Wito kwa Watanzania kumfata Sheikh wetu Ponda Issa Ponda kwa kukiunga mkono chama cha ACT wazalendo

Acha upuuzi, maslahi ya waislamu yanapatikana msikitini, nje ya msikiti tunazungumzia maslahi ya wa Tanzania. Shenzi sana
Ndugu unaongea sawa na matakwa yako. Sisi tuna matakwa yetu ambayo ccm wameyafinya. Mfano sheria ya ugaidi ni ya kibaguzi huku 99% ni waislam na mashekhe. Hivi maslahi hayo tutaweza kuwapata msikitini.

Hivi ni kosa iwapo ACT wameahidi kuifuta sheria hiyo na MBADALA wake itatukikq sheria ya uhalifu.

Yako masuala mengi ya kibaguzi na wanapaswa kuamuliwa kwa kupiga kura ya MASLAHI na si kuamuliwa msikitini
 
Kwenye hiyo sheria ya ugaidi kuna mahali ime ainisha ‘dini’ za magaidi??
 
Siasa za ubaguzi wa kidini haziwezi kukufikisha popote. Ni ufinyu wa kufikiri ndio unakusumbua.
Ubaguzi uko wapi ndugu.

tembeeni hata Marekani wenye imani na Mungu hupigania Republican kishinde. Na wale wa ndoa ya jinsia moja ni wa Democratic.
 
Ndugu uchaguzi ni vita. Silaha zote zahitajika kupigania maslahi na matakwa ya wanaokandamizwa. Na si kwa matakwa ya wakandamizaji
Acha kufikiri kwa kutumia makalio, jitahidi upate walau elimu dunia na uifahamu siasa safi na chafu, dini haifungamani na siasa. Jamal Khashoggi aliuwawa na Serikali ya kiislamu kwa kusimamia haki.
 
Ndugu fikra zako zinatokana na matakwa yako.

Sisi tuna fikra zetu, matakwa yetu na njia zetu za kutafuta haki.

Huwezi lazimisha matako yako yawe sheria kwetu.

Kama kuna kifungu cha katiba kinachokata watu wa dini fulani kukiunga mkono moja ya chama Chenye maslahi kwao. Leta hiyo sheria.

Acha lugha mbaya. Hujui namna gani Waislma wameteswa nchi hii tokea uhuru.

Jiulize kwanini tunatoa mama Samia. Hana msaada wa kutuvusha ktk janga hili ccm
 
Hakuna. Hata ktk nchi ambazo matabaka fulani yanabaguliwa katiba au sheria haitaji kwa jina. Hata hivyo hisia za ubaguzi zinaonekana kwa kuwa hakuna ktk aliyekamatwa kapatikana na ushahidi kuwa katenda ugaidi.
hebu pata ushauri wa kitaalam hapa.

View: https://youtu.be/72rIuu-GSf0?si=nqM0P-xdK9kjN6vr

Sasa watu wametendewa haki na mahakama isiyoendeshwa kwa misingi ya udini ubaguzi unatoka wapi hapo??? Hata wakili wao sio wa hiyo dini huoni hilo ni jambo jema???
 
Acha kufikiri kwa kutumia makalio, jitahidi upate walau elimu dunia na uifahamu siasa safi na chafu, dini haifungamani na siasa. Jamal Khashoggi aliuwawa na Serikali ya kiislamu kwa kusimamia haki.
Ndugu fikra zako zinatokana na matakwa yako.

Sisi tuna fikra zetu, matakwa yetu na njia zetu za kutafuta haki.

Huwezi lazimisha matako yako yawe sheria kwetu.

Kama kuna kifungu cha katiba kinachokata watu wa dini fulani kukiunga mkono moja ya chama Chenye maslahi kwao. Leta hiyo sheria.

Acha lugha mbaya. Hujui namna gani Waislma wameteswa nchi hii tokea uhuru.

Jiulize kwanini tunatoa mama Samia. Hana msaada wa kutuvusha ktk janga hili ccm
 
Sasa watu wametendewa haki na mahakama isiyoendeshwa kwa misingi ya udini ubaguzi unatoka wapi hapo??? Hata wakili wao sio wa hiyo dini huoni hilo ni jambo jema???
Rudia tena kusikiliza ushauri wa wakili.

