Wito kwa Watanzania kumfata Sheikh wetu Ponda Issa Ponda kwa kukiunga mkono chama cha ACT wazalendo

Waislam mna akili finyu sana Sheikh ponda awezi kuwa mbunge hadi asuj7die sanam7 ya samia ...sababu hizi hapa ....watanzania awatashiriki kupiga kura uchaguzi 2025 na watakae enda kuoiga kura watakuwa baadhi tu ya anaccm sasa hapo ponda atashinda namna gani uchaguzi vinginevyo iwe kwa siri anatumiwa na samia hivyo kuoewa ushindi sawasawa na maagizo ya samia.
Jifunze kuandika comment inayoeleweka
 
Hayo ni maoni yako ndio maana mimi niliwateuwa Waislam pekee badala ya kutoa wito kwa Watanzania

Najua matakwa yako kama ilivyokuwa ya kwangu awali ulipenda Sheikh Ponda aunge NRNE lakini baada ya kusikiliza ufafanuzi huu nikagundua njia ya ukombozi ni Ungangari. Wito huo chadema hawana kwasasa. Ngoja tuongozwe na Mzee aliyenyooka zaidi ya Lissu.

View: https://youtu.be/jRs0x2t5pqM?si=hK3na0tyI3Pz5rrY

Huyu mwamba kumbe ana busara sana aisee
 
Waislam mna akili finyu sana Sheikh ponda awezi kuwa mbunge hadi asuj7die sanam7 ya samia ...sababu hizi hapa ....watanzania awatashiriki kupiga kura uchaguzi 2025 na watakae enda kuoiga kura watakuwa baadhi tu ya anaccm sasa hapo ponda atashinda namna gani uchaguzi vinginevyo iwe kwa siri anatumiwa na samia hivyo kuoewa ushindi sawasawa na maagizo ya samia.
Expert wangu,jifunze kujadili majambo bila kuwavunjia watu heshima kwa sifa yao,unasema waislamu hamna akili wakati unajadiliana na muislamu mmoja

Nikisema wewe ndio huna akili kwakuwa unashindwa kujua unajadiliana na muislamu au waislamu wote nitakosea?

Jenga hoja na sio kashfa au matusi
 
waislamu wapumbavu tu ndio wanamfata Sheikh Ponda, huyu nae ni mganga njaa tu hana lolote lingine. Ukiona kiongozi wa dini anaingia kwenye siasa basi jua huyo ni mtu mwenye tamaa.
 
Nitajie muislamu mmoja mwenye akili hapa tanzania ? Au kama wewe unazo akili niambie nikujaribu
 
Sasa hapo logic yako ni nini au ndiyo yake tunayo yasikia kwa mashekh wapumbavu wanao sema tunyamaze tu kisa kuna mabaya kama hayo yakitendwa siku za nyuma watu wakanyamaza ...maana hoja za mashekh wa Tanzania hazina tofauti na maanithi wa akili ...wanawaambia watu kuwa wasipinge dhuluma kisa kuna mashekh walidhulumiwa ...au wasikemee mauaji kisa watu waliwai kuuliwa,mwembe chai ...tukisema waislamu ni wapumbavu mnasema tunatukana ....
Wewe ndio mpumbavu namba moja kwakuwa unashindwa kuchambua mambo

Huyo mheshimiwa kwenye clip,ameeleza wazi kwamba Chadema hawapaswi kubezwa kwa hoja yao ya No reforms no Election kwasababu kwa maoni yao na mtazamo wapo sahihi

Lakini wao kama Act Wazalendo wana uzoefu huko zanzibar kuwa kupinga uchaguzi hakukuwapa matokeo mazuri,kwahiyo wao hawa opt kususia uchaguzi

Sasa huo ni mtazamo wao na maoni yao,nao wapo sahihi wasibezwe

Tatizo linakuja pale tunapotaka mawazo yetu na maoni yetu yakubaliwe na wengine kwamba ndio sheria

Huu ni ujinga mkubwa sana,ndio msemaji akasema ndio maana kuna vyama vingi vinavyobeba maoni tofauti

Unapojadiliana usikurupuke,tafakar,jenga hoja na pima yale mnayojadiliana

Think big
 
Wewe ndio mpumbavu namba moja kwakuwa unashindwa kuchambua mambo

Huyo mheshimiwa kwenye clip,ameeleza wazi kwamba Chadema hawapaswi kubezwa kwa hoja yao ya No reforms no Election kwasababu kwa maoni yao na mtazamo wapo sahihi

