengistu Haile Mariam na Edgar Lungu mpaka kichaa mpya wenu Mwendazake?! Wote wametema tambuu kabla ya siku zao na Vuguvugu la mabadiliko linapeta! Nyau we!
 
Not relevant
 
Back
Top Bottom