hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 6,853
- 4,552
Kma ni uislamu hata samia suluhu ni muislamu
Nimekuelewa. Kwahiyo yule dada yetu walichaguliwa kwa kura. Hoja yangu ni nafasi za teuzi za kamati kuu.
Samia ni mwanamke, na matakwa yetu Rais Mwanamme, sahihi awe mkristo au Muislam wanamme na si Muislam Mwanamke.Kma ni uislamu hata samia suluhu ni muislamu
Samia ni mwanamke, na matakwa yetu Rais Mwanamme, sahihi awe mkristo au Muislam wanamme na si Muislam Mwanamke.
Haya matakwa ya imani yetu
How sasa. Sheikh Ponda ndie mwenye ushawishi mkubwa kwa waislam yyt kwa tanganyika.Mnamsaliti muislam mwenzenu tena,maana nyie kwetu mtu dini ni muhimu hata kama ni muovu
Huna kitu kichwani wewe 😂😂Acha wivu
Unazungumzia kiongozi wa kidini au kisiasa akhi??Samia ni mwanamke, na matakwa yetu Rais Mwanamme, sahihi awe mkristo au Muislam wanamme na si Muislam Mwanamke.
Haya matakwa ya imani yetu
Hatuchagui hatubagui. Tunafata matakwa yetu.Unazungumzia kiongozi wa kidini au kisiasa akhi??
Meza kidonge hiki SOMAHuna kitu kichwani wewe 😂😂
Busara tuliyopewa na wazee wetu ni kutafakari zaidi yale yasiyosemwa kuliko yanayosemwa.
Haya yasiyosema yadikilizwe zaidi kama si kosa la jinai.
Kwani yanayosemwa sana huwa ni uwongo ikiwemo propaganda watu wanaobaguliwa kwa imani zao. Neno udini ni msamiati unaposemwana na walioathiriwa ni pamoja na wana mageuzi.
Katiba bora ni ile ambayo imekusanya matakwa ya kila tabaka. Na mfano wa katiba bora ni ya Afrika kusini ambayo hata vyama vya kitamaduni (dini) vinaruhusiwa.
Katiba yapaswa kuongozwa na UNIVERSAL LAWS. Je tz tunafata Universal law au tunaongozwa kwa Matakwa ya nani.
Ni makwata ya katiba? au kwa maneno tuliyoyazoea ya wanasiasa wa ccm?
Tunaweza jiuliza makatwa ya katiba hii yanayotokana na matabaka yote?
Ilani bora ya chama ni ile iliyokusanya maslahi ya matabaka mengi na hasa matabaka makubwa (population).
manifesto | Aljama-ah Muslim Political Party
www.aljama.co.za
Msimu wa Uchaguzi unapofika kila tabaka lilotajwa ktk katiba kama vile Dini, Kabila, Rangi, Eneo, Jinsi, Walemavu nk wana haki ya kutathmini ni ilani ya chama gani inayolinda maslahi yao.
Kwani kura hupigiwa chama kilichoahidi kutetea maslahi yenu matabaka yote. Na hasa matabaka ya jamii ya walio wengi ndio hushinda.
Hata hivyo watu wa kawaida layman hawana uwezo wa kufanya uchambuzi huo ila kwa kupitia viongozi wao wanaowaamini.
Sheikh Ponda historia imeandika ndiye kiongozi pekee anaekubaliwa au mwenye wafuasi wengi wa tabaka la kiislam.
Kajipamvanua kwa mwongo mmoja kuwa ni mtetezi dhidi ya ubaguzi na ukandamizwaji unaofanywa na wahalifu waliojificha ndani ya ofisi za Ummah (serikali) dhidi ya Waislamu na Uislam.
Niwakumbushe nguvu aliyonayo. Ktk kampeni za uchaguzi mwaka 2020 alitoa fupi tu kuwa waislam wamekubaliana kumpigia Kura kiti cha Urais mgombea wa CHADEMA Mh Tundu Lissu. Kauli iliyosababisha mgombea mmoja kuacha kampeni na kwenda kusimamia zoezi la kupanga matokeo mezani.
Huyu ndio Sheikh Ponda ambae muda wa kampeni ukifika atatoa Rasmi mwongozo wa chama gani Chenye maslahi kwa waislam ktk uchaguzi mkuu 2025.
Na atatoa kauli kwa kujivua dhima kwa Mungu kwanini ni haram kumchagua Mwanamke kuwa Rais.
Kwamba sheria ya kiislam inaruhusu mgombea mwanamme wa tabaka lolote, dini yyt sharti awe mwanamme.