Jiulize kwanini ni Mashekhe tu ndio wanakamatwa na hufunguliwa kesi za ugaidi.

Na kwanini hukaa ndani zaidi ya miaka 10. Unawezaje kupata ushahidi baada ya mwaka wa 11 iwapo mwaka wa kwanza tukiweza kuupata.

Ni kesi za kubambikia, hakuna ushahidi lkn wanalamatwa kwa kuwa wao ni waislam, kwa kuwa wao wanafuga ndevu.

Hii sheria ni ya kibaguzi. Na si ccm, si chadema wako tayari kuifanyia marekebisho zaidi ya ACT.

Kuna kosa gani kwa waislam kuiunga mkono ACT.
 
Ndugu fikra zako zinatokana na matakwa yako.

Sisi tuna fikra zetu, matakwa yetu na njia zetu za kutafuta haki.

Huwezi lazimisha matako yako yawe sheria kwetu.

Kama kuna kifungu cha katiba kinachokata watu wa dini fulani kukiunga mkono moja ya chama Chenye maslahi kwao. Leta hiyo sheria.

Acha lugha mbaya. Hujui namna gani Waislma wameteswa nchi hii tokea uhuru.

Jiulize kwanini tunatoa mama Samia. Hana msaada wa kutuvusha ktk janga hili ccm
Hivyo vifungu havipo kwa sababu hii ni nchi iliyoamua kuwa na serikali isiyo ya msimamo wa kidini, ndio maana nashangaa unapotaka kuleta hoja ya dini kama kigezo cha kupata kiongozi wa ki serikali ambaye badala ya kwenda kusimamia maslahi ya wa Tanzania wewe unataka akasimamie maslahi ya wa islam.

Waislamu wameteswa nini tangu uhuru hadi leo, wamekatazwa kufunga Ramadhan? Kujenga misikiti ? Kuwaita wasioamini katika uislam makafiri? Wanatungiwa sheria zao binafsi za kuwakandamiza? Wanalipa kodi tofauti na wasio waislam? Au wamekatazwa kuoa mke zaidi ya mmoja???!!
 
Tukuanza kuchagua viongozi kwa kuangalia dini zetu tutapoteza dira kama taifa.
Ndugu yangu kwanini iwe si kosa kwa mapenzi wa anasa kumfata Diamond au ali kiba, lkn iwe kosa kwa wapenzi wa Imani kumfata kiongozi wao. Sheikh Ponda ndio taa yetu. Si kosa iwapo tutamfata.

Wewe waweza kumfata Dr Slaa au kufata nyimbo za Kapten Komba
 
Rudia tena kusikiliza ushauri wa wakili.

Jiulize kwanini ni Mashekhe tu ndio wanakamatwa na hufunguliwa kesi za ugaidi.

Na kwanini hukaa ndani zaidi ya miaka 10. Unawezaje kupata ushahidi baada ya mwaka wa 11 iwapo mwaka wa kwanza tukiweza kuupata.

Ni kesi za kubambikia, hakuna ushahidi lkn wanalamatwa kwa kuwa wao ni waislam, kwa kuwa wao wanafuga ndevu.

Hii sheria ni ya kibaguzi. Na si ccm, si chadema wako tayari kuifanyia marekebisho zaidi ya ACT.

Kuna kosa gani kwa waislam kuiunga mkono ACT.
Wewe ni muislam, ulishawahi kubambikiwa hayo makosa ya u gaidi? Umesema 2020 sheikh Ponda alitoa muelekeo kuwa waislam mmeiunga mkono CHADEMA, kisha hapa unasema si CHADEMA wala CCM wenye mpango wa kubadilisha hiyo sheria ya u gaidi hauoni kama nyinyi waumini ni bendera fuata upepo?

Kuna wengine hatuamini katika mungu wala dini, sasa viongozi watakaochaguliwa wakiwa na akili kama zako si mnaweza mkaishia kutuua tu ili mpate thawabu kwa allah?
 
