Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi,
Nimebahatika kufanya kazi na wazungu, niliajiriwa na Taasisi ya FCO ya Uingereza, nikiwa jijini New Delhi India, nikapostiwa Ubalozi wa Uingereza, Pretoria Africa Kusini, Lilongwe Malawi, Lusaka Zambia na mwisho nikatua Jiji Dar es Salaam nikiwa ni Mshauri wa Siasa wa Balozi wa Uingereza. Kati ya makosa makubwa, mabaya na very serious offenses ni racism, segregation, bullying and intimidation, yanachukuliwa very serious!
Mtu yoyote akilalamika amakuwa segregated, au amefanyiwa bullying and intimidation, hatua ya kwanza ni huyo bully anasimamishwa kazi, inatumwa timu ya uchaguzi kutoka UK kuja kuchunguza!
It's very unfortunately Tanzania, bullying and intimidation inafanywa na viongozi wetu, na hawafanywi chochote!
Huko nyuma niliwahi kuzungumzia hizi bullying and intimidations Je, huu ni ufuatiliaji wa uwajibikaji au udhalilishaji kwa bullying na intimidation?
Hiki kilichofanyika hapa ni bullying and intimidation!.
Alichofanyiwa huyo ofisa wa Tarura ni Character Assassination by bullying and intimidation!. Niliwahi kuzungumzia Character Assassination ni Modus Oparandi ya Madikiteta Katili Wote Duniani!
Anachofanya huyo boss hapo ni kitu kinachoitwa kuonyesha Superiority Complex bila kujijua!. Psychoanalysis: Superiority Complex ni Dalili ya Inferiority Complex!. Maneno Mafupi Vitendo Virefu.
Hawa ma bullies wakiendelea kufanya bullying and intimidation na kuachiwa, wanaweza kugeuka ni ma sadist na kufanya sadisim kama huyu This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?
Hitimisho
Natoa wito kwa serikali yetu, isiruhusu huu udhalilishaji wa bullying & Intimidation uendelee!. Mbona Rais Samia hafanyi udhalilishaji?. Hawa ma bullies na ma intimidators they should be put in their rightful places!
Paskali.
Pia soma:
Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya MaadilI ya CCM
Paul Makonda: Kiongozi Mzima Kujieleza Hujui, Mnapataje Hizi Nafasi?
Nimebahatika kufanya kazi na wazungu, niliajiriwa na Taasisi ya FCO ya Uingereza, nikiwa jijini New Delhi India, nikapostiwa Ubalozi wa Uingereza, Pretoria Africa Kusini, Lilongwe Malawi, Lusaka Zambia na mwisho nikatua Jiji Dar es Salaam nikiwa ni Mshauri wa Siasa wa Balozi wa Uingereza. Kati ya makosa makubwa, mabaya na very serious offenses ni racism, segregation, bullying and intimidation, yanachukuliwa very serious!
Mtu yoyote akilalamika amakuwa segregated, au amefanyiwa bullying and intimidation, hatua ya kwanza ni huyo bully anasimamishwa kazi, inatumwa timu ya uchaguzi kutoka UK kuja kuchunguza!
It's very unfortunately Tanzania, bullying and intimidation inafanywa na viongozi wetu, na hawafanywi chochote!
Huko nyuma niliwahi kuzungumzia hizi bullying and intimidations Je, huu ni ufuatiliaji wa uwajibikaji au udhalilishaji kwa bullying na intimidation?
Wanabodi,
Angalia kilichofanyika hapa:
Isn't This Bullying and Intimidation?.
Hapa nauliza tuu, kilichofanyika hapa, isn't this bullying na intimidation?.
Paskali