Hivyo wito inatolewa kuungana na Sheikh wetu Mkuu Ponda Issa Ponda kwa kukiunga mkono chama cha ACT
wazalendo
Hapana.Hata hivyo watu wa kawaida layman hawana uwezo wa kufanya uchambuzi huo ila kwa kupitia viongozi wao wanaowaamini.
Maneno kama hayo hapo juu, yanakuweka katika kundi la kipekee sana kati ya jamii ya KiTanzania!Acha lugha mbaya. Hujui namna gani Waislma wameteswa nchi hii tokea uhuru.
Usihamasishe udini, kama unaipenda act nenda wewe kama weweBusara tuliyopewa na wazee wetu ni kutafakari zaidi yale yasiyosemwa kuliko yanayosemwa.
Haya yasiyosema yadikilizwe zaidi kama si kosa la jinai.
Kwani yanayosemwa sana huwa ni uwongo ikiwemo propaganda watu wanaobaguliwa kwa imani zao. Neno udini ni msamiati unaposemwana na walioathiriwa ni pamoja na wana mageuzi.
Katiba bora ni ile ambayo imekusanya matakwa ya kila tabaka. Na mfano wa katiba bora ni ya Afrika kusini ambayo hata vyama vya kitamaduni (dini) vinaruhusiwa.
Katiba yapaswa kuongozwa na UNIVERSAL LAWS. Je tz tunafata Universal law au tunaongozwa kwa Matakwa ya nani.
Ni makwata ya katiba? au kwa maneno tuliyoyazoea ya wanasiasa wa ccm?
Tunaweza jiuliza makatwa ya katiba hii yanayotokana na matabaka yote?
Ilani bora ya chama ni ile iliyokusanya maslahi ya matabaka mengi na hasa matabaka makubwa (population).
manifesto | Aljama-ah Muslim Political Party
www.aljama.co.za
Msimu wa Uchaguzi unapofika kila tabaka lilotajwa ktk katiba kama vile Dini, Kabila, Rangi, Eneo, Jinsi, Walemavu nk wana haki ya kutathmini ni ilani ya chama gani inayolinda maslahi yao.
Kwani kura hupigiwa chama kilichoahidi kutetea maslahi yenu matabaka yote. Na hasa matabaka ya jamii ya walio wengi ndio hushinda.
Hata hivyo watu wa kawaida layman hawana uwezo wa kufanya uchambuzi huo ila kwa kupitia viongozi wao wanaowaamini.
Sheikh Ponda historia imeandika ndiye kiongozi pekee anaekubaliwa au mwenye wafuasi wengi wa tabaka la kiislam.
Kajipamvanua kwa mwongo mmoja kuwa ni mtetezi dhidi ya ubaguzi na ukandamizwaji unaofanywa na wahalifu waliojificha ndani ya ofisi za Ummah (serikali) dhidi ya Waislamu na Uislam.
Niwakumbushe nguvu aliyonayo. Ktk kampeni za uchaguzi mwaka 2020 alitoa fupi tu kuwa waislam wamekubaliana kumpigia Kura kiti cha Urais mgombea wa CHADEMA Mh Tundu Lissu. Kauli iliyosababisha mgombea mmoja kuacha kampeni na kwenda kusimamia zoezi la kupanga matokeo mezani.
Huyu ndio Sheikh Ponda ambae muda wa kampeni ukifika atatoa Rasmi mwongozo wa chama gani Chenye maslahi kwa waislam ktk uchaguzi mkuu 2025.
Na atatoa kauli kwa kujivua dhima kwa Mungu kwanini ni haram kumchagua Mwanamke kuwa Rais.
Kwamba sheria ya kiislam inaruhusu mgombea mwanamme wa tabaka lolote, dini yyt sharti awe mwanamme.
Hivyo wito inatolewa kuungana na Sheikh wetu Mkuu Ponda Issa Ponda kwa kukiunga mkono chama cha ACT wazalendo
Wewe ni CCM na uzi wako huu una nia ya kumharibia Sheikh Ponda na chama chake. Nia yako ni kui brand ACT Wazalendo kuwa ni chama cha Waislam mbinu ambayo CCM mnaitumia sana kila ikifika nyakati za uchaguzi. Mlifanya hivyo kwa CUF,mlifanya hivyo kwa Chadema, kwa vile Chadema imewaachia uchafuzi wenu sasa mnahamia kwa ACT Wazalendo kuipiga chapa ya Waislam.Busara tuliyopewa na wazee wetu ni kutafakari zaidi yale yasiyosemwa kuliko yanayosemwa.
Haya yasiyosema yadikilizwe zaidi kama si kosa la jinai.
