Wito Jeshi Letu la Polisi, Stop This Sensesionalism!. Udhalilishaji, na Kuingilia The Right to Privacy!. Kumbe PT Inafanyia Kazi Taarifa za Mitandao!

Wito Jeshi Letu la Polisi, Stop This Sensesionalism!. Udhalilishaji, na Kuingilia The Right to Privacy!. Kumbe PT Inafanyia Kazi Taarifa za Mitandao!

Wanabodi,
Kati ya Taasisi zinazopaswa kufanya kazi kwa weledi mkubwa bila mihemuko ni Jeshi Letu la Polisi.

Kuna baadhi ya issues ambazo jeshi letu la polisi, zinazishughulikia sio issues za kipolisi, ni issues za kijamii na kifamilia.

Kwanza msikilize Kamanda Polisi Huyu

Kisha isome taarifa hii ya Jeshi la polisi
View attachment 2237214
  1. Kazi ya Jeshi la polisi ni kulinda usalama wa raia na mali zake. Kukutokea kitisho cha usalama au mtu ametoweka hajulikani alipo, ndugu wa mhusika huripoti polisi na polisi kufanya uchunguzi.
  2. Tukio la kutoweka kwa diwani huyu, halikuripotiwa kituo chochote cha polisi na ndugu yake yoyote, bali Bosi wake, Meya wa Kinondoni alitangaza kwa waandishi wa habari kuwa Diwani hajafika kazini, na nyumbani kwake hayupo.
  3. Nianze kwa kutoa pongezi kwa Jeshi letu la Polisi, kumbe siku hizi, linazifanyia kazi taarifa za mitandaoni!. Tundu Lissu kabla hajashambuliwa alitoa taarifa kupitia vyombo vya habari, kuwa usalama wake uko mashakani, kuna gari inafuatilia, hadi akaitaja mpaka number!. Jeshi la polisi lilijibu kuwa hawafanyii kazi taarifa za vyombo vya habari, kama ni issues yoyote, Lissu akaripoti polisi ndipo jeshi la polisi lishughulikie!.
  4. Tukio la kutoweka kwa diwani huyu halikuripotiwa kituo chochote cha polisi zaidi ya vyombo vya habari, kumbe sasa jeshi letu la polisi liko makini kufuatilia taarifa za mitandao ya jamii!. Big up for this.
  5. Hakuna jinai yoyote ya mtu kutoripoti kazini, mtu asiporipoti kazini taratibu za kiofisi ndizo hutumika. Pia hakuna jina yoyote mtu kunywa pombe, as long as hujafanya jinai yoyote. Na hakuna jinai yoyote, mtu yoyote kuhama nyumbani kwake na kuhamia mahali popote, hizi ni issues za kijamii za kifamilia.
  6. Baada ya Diwani kupatikana, kulikuwa na haja gani polisi kusema alikuwa kwa mwanamke, na kumtaja jina!, huku ni kuingilia the right to privacy.
  7. Hata kama huyu mwanamke ameripoti mtu wake alikuja akiwa amelewa, inawahusu nini polisi kuripoti?, huku ni kumchafua diwani wetu kumuonyeshea ni mlevi!.
  8. Kwa vile hakuna ndugu yoyote aliyemripoti kupotea, polisi baada ya kumkuta Tabata, walimkama kumpeleka kituoni kwa kosa gani?!. Jukumu la polisi baada ya kumpata, ilikuwa ni kumpa tuu taarifa Meya, kuwa Diwani wake yuko salama, taarifa ya polisi ingeishia kusema amepatikana, hiyo amepatikana wapi, kwa nani, jina la mwanamke hadi kabila lake na uhusiano wao wa miaka 10, ilikuwa inahusu nini?.
  9. This is pure sensationalism, tusiruhusu sensationalism za aina hii kwenye jeshi letu la polisi.
  10. Taarifa hii ni an ethical, ni udhalilishaji wa kumdhalilisha diwani wetu, taarifa hii inaingilia the right to privacy ya diwani wetu, tutabadili sheria zetu za uwakili kuruhusu kesi za pro borno, jeshi la polisi hapa linashitakiwa kwa defamation by innuendo, na mtu anashinda kesi mapema asubuhi!.
Paskali

Mkuu kumbuka, hata matatizo ya kifamilia huenda ikaishia kuwa jinai.
Huyu Diwani, hata kiongozi wa juu Jijini, Mstahiki Meya Songoro , kalalamika hadharani kwa kutoonekana kiongozi mwenziwe katika Baraza la Madiwani Kinondoni.
Hiki kilikuwa kitendo cha kistaarabu kufanya.

