Wito Jeshi Letu la Polisi, Stop This Sensesionalism!. Udhalilishaji, na Kuingilia The Right to Privacy!. Kumbe PT Inafanyia Kazi Taarifa za Mitandao!

Leo angalau hujakashifu CDM, kulikoni?
 
Bro unafikili hawajuhi?wanajua sana walichokifanya sio sahihi,ila hapa wanajaribu kuiaminisha jamii kwamba zile kelele za jamii kuhusu utekaji na wasiojurikana sio za kweli,kwamba watu wengine,"hujiteka wenyewe"spinning tupu hapa.
 
Binafsi sijsona kosa la PT watu walishadhani kuwa wale wasiojulikana wamerudi, pili sadaka za kanisani tumejua zinapoenda, tatu kuonyesha kuwa jeshi lipo active muda wote, asante jeshi letu.

Ashura mnara tutakujengea pale tabata bima
Ama Bi Ashura aliziloweka nguo za mheshimiwa diwani kwenye beseni na akasahau kuzifua kwa wakati nini?
 
Paskali toka Mwendazake aondoke umeanza kuongea ponti na kuacha kusifia , big up, matumaini ya uteuzi yalikurudisha nyuma
 
Ni jeshi la hovyo kabisa
 
Hii issue huenda ilikuwa clear. Nailinganisha na mkia wa mbuzi kila mara uko juu. Huhitaji kuuliza kama jike au dume.

Wakati Mstahiki Meya anatoa taarifa, nakumbuka kama alisema, familia yake haitoi ushirikiano. Na akasema kuwa aliyemficha amwachie. Nahdhani alijulikana alipo.

Ugumu ulitokana na unyanyapaa kwa vile ni Mchungaji na ni mtoto wa marehemu Mchugaji aliyeeshimika sana. Kwa hiyo, Polisi kama Mamlaka, iliingilia ili kusije kukatokea mabishano, may be ya kidini/kiimani kwamba mtu wao au kiongizi wao kadhalilishwa na kundi fulani la imani tofauti.
 
Binafsi sijsona kosa la PT watu walishadhani kuwa wale wasiojulikana wamerudi, pili sadaka za kanisani tumejua zinapoenda, tatu kuonyesha kuwa jeshi lipo active muda wote, asante jeshi letu.

Ashura mnara tutakujengea pale tabata bima
Ila kwa akina Azory Gwanda na Ben Saanane ulisikia walijibu nini?.
Walisema sio kazi yao, itakuwa wametoroka nyumbani kutafuta maisha na ni jambo la kawaida
 
Ila kwa akina Azory Gwanda na Ben Saanane ulisikia walijibu nini?.
Walisema sio kazi yao, itakuwa wametoroka nyumbani kutafuta maisha na ni jambo la kawaida
We vipi broo ,polisi nao wana familia zinawategemea,wangesema nini mbele ya jiwe,jiwe ndio aliwatuma,s o mlaumu jiwe sio polisi
 
hivi ww unaona sawa kabisa kuanikwa mambo yako binafsi kwenye media.je ungekuwa wewe unaanikwa mambo yako binafsi kwenye hadhara ungekubali?au mnaongea tu kwa ushabiki!
 
We vipi broo ,polisi nao wana familia zinawategemea,wangesema nini mbele ya jiwe,jiwe ndio aliwatuma,s o mlaumu jiwe sio polisi
kwani jiwe ndo chuo walichosomea.kwani kule chuoni alikuwa anafundisha jiwe au walimu wengine wenye taaluma zao,ki vipi wafuate ya mtu na wasifuate yale waliofundishwa darasani?shameful.
 
kwani jiwe ndo chuo walichosomea.kwani kule chuoni alikuwa anafundisha jiwe au walimu wengine wenye taaluma zao,ki vipi wafuate ya mtu na wasifuate yale waliofundishwa darasani?shameful.
Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama,jeshini kauli ya mkubwa wako ni amri,rais akisema polisi muueni katitu utauliwa tu wala hawatauliza sababu
 
Ko
Kosa la jeshi Ni Lipi?. Meya wa manispaa katangaza hadharani diwani kapotea, ulitaka jeshi la Polisi lifanyeje?. Likae kimya au kufanya upelelezi. Jeshi limefanya upelelezi na kuja na majibu baada ya kubaini ukweli kwamba hajatekwa Bali alikuwa kwa rafiki yake.
 
Hata kupatikana kwa Mo Dewji wa Simba bado ni kitendawili jinsi alivyo tekwa na kupatikana kwake. Kikwete alituachia msemo kuwa Akili za kuambiwa changanya na zako.

Huyu hajatekwa alikuwa kwa rafiki yake. Mo alitekwa live akiwa Gym.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…