unimaginable
Member
- Jan 31, 2017
- 39
- 53
No reform no election
Pitia clip hii kisha njoo ukoment tena.
Hata mimi nilikuwa nawaza kama wewe kabla
View: https://youtu.be/jRs0x2t5pqM?si=hK3na0tyI3Pz5rrY
Ni Kweli.Hao wote nawajua
Kwa hyo wabunge huko wa ccm waislam hawatakiwi siyo
Ova
Vyama vinavyo shiriki vipo kwenye project ya samia na mafisadi vinatumika dhidi ya HAKIKwa jinsi jamaa walivyojipanga mwaka huu vyama vinavyoshiriki
Wakitegemea kupata wabunge wasahau
Ova
Kabisa,mleta uzi asiwe serious sana maana uchaguzi huo ni boshen tuVyama vinavyo shiriki vipo kwenye project ya samia na mafisadi vinatumika dhidi ya HAKI
Baada ya misukosuko mingi hatimaye Ponda anaenda kuwa mbunge wa bunge la JMT. Je, ataendeleza makali yake au ndio kula nyama unyamaze? Tusubiri.Busara tuliyopewa na wazee wetu ni kutafakari zaidi yale yasiyosemwa kuliko yanayosemwa.
Haya yasiyosema yadikilizwe zaidi kama si kosa la jinai.
Kwani yanayosemwa sana huwa ni uwongo ikiwemo propaganda watu wanaobaguliwa kwa imani zao. Neno udini ni msamiati unaposemwana na walioathiriwa ni pamoja na wana mageuzi.
Katiba bora ni ile ambayo imekusanya matakwa ya kila tabaka. Na mfano wa katiba bora ni ya Afrika kusini ambayo hata vyama vya kitamaduni (dini) vinaruhusiwa.
Katiba yapaswa kuongozwa na UNIVERSAL LAWS. Je tz tunafata Universal law au tunaongozwa kwa Matakwa ya nani.
Ni makwata ya katiba? au kwa maneno tuliyoyazoea ya wanasiasa wa ccm?
Tunaweza jiuliza makatwa ya katiba hii yanayotokana na matabaka yote?
Ilani bora ya chama ni ile iliyokusanya maslahi ya matabaka mengi na hasa matabaka makubwa (population).
manifesto | Aljama-ah Muslim Political Party
www.aljama.co.za
Msimu wa Uchaguzi unapofika kila tabaka lilotajwa ktk katiba kama vile Dini, Kabila, Rangi, Eneo, Jinsi, Walemavu nk wana haki ya kutathmini ni ilani ya chama gani inayolinda maslahi yao.
Kwani kura hupigiwa chama kilichoahidi kutetea maslahi yenu matabaka yote. Na hasa matabaka ya jamii ya walio wengi ndio hushinda.
Hata hivyo watu wa kawaida layman hawana uwezo wa kufanya uchambuzi huo ila kwa kupitia viongozi wao wanaowaamini.
Sheikh Ponda historia imeandika ndiye kiongozi pekee anaekubaliwa au mwenye wafuasi wengi wa tabaka la kiislam.
Kajipamvanua kwa mwongo mmoja kuwa ni mtetezi dhidi ya ubaguzi na ukandamizwaji unaofanywa na wahalifu waliojificha ndani ya ofisi za Ummah (serikali) dhidi ya Waislamu na Uislam.
Niwakumbushe nguvu aliyonayo. Ktk kampeni za uchaguzi mwaka 2020 alitoa fupi tu kuwa waislam wamekubaliana kumpigia Kura kiti cha Urais mgombea wa CHADEMA Mh Tundu Lissu. Kauli iliyosababisha mgombea mmoja kuacha kampeni na kwenda kusimamia zoezi la kupanga matokeo mezani.
Huyu ndio Sheikh Ponda ambae muda wa kampeni ukifika atatoa Rasmi mwongozo wa chama gani Chenye maslahi kwa waislam ktk uchaguzi mkuu 2025.
Na atatoa kauli kwa kujivua dhima kwa Mungu kwanini ni haram kumchagua Mwanamke kuwa Rais.
Kwamba sheria ya kiislam inaruhusu mgombea mwanamme wa tabaka lolote, dini yyt sharti awe mwanamme.
Hivyo wito inatolewa kuungana na Sheikh wetu Mkuu Ponda Issa Ponda kwa kukiunga mkono chama cha ACT wazalendo
Ili tusiumize akili zetu kwa aina ya akili za Watz kama wewe badala ya wito huu kuutoa kwa watz, tuliwalenga WaislamSasa hapo logic yako ni nini au ndiyo yake tunayo yasikia kwa mashekh wapumbavu wansosema tunyamaze tu kisa kuna mabaya kama hatmyo yakitendwa siku za nyuma watu wakanyamaza ...maana hoja za mashekh wa Tanzania azina tofauti na maanithi wa akili ...wanawaambia watu kuwa wasipinge dhuluma kisa kuna mashekh walidhulumiwa ...au wasikemee mauaji kisa watu waliwai kuuliwa,mwembe chai ...tukisema waislamu ni wapumbavu mnasema tunatukana ....
