Wamemfukunyua.Uzuri hao wote ni Wana CCM wazinifu wenzenu. Ingekua CHADEMA sijui muda huu kama pangetosha. Mngekopa Hadi mabando
Mkuu kumbuka, hata matatizo ya kifamilia huenda ikaishia kuwa jinai.Wanabodi,
Kati ya Taasisi zinazopaswa kufanya kazi kwa weledi mkubwa bila mihemuko ni Jeshi Letu la Polisi.
Kuna baadhi ya issues ambazo jeshi letu la polisi, zinazishughulikia sio issues za kipolisi, ni issues za kijamii na kifamilia.
Kwanza msikilize Kamanda Polisi Huyu
Kisha isome taarifa hii ya Jeshi la polisi
View attachment 2237214
Paskali
- Kazi ya Jeshi la polisi ni kulinda usalama wa raia na mali zake. Kukutokea kitisho cha usalama au mtu ametoweka hajulikani alipo, ndugu wa mhusika huripoti polisi na polisi kufanya uchunguzi.
- Tukio la kutoweka kwa diwani huyu, halikuripotiwa kituo chochote cha polisi na ndugu yake yoyote, bali Bosi wake, Meya wa Kinondoni alitangaza kwa waandishi wa habari kuwa Diwani hajafika kazini, na nyumbani kwake hayupo.
- Nianze kwa kutoa pongezi kwa Jeshi letu la Polisi, kumbe siku hizi, linazifanyia kazi taarifa za mitandaoni!. Tundu Lissu kabla hajashambuliwa alitoa taarifa kupitia vyombo vya habari, kuwa usalama wake uko mashakani, kuna gari inafuatilia, hadi akaitaja mpaka number!. Jeshi la polisi lilijibu kuwa hawafanyii kazi taarifa za vyombo vya habari, kama ni issues yoyote, Lissu akaripoti polisi ndipo jeshi la polisi lishughulikie!.
- Tukio la kutoweka kwa diwani huyu halikuripotiwa kituo chochote cha polisi zaidi ya vyombo vya habari, kumbe sasa jeshi letu la polisi liko makini kufuatilia taarifa za mitandao ya jamii!. Big up for this.
- Hakuna jinai yoyote ya mtu kutoripoti kazini, mtu asiporipoti kazini taratibu za kiofisi ndizo hutumika. Pia hakuna jina yoyote mtu kunywa pombe, as long as hujafanya jinai yoyote. Na hakuna jinai yoyote, mtu yoyote kuhama nyumbani kwake na kuhamia mahali popote, hizi ni issues za kijamii za kifamilia.
- Baada ya Diwani kupatikana, kulikuwa na haja gani polisi kusema alikuwa kwa mwanamke, na kumtaja jina!, huku ni kuingilia the right to privacy.
- Hata kama huyu mwanamke ameripoti mtu wake alikuja akiwa amelewa, inawahusu nini polisi kuripoti?, huku ni kumchafua diwani wetu kumuonyeshea ni mlevi!.
- Kwa vile hakuna ndugu yoyote aliyemripoti kupotea, polisi baada ya kumkuta Tabata, walimkama kumpeleka kituoni kwa kosa gani?!. Jukumu la polisi baada ya kumpata, ilikuwa ni kumpa tuu taarifa Meya, kuwa Diwani wake yuko salama, taarifa ya polisi ingeishia kusema amepatikana, hiyo amepatikana wapi, kwa nani, jina la mwanamke hadi kabila lake na uhusiano wao wa miaka 10, ilikuwa inahusu nini?.
- This is pure sensationalism, tusiruhusu sensationalism za aina hii kwenye jeshi letu la polisi.
- Taarifa hii ni an ethical, ni udhalilishaji wa kumdhalilisha diwani wetu, taarifa hii inaingilia the right to privacy ya diwani wetu, tutabadili sheria zetu za uwakili kuruhusu kesi za pro borno, jeshi la polisi hapa linashitakiwa kwa defamation by innuendo, na mtu anashinda kesi mapema asubuhi!.
Mkuu kumbuka ajira za polis ni form 4 failure....hakuna haki tzWanabodi,

Hii sentence ya pili FaizaFoxy ameiona?Mchungaji kakutwa na mwanamke wa mjini akila maisha,ustadhi nae hakuwa nyuma kalawiti watoto 22
Hivi vita ni ngumu ndugu zangu.
Kasoro kupigwa risasi kwa LissuWao wanasema kila kitu kinawahusu
Kwa hali ya diwani ilivyo isingekuwa rahisi kupatikana bila polisi kutangaza wanamtafuta kwa habari za wanakawe mheshimiwa huwa anatabia ya kujitenga kidogo mawazo yakimzidi na aliwahi kupelekwa Rehab Austria au Germany enzi mama yake yuko hai. Anapataga msongo wa mawazo.
Wengine tulihisi zile purukushani za wanafamilia za kugombea mali za urithi labda zilipelekea mheshimiwa diwani kutekwa. Maana huyo aliyekuwa akimtihumu kwa jina la utani Nigga T.I au Tibe naye hafai kidogo. Mungu ni.mwema 2025 wana kawe wapate diwani mwingine amabaye atakuwa na Sound and reasonable mind 24/7.
Si ndio hapo sasa, kama mtu amelewa, je aliendelea kulewa muda wote huo?Alitumia kipimo gani kujua kama alilewa ... na ni kilevi gani
Acha hizo.Alitumia kipimo gani kujua kama alilewa ... na ni kilevi gani
Wanabodi,
Kati ya Taasisi zinazopaswa kufanya kazi kwa weledi mkubwa bila mihemuko ni Jeshi Letu la Polisi.
Kuna baadhi ya issues ambazo jeshi letu la polisi, zinazishughulikia sio issues za kipolisi, ni issues za kijamii ...
Paskali
Upo sahihi kabisa, polisi wamekosea kuingilia faragha binafsi ya mtu.This is pure sensationalism, tusiruhusu sensationalism za aina hii kwenye jeshi letu la polisi.
Naunga mkono hoja yako, ni vyema polisi wachunguze kilichowapata hawa raia wenzetu ikiwemo wahusika wa shambulizi la Mh.Lissu kuliko kuendelea kubakia kimyaNiombe tu sasa watusaidie kujua waliko mwanaJF mwenzetu Ben R Saanane na mwandishi Azory Gwanda kama walivyomsaka na kumpata Mh Rwakatare.
Mkuu Kulikua na haja gani ya Polisi kumtaja Ashura, Umri wake, Kabila lake na Makazi yake?Sioni kosa la PT,huyu jamaa ni kiongozi wa watu......baada ya tangazo la Meya...isingewezekana PT wampate halafu wakae kimya tu......PT wanamapungufu yao ila Kwa hili hapana,wapo sahihi kabisa