Wazungu, waarabu na watu wengine wa bara la Asia wanajenga nchi zao ili wafurahie maisha hapa duniani. Waafrika, asante dini za kuletewa, tuko tayari kuharibu nchi zetu kwa matumaini ya kwenda kuishi kwa furaha kunakoitwa mbinguni/ahera baada ya kufa. Utumwa wa kifikra kupitia dini za vitabu vya kale ndiyo madhara makubwa zaidi yalotokana na utumwa na ukoloni
 
Hivyo vifungu havipo kwa sababu hii ni nchi iliyoamua kuwa na serikali isiyo ya msimamo wa kidini, ndio maana nashangaa unapotaka kuleta hoja ya dini kama kigezo cha kupata kiongozi wa ki serikali ambaye badala ya kwenda kusimamia maslahi ya wa Tanzania wewe unataka akasimamie maslahi ya wa islam.

Waislamu wameteswa nini tangu uhuru hadi leo, wamekatazwa kufunga Ramadhan? Kujenga misikiti ? Kuwaita wasioamini katika uislam makafiri? Wanatungiwa sheria zao binafsi za kuwakandamiza? Wanalipa kodi tofauti na wasio waislam? Au wamekatazwa kuia mke zaidi ya mmoja???!!

Nchi nyingi zilizojipambanua hazina dini zilizoendelea na kubagua baadhi ya dini.

Kama si kosa kwa watu wa tabaka fulani kama dini, kabilq kuunga mkono moja ya chama wanachoona kina maslahi kwao. Basi si sahihi kufikiri matakwa yako ndio yanayopaswa kufatwa hata kama hayana tija kwetu.

Unasema tupiganie maslahi ya watz ni yapi, wakati ccm inawatenga waislam ktk teuzi.

Kwanini takwimu zaonyesha hakuna mtz mwenye asili ya asia kwa mfano aliyewahi kupata uteuzi kutoka kwa Rais. Je hawana weledi, kwanini 75% ya wanaoteuliwa ni wakristo tokea uhuru na 25% au chini ya hapo ni waislam. Nafasi za mawaziri, makatibu wakuu. Je waislam hawana weledi.

Maslahi gani utayoyaota ya watz wakati mikoa yenye waislam wengi kama mikoa ya kusini imetengwa na miradi ya maendeleo. Hakuna BBT, Hakuna Reli ya aina yyt, hakuna chuo kikuu, hakuna uwanja wa ndege wa kimataifa, hakuna hospitali ya rufaa, hakuna mkakati wa kupeleka viwanda,

Kwanini sheria ya ugaidi imewahusu wakristo Mbowe na Rwakatare pekee na zaidi ya waislam 300 wamekamatwa.

Ccm imetubagua kupita maelezo.
View: https://youtu.be/obOYhW6LJUI?si=jG5ZLhuj6rSjlicJ

Hivyo ili waislam wajikomboe tutafata katiba si matakwa yenu. Na katiba haikarazi wasukuma kumfata Magufuli, wapemba kumfata Samia, ni kama vile wakristo walivyomuunga mkono Mwandishi wa habari mpaka na badae padre Slaa na kumuacha profess wa uchumi wakati ule Lipumba.

Hivi ni kwanini ndege wote walie akilia bundi uchuro
 
Wazungu, waarabu na watu wengine wa bara la Asia wanajenga nchi zao ili wafurahie maisha hapa duniani. Waafrika, asante dini za kuletewa, tuko tayari kuharibu nchi zetu kwa matumaini ya kwenda kuishi kwa furaha kunakoitwa mbinguni/ahera baada ya kufa. Utumwa wa kifikra kupitia dini za vitabu vya kale ndiyo madhara makubwa zaidi yalotokana na utumwa na ukoloni
Ndugu kwa hiyo unapendekeza nini.

Kwamba kwa vile sheria ya ugaidi pamoja na kuwabagua waislam iendelee kuwepo kwa kuwa waislam ni watu wa amani.

Na sheria za tume ya uchaguzi zibaki kama zilivyo ili kulinda amani. Kwani ni nani anaetaka kuvuruga amani kati ya aliyekabidhiwa silaha. Na yule anaetaka kuiondoa serikali ya kibaguzi kwa kutumia kura.
 
Back
Top Bottom