Siyo kwa uchaguzi huu lakini mkuuNi Kweli.
Wengi wenye majina ya kiislam ni wafuasi wa Ujamaa. Na wapo kwa ajili ya kupigania imani ya Ujamaa ituongoze.
Binafsi mimi nitapendekeza ktk ilani ya ACT isomeke, ACT inasimamisha Taifa Moja, Imani Zote, Chini ya Mungu. One Nation under God
Tutahumukumu baada ya kufika bungeni. Kwasasa tumuunge mkono na tuunge ACT MKONOBaada ya misukosuko mingi hatimaye Ponda anaenda kuwa mbunge wa bunge la JMT. Je, ataendeleza makali yake au ndio kula nyama unyamaze? Tusubiri.
Ili tusiumize akili zetu kwa aina ya akili za Watz kama wewe badala ya wito huu kuutoa kwa watz, tuliwalenga Waislam
Tunairudisha NGANGARI ile ya wakati wa UKAWA.Siyo kwa uchaguzi huu lakini mkuu
Labda mlinde kura kesheni vituoni
Ova
Hata wakikesha awawezi kushinda kwa sababu wote wanao ipinga ccm asilimia 90 awataenda kupiga kura ...hivyo wapiga kura watakuwa wanaccm tena wachache tu maana watalazimishwa kupiga kura kwa kuambiwa kuwa wasipo piga kura hawata patiwa vibuku 7 na huduma za mikopo ...ila hata hivyo vituo vitabaki empty siku hiyo ....Siyo kwa uchaguzi huu lakini mkuu
Labda mlinde kura kesheni vituoni
Ova
Holly cow!Your intellectual bandwidth is not far from that of a Cow
Sawa Ndugu. Wito huu ni wa hamasa wa kuamsha Bongo za waliolala, waliochoshwa. Kuwa kwasasa tumepata tumaini jipya kwa kumtanguliza mbele mtu ambae alishapigwa risasi, na alishakufa jana, kanyooka.Hata wakikesha awawezi kushinda kwa sababu wote wanao ipinga ccm asilimia 90 awataenda kupiga kura ...hivyo wapiga kura watakuwa wanaccm tena wachache tu maana watalazimishwa kupiga kura kwa kuambiwa kuwa wasipo piga kura hawata patiwa vibuku 7 na huduma za mikopo ...ila hata hivyo vituo vitabaki empty siku hiyo ....
Kwa hiyo una amini Sheikh ponda ni bora kuliko JPM ?🙄 swali je rais asiye na sifa kama za JPM anawezaje kuwa rais bora nchini ?Sawa Ndugu. Wito huu ni wa hamasa wa kuamsha Bongo za waliolala, waliochoshwa. Kuwa kwasasa tumepata tumaini jipya kwa kumtanguliza mbele mtu ambae alishapigwa risasi, na alishakufa jana, kanyooka.
Ni mtu ambae alisababisha Mzee Magufuli kuacha kampeni mwaka 2020, na kwenda kusaka uchaguzi kwa nguvu ya dola.
Sheikh Ponda pekeake ni Taasisi. Ana ushawishi Mkubwa sana. Tusubiri tu kupenga kipulizwe
Umesema kweli, wananchi wanaipenda sana ccm, mama yetu kafanya mambo makubwa sana ktk kipindi ufupi. Na ukweli anapendwa sana na watz wote. Sasa waambie maccm kuwa waandamane kutaka marekebisho ya tume ya uchaguzi sawa na matakwa ya muhimu ya kurekebisha. Mwambie polisi, jeshi, mahakama itende haki na imwachie mpinzani wake Lisu.Sheikh anaingia moja kwa moja siasani kwa mentality ya kutetea waislam, hapa atachemka tu, hii nchi si ya siasa za makundi ya kidini. Nchi ni ya wananchi wote wa tanzania. Ndio maana wananchi wanaiamini sana CCM, wanaona si chama cha kidini na wanaona bora kiendelee kutawala daima kwa kuwa hakina sera za kutetea dini fulani kuwa inakandamizwa, madai ya kipumbavu na kukosa akili
Ninaamini kuwa Sheikh Ponda alikuwa na ushawishi Mkubwa kuliko JPM.Kwa hiyo una amini Sheikh ponda ni bora kuliko JPM ?🙄 swali je rais asiye na sifa kama za JPM anawezaje kuwa rais bora nchini ?