Wito kwa Serikali: Gharama za Vivuko vya Azam Kigamboni-Magogoni iangaliwe Upya

Umetoka namanyele juzi unabwabwaja wameua kivuko,vivuko kivukoni ni saratani ya muda mrefu
Unatetea kitu usochojua au umeamua tu kuwa chawa ila ukweli unaujua. Ndio wameua vivuko makusudi ili wampe Azam kazi.
Miaka michache nyuma hapo palikuwa na vivuko vitatu. Mv Magogon,Kigamboni na Kazi. Vyotw vilikuwa vinafanya kazi vizuri kabisa. Mimi mwenyewe nilikuwa natumia kivuko niliachana na daraja. Hapo saa moja na nusu au saa mbili nilikuwa navuka ndani ya 25minutes. Ghafla wameingia hawa wala kwa urefu wa kamba vivuko vineanza kuharibika na kuachwa vioze kimoja kimoja. Na kwa kumaliza kabisa wakaamua wapeleke kivuko kimubwa kikatemgenezwe Mombasa kisa mtengenezaji mzawa Kagoma kuendana na matakwa yao. Sasa mwaka wa tatu kivuko kimo huko Mombasa na hata hatujui nini kinaendelea na hakuna anaehoji. Ni ujinga ujjnga tu ili mradi wapeane ulaji na 10% hakuna chochote cha ajabu ambacho Azam anaweza kufanya kiwashinde serikali na vivuko vyao ni uhujumu tu.
 
Hii idea ya VIP wangeipeleka kwenye mwendokasi. Kuwe na mabasi ya haraka bila kujazana kama viazi.

Mbona kwenye mabasi ya mikoani kuna madaraja tofauti ya usafiri kulingana na bei abiria anayo lipa!?
 
Umetoka namanyele juzi unabwabwaja wameua kivuko,vivuko kivukoni ni saratani ya muda mrefu
Kuna pantoni moja tu inayofanya kazi sasa, na kulikuwa na vivuko viwili, MV Kazi na Mv Magogoni. Sasa ulichoandika ni kama ile press ya Jeshi la Polisi kuhusu kutekwa kwa Mo Dewji
 
Serikali inalalia watu wake!!
 
Mshahara wa wiki wa mchezaji pale EPL
 
Kama huwezi lipa tsh 500 piga mbizi
 
Nashangaa kwann serikali haitaki kujenga daraja eneo hilo ingali ni umbali mfupi sana...Sijui kuna kikwazo gani pale...Au kwakua meli kubwa hupita pale, lakini sidhani kama hakuna means ya kutatua hilo.
 
Hapa cha kusisitiza ni kuhakikisha tu hizo za mia mbili ziwepo. Ndio maana hata tunapotamani Mwendokasi iendeshwe na Mtu binafsi basi pia tujiandae kisaikolojia.
 
Nashangaa kwann serikali haitaki kujenga daraja eneo hilo ingali ni umbali mfupi sana...Sijui kuna kikwazo gani pale...Au kwakua meli kubwa hupita pale, lakini sidhani kama hakuna means ya kutatua hilo.
Labda miaka 20 ijayo
 
Jamaa ana hoja ingawa haipo clear, ni kwamba Govt ilikuwa na uwezo wa kufanya tax exemption au kutoa ruzuku kidogo ili angala tofauti isiwe kubwa walau TZS 300 kwa vivuko hvy
 
Nashangaa kwann serikali haitaki kujenga daraja eneo hilo ingali ni umbali mfupi sana...Sijui kuna kikwazo gani pale...Au kwakua meli kubwa hupita pale, lakini sidhani kama hakuna means ya kutatua hilo.
kwani mkuu toka kigamboni hadi magogoni kuna umbali wa urefu wa KM au mita ngapi hata mm naona daraja muhimu sana au umbali utakuwa umezidi lile daraja la tanzanite kigamboni.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…