Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Mfumo gani aliacha wa hiyo 23,000 auK
ama magu aliongea kisiasa mbona hadi anakufa kaacha umhuo mfumo unafanya kazi na hapo samia anathibitisha kuwa umeme ni elfu 27 ...utetezi wako unadhihil8sha ninacho sema waislamu wote ni wapumbavu tofauti na wakristo baadhi ndiyo wapumbavu sifa za mpumbavu ni unafiki ,uongo , na ufisadi wote.
Kama unaamini hivyo hujui kitu
Nipe video ya mama kudhibitisha hilo la 27,000
Maana ninavyojua gharama inatofautiana na umbali uliopo na mtandao wa umeme,mwenye kuweka nguzo moja ana gharama zake,mbili tatu na kuendelea
Twende taratibu,nipo tayar kupoteza muda wangu nijadili na wewe