Within a fraction of a minute, amani ya taifa letu ilirejeshwa baada ya vuguvugu la CHADEMA kuzimwa

Kwani ulijua kuwa kuna watu wana mikakati ya ugaidi hapa nchini kwa muda mrefu?
Kesi iko mahakamani!Mashtaka kama hayo sio mara ya kwanza wapinzani kukumbana nayo!
 
Sawa, lakini hii ni mpya. Maana hata upelelezi umekamilika fasta.
 
Sio mpya,hii kesi itaisha kama zilivyoisha kesi zingine!Utasikia DPP hana nia ya kuendelea na kesi!Hapo Mbowe atakuwa ameshasota vya kutosha!
Danadana za kutomfikisha mahakamani ni ishara tosha kuwa kuna jambo!
 
Hayo yako binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…