Wito kwa Watanzania kumfata Sheikh wetu Ponda Issa Ponda kwa kukiunga mkono chama cha ACT wazalendo

Mohamed Abubakar

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2014
Posts
1,127
Reaction score
1,290
Busara tuliyopewa na wazee wetu ni kutafakari zaidi yale yasiyosemwa kuliko yanayosemwa.

Haya yasiyosema yadikilizwe zaidi kama si kosa la jinai.

Kwani uongo unaporudiwa mara kwa mara huonekana ni Ukweli.

Tz kuna propaganda ya muda mrefu pale watu wanaobaguliwa kwa imani zao kuonekana ni Udini.

Neno udini ni msamiati unaposemwa na walioathiriwa huonekana ni jinai. Na waathiriwa ni pamoja na wana mageuzi.

Katiba bora ni ile ambayo imekusanya matakwa ya kila tabaka. Na mfano wa katiba bora ni ya Afrika kusini ambayo hata vyama vya kitamaduni (dini) vinaruhusiwa.

Katiba yapaswa kuongozwa na UNIVERSAL LAWS. Je tz tunafata Universal law au tunaongozwa kwa Matakwa ya nani.

Ni makwata ya katiba? au kwa maneno tuliyoyazoea ya wanasiasa wa ccm?

Tunaweza jiuliza makatwa ya katiba hii yanayotokana na matabaka yote?

Ilani bora ya chama ni ile iliyokusanya maslahi ya matabaka mengi na hasa matabaka makubwa (population).

Msimu wa Uchaguzi unapofika kila tabaka lilotajwa ktk katiba kama vile Dini, Kabila, Rangi, Eneo, Jinsi, Walemavu nk wana haki ya kutathmini ni ilani ya chama gani inayolinda maslahi yao.

Katika Uislam kuna haki tatu Wanadamu wanapaswa walindwe na kati ya mtu na mtu. Na kati ya Watawala na watawaliwa.

Zikikosekana haki hizo jamii inapaswa kulipiza kisasi 'Retaliete'

Haki hizo ni
1. Heshima yako
2. Mali yako
3. Damu yako

Serikali ya CCM tangu imekiuka haki hizi kwa waislam achilia miaka 7 hii waliopitia CHADEMA.

Kupiga kura ni zoezi ambalo vyama mbali mbali hunadi ilani zao na makundi ya kijamii hupata fursa ya kukopigia chama kilichoahidi kutetea maslahi ya matabaka yote. Na hasa matabaka ya jamii ya walio wengi ndio hushinda. Na chama Chenye kulinda maslahi ya matabaka mengi hushinda.

Hata hivyo watu wa kawaida layman hawana uwezo wa kufanya uchambuzi huo ila kwa kupitia viongozi wao wanaowaamini.

Sheikh Ponda historia imeandika ndiye kiongozi pekee anaekubaliwa au mwenye ushawishi na wafuasi wengi wa tabaka la Waislam. Sina hakika na wanamageuzi wengine.

Kajipambanua kwa mwongo mmoja kuwa ni mtetezi dhidi ya ubaguzi na ukandamizwaji unaofanywa na wahalifu waliojificha ndani ya ofisi za Ummah (serikali) dhidi ya Waislamu na Uislam.

Niwakumbushe nguvu aliyonayo. Ktk kampeni za uchaguzi mwaka 2020 alitoa fupi tu kuwa waislam wamekubaliana kumpigia Kura kiti cha Urais mgombea wa CHADEMA Mh Tundu Lissu. Kauli iliyosababisha mgombea mmoja kuacha kampeni na kwenda kusimamia zoezi la kupanga matokeo mezani.

Huyu ndie Sheikh Ponda ambae muda wa kampeni ukifika atatoa Rasmi mwongozo wa chama gani Chenye maslahi kwa waislam na watz ktk uchaguzi mkuu 2025.

Na atatoa kauli kwa kujivua dhima kwa Mungu kwamba ni haram kumchagua Raism Mwanamke sawa na matakwa ya Waislam

Kwamba sheria ya kiislam inaruhusu mgombea mwanamme wa tabaka lolote, dini yyt sharti awe mwanamme.

Hivyo wito inatolewa kuungana na Sheikh wetu Mkuu Ponda Issa Ponda kwa kukiunga mkono chama cha ACT wazalendo. Wito ni kwa wale waliokufa jana na maslahi ya matumbo yamewekwa kando, walionyooka, wanaoamini uwepo wa Mungu. Walio tayari Kuunda Taifa Moja, Imani Zote chini ya Mamlaka ya Mungu. BUILDING A ONE NEW NATION UNDER GOD
 
Msimu wa Uchaguzi unapofika kila tabaka lilotajwa ktk katiba kama vile Dini, Kabila, Rangi, Eneo, Jinsi, Walemavu nk wana haki ya kutathmini ni ilani ya chama gani inayolinda maslahi yao.

Kwani kura hupigwa iwapo chama fulani kimeahidi kutetea maslahi yenu.

Hata hivyo watu wa kawaida layman hawana uwezo wa kufanya uchambuzi huo ila kwa kupitia viongozi wao wanaowaamini.

Sheikh Ponda historia imeandika ndiye kiongozi pekee anaekubaliwa au mwenye wafuasi wengi wa tabaka la kiislam.

Kajipamvanua kwa mwongo mmoja kuwa ni mtetezi dhidi ya ubaguzi na ukandamizwaji unaofanywa na wahalifu waliojificha ndani ya ofisi za Ummah (serikali) dhidi ya Waislamu na Uislam.

Niwakumbushe nguvu aliyonayo. Ktk kampeni za uchaguzi mwaka 2020 alitoa fupi tu kuwa waislam wamekubaliana kumpigia Kura kiti cha Urais mgombea wa CHADEMA Mh Tundu Lissu. Kauli iliyosababisha mgombea mmoja kuacha kampeni na kwenda kusimamia zoezi la kupanga matokeo mezani.

Huyu ndio Sheikh Ponda ambae muda wa kampeni ukifika atatoa Rasmi mwongozo wa chama gani Chenye maslahi kwa waislam ktk uchaguzi mkuu 2025.

Na atatoa kauli kwa kujivua dhima kwa Mungu kwanini ni haram kumchagua Mwanamke kuwa Rais.

Kwamba sheria ya kiislam inaruhusu mgombea mwanamme wa tabaka lolote, dini yyt sharti awe mwanamme.

Hivyo wito inatolewa kuungana na Sheikh wetu Mkuu Ponda Issa Ponda kwa kukiunga mkono chama cha ACT wazalendo
Uchochezi huu
 
Hovyo
 
Kusapoti watu wa dini yako tuu hata kama wanachofanya ni makosa na kufikiri wasio wa dini yao kuwasapoti ni makosa no matter what
Kwa hiyo chadema kutoteuwa wajumbe wa kamati kuu waislam ni ubaguzi? Achilia mbali wale waliochaguliwa kwa kuwa ni wazanzibar
 
Back
Top Bottom