Wito kwa Serikali: Gharama za Vivuko vya Azam Kigamboni-Magogoni iangaliwe Upya

Kigamboni haina wanafunzi wengi kuliko watu wengine, mpaka leo unataka kulipa 200 kuvuka!?
 
Umetoka namanyele juzi unabwabwaja wameua kivuko,vivuko kivukoni ni saratani ya muda mrefu
 
Waliwahi kuambiwa huko nyuma... kaMaHaWawezikulipawapiGeMbIzI
 
Siku utakapokuja kugundua kuwa hiyo mia3 iliyoongezeka ni ya serikali ndio utaelewa somo, AZAM hapo ni dalali wa ukusanyaji tu, mwenye mali ni sirikali
 
Hapa ndio ukiskia kula urefu wa kamba yako ndio hii sasa. Wenye nguvu na haraka wata kwenda kwenye express walalahoi wata pambana na vya wote. Maisha ndio yalivyo hatuwezi kuwa sawa, gap kati ya maskini na matajiri lazima ziwepo hapa ni clear picture infront of ur naked eyes kuwa una hitaji kuongeza mapambano yako vinginevyo uwe vumilivu vya wengi siku zote havina urahisi na hayo ndio maisha tume jitakia na tumetengenezewa na wenye nchi yetu.
 
Au watengeneze utaratibu wa nauli kwa ajili ya wanafunzi tu. Na hapa siyo kwamba anayeumia ni mwanafunzi peke yake hapana; wazazi pia
 
Kuna mwehu mmoja alisema wapige mbizi.
Vipi kupiga mbizi imekuwa mitihani?
 
Au watengeneze utaratibu wa nauli kwa ajili ya wanafunzi tu. Na hapa siyo kwamba anayeumia ni mwanafunzi peke yake hapana; wazazi pia
Wanavyuo Kigamboni ni wengi sana.
Kipindi wakiwa Likizo wavukaji huwa wachache sana
 
Nchi ikiendeshwa hivi wanaoteseka ni wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…