Lakini wao kama Act Wazalendo wana uzoefu huko zanzibar kuwa kupinga uchaguzi hakukuwapa matokeo mazuri,kwahiyo wao hawa opt kususia uchaguzi

Sasa huo ni mtazamo wao na maoni yao,nao wapo sahihi wasibezwe

Tatizo linakuja pale tunapotaka mawazo yetu na maoni yetu yakubaliwe na wengine kwamba ndio sheria

Huu ni ujinga mkubwa sana,ndio msemaji akasema ndio maana kuna vyama vingi vinavyobeba maoni tofauti

Unapojadiliano usikurupuke,tafakar,jenga hoja na pima yale mnayojadiliana

Think big
Sikuangalia video nilijenga hoja yangu kwa kupitia mashekh wa misikitini wanavyo semaga ...kuwa tusidai haki kisa wao awadai haki
 
waislamu wapumbavu tu ndio wanamfata Sheikh Ponda, huyu nae ni mganga njaa tu hana lolote lingine. Ukiona kiongozi wa dini anaingia kwenye siasa basi jua huyo ni mtu mwenye tamaa.
Na wale wa Bakwata ambao wamefanywa jumuia ndani ya CCM ndiyo wenye akili?
 
Kipimo cha akili ni nini?

Tuanzie hapa,huwa nawapenda sana watu kama nyie
Ni LOGIC

Tazama shekh huyu alivyo mpuz eti mwanamke anafaa kuwa waziri 😁😁😁😁
 
Attachments

  • AQNL9KwvgNwOGe3X7iWw35pDYtTgm3PmnnSAtZlH282vFEEJ_TPg63tAkGfJAtwjxiJiImeK_MRsNkKaZyISS6Q3J_m1zj...mp4
    1.1 MB
Kivip,ebu fafanua kwanza,huwa sipendi ujanja ujanga kwenye mijadala,ili tujadiliane vizur tujue kwanza kigezo cha kuwa na akili na kutokuwa na akili ni kipi

Au

Nikusaidie ni wakati gani unaweza sema huyu mtu ana akili au hana

Nakusubir
 
Kwa hiyo ndiyo kwanza maishani mwako unasikia na kujifunza kwangu kuwa kipimo cha AKILI NI LOGIC 🙄🙄
Mfano wafanuzi hii hapa video msikie huyu shekh alivyo mpuuzi
 
Attachments

  • AQNL9KwvgNwOGe3X7iWw35pDYtTgm3PmnnSAtZlH282vFEEJ_TPg63tAkGfJAtwjxiJiImeK_MRsNkKaZyISS6Q3J_m1zj...mp4
    1.1 MB
Kwa hiyo ndiyo kwanza maishani mwako unasikia na kujifunza kwangu kuwa kipimo cha AKILI NI LOGIC 🙄🙄
Mfano wafanuzi hii hapa video msikie huyu shekh alivyo mpuuzi
Hiyo video sitaangalia,usitake kunitoa kwenye reli expert wangu

Lete majibu ya swali langu kama huna,inahesabika madai yako ni ya kipuuzi na pita kushoto
 
Mtu mwenye akili ndogo au akili.mbovu huwa logic yake mbovu na dhaifu au hana logic kabisa..

Logic (mantiki) ni sayansi ya kufikiri kwa mpangilio sahihi na kufikia hitimisho la kweli. Inasaidia kutofautisha hoja nzuri na sahihi (zinazo leta maana) na hoja mbaya na zisizo sahihi (zisizo na msingi)
 
Mtu mwenye akili ndogo au akili.mbovu huwa logic yake mbovu na dhaifu au hana logic kabisa..

Logic (mantiki) ni sayansi ya kufikiri kwa mpangilio sahihi io8 kufikia hitimisho la kweli. Inasaidia kutofautisha hojq nzuri na sahihi (zinazo leta maana) na hoja mbaya na zisizo sahihi (zisizo na msingi)
Walau umejitahidi kuleta majibu kiaina

Au kwa lugha rahisi kabisa ni kuliweka kila jambo mahala pake

Sasa umekuja na hitimisho kwamba waislamu wote hawana akili

Leta mifano ya mambo au masuala ambayo wewe kwa mtazamo wako unaona kwamba waislamu wote hawana akili
 
Back
Top Bottom