Angekuwa amekufa ingekuwaje?
Kila mtu anajua Diwani amepotea lakini kila mtu kimya!

Hata wewe Paskali, ukipotea kipindi kirefu, tutaomba polisi wakutafute kukutoa kwenye chimbo lako.
 
Katiba hata hii ya zamani ilitakiwa iwe na kifungu cha wananchi wa eneo husika, kumwajibisha mbunge au diwani inapotokea hali kama hii,

Lakini hamna namna yoyote ya kumtoa kiongozi kama huyu mlevi, hivyo Kawe wanalazimika kusubiri mpaka 2025, Wakiongozwa na diwani chapombe
 
Wanabodi,
Kati ya Taasisi zinazopaswa kufanya kazi kwa weledi mkubwa bila mihemuko ni Jeshi Letu la Polisi.

Kuna baadhi ya issues ambazo jeshi letu la polisi, zinazishughulikia sio issues za kipolisi, ni issues za kijamii na kifamilia.

Kwanza msikilize Kamanda Polisi Huyu

Kisha isome taarifa hii ya Jeshi la polisi
View attachment 2237214
  1. Kazi ya Jeshi la polisi ni kulinda usalama wa raia na mali zake. Kukutokea kitisho cha usalama au mtu ametoweka hajulikani alipo, ndugu wa mhusika huripoti polisi na polisi kufanya uchunguzi.
  2. Tukio la kutoweka kwa diwani huyu, halikuripotiwa kituo chochote cha polisi na ndugu yake yoyote, bali Bosi wake, Meya wa Kinondoni alitangaza kwa waandishi wa habari kuwa Diwani hajafika kazini, na nyumbani kwake hayupo.
  3. Nianze kwa kutoa pongezi kwa Jeshi letu la Polisi, kumbe siku hizi, linazifanyia kazi taarifa za mitandaoni!. Tundu Lissu kabla hajashambuliwa alitoa taarifa kupitia vyombo vya habari, kuwa usalama wake uko mashakani, kuna gari inafuatilia, hadi akaitaja mpaka number!. Jeshi la polisi lilijibu kuwa hawafanyii kazi taarifa za vyombo vya habari, kama ni issues yoyote, Lissu akaripoti polisi ndipo jeshi la polisi lishughulikie!.
  4. Tukio la kutoweka kwa diwani huyu halikuripotiwa kituo chochote cha polisi zaidi ya vyombo vya habari, kumbe sasa jeshi letu la polisi liko makini kufuatilia taarifa za mitandao ya jamii!. Big up for this.
  5. Hakuna jinai yoyote ya mtu kutoripoti kazini, mtu asiporipoti kazini taratibu za kiofisi ndizo hutumika. Pia hakuna jina yoyote mtu kunywa pombe, as long as hujafanya jinai yoyote. Na hakuna jinai yoyote, mtu yoyote kuhama nyumbani kwake na kuhamia mahali popote, hizi ni issues za kijamii za kifamilia.
  6. Baada ya Diwani kupatikana, kulikuwa na haja gani polisi kusema alikuwa kwa mwanamke, na kumtaja jina!, huku ni kuingilia the right to privacy.
  7. Hata kama huyu mwanamke ameripoti mtu wake alikuja akiwa amelewa, inawahusu nini polisi kuripoti?, huku ni kumchafua diwani wetu kumuonyeshea ni mlevi!.
  8. Kwa vile hakuna ndugu yoyote aliyemripoti kupotea, polisi baada ya kumkuta Tabata, walimkama kumpeleka kituoni kwa kosa gani?!. Jukumu la polisi baada ya kumpata, ilikuwa ni kumpa tuu taarifa Meya, kuwa Diwani wake yuko salama, taarifa ya polisi ingeishia kusema amepatikana, hiyo amepatikana wapi, kwa nani, jina la mwanamke hadi kabila lake na uhusiano wao wa miaka 10, ilikuwa inahusu nini?.
  9. This is pure sensationalism, tusiruhusu sensationalism za aina hii kwenye jeshi letu la polisi.
  10. Taarifa hii ni an ethical, ni udhalilishaji wa kumdhalilisha diwani wetu, taarifa hii inaingilia the right to privacy ya diwani wetu, tutabadili sheria zetu za uwakili kuruhusu kesi za pro borno, jeshi la polisi hapa linashitakiwa kwa defamation by innuendo, na mtu anashinda kesi mapema asubuhi!.
Paskali
Mkuu kumbuka ajira za polis ni form 4 failure....hakuna haki tz
 
Kwa hali ya diwani ilivyo isingekuwa rahisi kupatikana bila polisi kutangaza wanamtafuta kwa habari za wanakawe mheshimiwa huwa anatabia ya kujitenga kidogo mawazo yakimzidi na aliwahi kupelekwa Rehab Austria au Germany enzi mama yake yuko hai. Anapataga msongo wa mawazo.