Kwani yanayosemwa sana huwa ni uwongo ikiwemo propaganda watu wanaobaguliwa kwa imani zao. Neno udini ni msamiati unaposemwana na walioathiriwa ni pamoja na wana mageuzi.
Katiba bora ni ile ambayo imekusanya matakwa ya kila tabaka. Na mfano wa katiba bora ni ya Afrika kusini ambayo hata vyama vya kitamaduni (dini) vinaruhusiwa.
Katiba yapaswa kuongozwa na UNIVERSAL LAWS. Je tz tunafata Universal law au tunaongozwa kwa Matakwa ya nani.
Ni makwata ya katiba? au kwa maneno tuliyoyazoea ya wanasiasa wa ccm?
Tunaweza jiuliza makatwa ya katiba hii yanayotokana na matabaka yote?
Ilani bora ya chama ni ile iliyokusanya maslahi ya matabaka mengi na hasa matabaka makubwa (population).
manifesto | Aljama-ah Muslim Political Party
www.aljama.co.za
Msimu wa Uchaguzi unapofika kila tabaka lilotajwa ktk katiba kama vile Dini, Kabila, Rangi, Eneo, Jinsi, Walemavu nk wana haki ya kutathmini ni ilani ya chama gani inayolinda maslahi yao.
Kwani kura hupigiwa chama kilichoahidi kutetea maslahi yenu matabaka yote. Na hasa matabaka ya jamii ya walio wengi ndio hushinda.
Hata hivyo watu wa kawaida layman hawana uwezo wa kufanya uchambuzi huo ila kwa kupitia viongozi wao wanaowaamini.
Sheikh Ponda historia imeandika ndiye kiongozi pekee anaekubaliwa au mwenye wafuasi wengi wa tabaka la kiislam.
Kajipamvanua kwa mwongo mmoja kuwa ni mtetezi dhidi ya ubaguzi na ukandamizwaji unaofanywa na wahalifu waliojificha ndani ya ofisi za Ummah (serikali) dhidi ya Waislamu na Uislam.
Niwakumbushe nguvu aliyonayo. Ktk kampeni za uchaguzi mwaka 2020 alitoa fupi tu kuwa waislam wamekubaliana kumpigia Kura kiti cha Urais mgombea wa CHADEMA Mh Tundu Lissu. Kauli iliyosababisha mgombea mmoja kuacha kampeni na kwenda kusimamia zoezi la kupanga matokeo mezani.
Huyu ndio Sheikh Ponda ambae muda wa kampeni ukifika atatoa Rasmi mwongozo wa chama gani Chenye maslahi kwa waislam ktk uchaguzi mkuu 2025.
Na atatoa kauli kwa kujivua dhima kwa Mungu kwanini ni haram kumchagua Mwanamke kuwa Rais.
Kwamba sheria ya kiislam inaruhusu mgombea mwanamme wa tabaka lolote, dini yyt sharti awe mwanamme.
Hivyo wito inatolewa kuungana na Sheikh wetu Mkuu Ponda Issa Ponda kwa kukiunga mkono chama cha ACT wazalendo
Muslim ni kiumbe mbaguzi baada ya myahudi hapa dunian. Wewe badala ya kusema ni wito wa Tanzania kufuata Sheikh PondaBusara tuliyopewa na wazee wetu ni kutafakari zaidi yale yasiyosemwa kuliko yanayosemwa.

Ndio maana nilianza kwa kusema tuzungumze yale ambayo hayazungumzwi.Hapana.
Kuna mambo mengi nisiyokubaliana nayo katika mada hii; ambayo naweza kuiweka kama mhtasari wa maneno machache kama ifuatavyo:
Tanzania ni 'a secular' state; hatuhitaji kuingiza dini zetu katika maswala ya siasa za nchi yetu. Serikali ibaki bila dini; hata kama watu inaowaongoza/watumikia wanazo dini zao.
Sifa kuu ya mtu kuongoza inabaki ni ile ileya kuwa mTanzania anayeipenda nchi hii na wananchi wake wote, bila kujali matabaka ya aina yoyote.
Taifa hili limezidi kulegeza kanuni hii muhimu; hasa katika miaka hii ya karibuni, na matokeo yake yanazidi kuwa wazi zaidi katika mmomonyoko wa umoja wetu.
Labda sasa nimalize kwa kuuliza: kwani ACT ni chama cha kidini?
Kuna tija gani ya kwenda kama mimi wakati dini yangu inadhibitiwa. Hivi ni matakwa ya katiba waislam wasifate matakwa yao ktk nchi hii. Nini maana ya kutaka reconciliation kama taifaUsihamasishe udini, kama unaipenda act nenda wewe kama wewe