Wengine tulihisi zile purukushani za wanafamilia za kugombea mali za urithi labda zilipelekea mheshimiwa diwani kutekwa. Maana huyo aliyekuwa akimtihumu kwa jina la utani Nigga T.I au Tibe naye hafai kidogo. Mungu ni.mwema 2025 wana kawe wapate diwani mwingine amabaye atakuwa na Sound and reasonable mind 24/7.

This shows the corruption within ccm. This guy Mutta has been a Kawe division executive for two consecutive terms, all this time it was an open secret that he had issues with drugs and yet they recommended him to the electorate to vie for the Kawe seat!! Ccm has betrayed the trust of the Kawe residents by hiding Mutta's ailment when vying for these representative political positions.
 
Sometimes bro, Acha jeshi litupe burudani kidogo, ili tozo za vifurushi ziende kihalali!

Eeeh wazinifu walevi wote na uniform zao za rangi ya majani!

Daah chama kimeshika hatamu!
 
Maoni: Taarifa imekaa na kuelemea zaidi upande wa Udhalilishwaji wa watu wawili na hasa mmoja ambaye ni Kiongozi.

Ukikaa na kusikiliza kwa makini na kurudia tena; Utagundua mengi: Machache yakiwa ni

~ Jeshi la Polisi kutumia Taarifa hii kama Harakati za 'Kuwin Back Trust' kwa Wananchi.

~ Kumuonyesha 'Mama' nini wanaweza kufanya na nini kinaendelea kwa waliochini yake, walio kwenye Chama na n.k

~ 'Honey trapping' kwa huyo Kiongozi iliyofanywa na Viongozi Wenza au Wabaya wake ili kutoka/ kuachia Madaraka kwa kujiuzulu ili kulinda Heshima yake.

~ Kumpaisha bila kujua Bidada Ashura kwa namna yeyote ile ili na yeye aweze kutamba huku wanakitambiana wale Vinara wa kutoka na Vigogo.

~ Ukandamizwaji wa Haki za Kibinadamu huku ikifunua ukikwaji wa Maadili ya Viongozi na mengine mengi tu.

Naomba kuuliza Msemaji wa Jeshi la Polisi haya hayamuhusu au ndiyo ni lazima Taarifa isemwe na Kamanda Mkuu wa Kanda Maalum?
 
Wanabodi,
Kati ya Taasisi zinazopaswa kufanya kazi kwa weledi mkubwa bila mihemuko ni Jeshi Letu la Polisi.

Kuna baadhi ya issues ambazo jeshi letu la polisi, zinazishughulikia sio issues za kipolisi, ni issues za kijamii ...

Paskali

Ushauri wako umeutoa kwa wakati mwafaka ikizingatiwa kuna kesi ya Wabunge wa viti maalumu CHADEMA kudai wamefukuzwa uanachama isivyo halali wakati inadaiwa waliigiza sahihi ya Katibu Mkuu wa chama kwenye barua ya uteuzi, na Polisi hawakuchukua hatua!!
 
This is pure sensationalism, tusiruhusu sensationalism za aina hii kwenye jeshi letu la polisi.
Upo sahihi kabisa, polisi wamekosea kuingilia faragha binafsi ya mtu.

Niombe tu sasa watusaidie kujua waliko mwanaJF mwenzetu Ben R Saanane na mwandishi Azory Gwanda kama walivyomsaka na kumpata Mh Rwakatare.
Naunga mkono hoja yako, ni vyema polisi wachunguze kilichowapata hawa raia wenzetu ikiwemo wahusika wa shambulizi la Mh.Lissu kuliko kuendelea kubakia kimya
 
Sioni kosa la PT,huyu jamaa ni kiongozi wa watu......baada ya tangazo la Meya...isingewezekana PT wampate halafu wakae kimya tu......PT wanamapungufu yao ila Kwa hili hapana,wapo sahihi kabisa
Mkuu Kulikua na haja gani ya Polisi kumtaja Ashura, Umri wake, Kabila lake na Makazi yake?
 
Back
Top Bottom